Search results

  1. Masaa mbele

    Haya mafuta ni hatari sana

    Aya mafuta ni atari sana, nasikia ukipaka unakuwa mweupe sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Masaa mbele

    Yajue haya

    Hivi ni baadhi ya vitu sahihi vya kula vinavyoendana na blood group yako. Kila mtu aangalie blood group yake na ajue vitu gani ale na vipi asivile. ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU NA TABIA ZAKE ILIUJINUSURU NA MAGONJWA YAEPUKIKAYO. Kundi lako la damu linaweza kukufanya uwe dhaifu au imara...
  3. Masaa mbele

    OLDBONGO MIXTAPE

    Wakuu,, Naomba mwenye kujua mixtape nzuri ya nyimbo za zamani za bongo anijuze na mie nipate idownload
  4. Masaa mbele

    Kwa wanaume wenzangu; je ungekubali?

    [emoji117]SWALI KWA wanaume !! Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!! Upo home unaishi na wazazi pamoja na dada yako, sasa dem wako anakwambia bwana nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala kwa wazazi sasa unampanga dadaako kwamba awadanganye wazazi kama atakuja rafiki yake (dem wako)...
  5. Masaa mbele

    MSAADA APA NIFANYE NINI

    ,,,,,Yen mpaka nmechoka,,
  6. Masaa mbele

    BLOATWARE

    Wakuu,,, Ni bloatware zipi ambazo ni safe kuziremove kwa simu yangu aina ya LENOVO VIBE K4,,,LOLPOP 5.1,,,Maana nimeroot now ndo nataka nitoe izo bloatware Msaada tafadhali,,,
  7. Masaa mbele

    CUSTOM ROMS

    Mko poa,,, Nimeroot simu yangu sasa naitaji best custom rom ili niweze kuiupdate simu yangu Kama wajua best iyo best custom rom wawez nitonya apa Simu yangu ni LENOVO VIBE 7010a48 Android lolpop 5.1
  8. Masaa mbele

    Naongea na wewe

    NAONGEA NA WEWE APO... Wewe ambaye miaka MITANO ya UCHUMBA, ushamfunuafunua MTOTO wa watu kama SUFULIA la PILAU msibani! Unamjua MWILI wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa ile MUNGU IBARIKI!! MTOTO wa WATU amewakataa WANAUME kibao, Amepoteza MUDA wake kwaajili yako Akiamini WEWE ndio...
Back
Top Bottom