Search results

  1. orturoo

    Elewa chanzo cha baridi na jinsi ya kuikabiliana nayo ndani ya miezi hii miwili Juni-Agosti

    Kuanzia leo hadi Agosti 22 mwaka huu kutakuwa na baridi zaidi kuliko miaka ya nyuma. Wanaiita Aphelion phenomenon. Kuanzia kesho saa 05.27 tutapata uzoefu wa APHELION PHENOMENON , ambapo Dunia itakuwa mbali sana na Jua. Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari zake. Hii...
  2. orturoo

    Naomba kueleweshwa kuhusu matokeo ya darasa la saba yaliyozuiliwa (withhold)

    Habari za leo wadau wa jf ,bila shaka weekend imekaa poa. Naomba mwenye uelewa kuhusu kushikiliwa (withhold) kwa matokeo ya darasa la saba kwa baadhi ya shule ,je ni nini hatma ya wanafunzi na vituo vilivyofungiwa? Naomba mwenye uelewa wa mambo hayo.
  3. orturoo

    Uzembe wa Tanesco kushindwa kuwa na mmbadala/alternatives

    Wanajamvi habari poleni na hongereni kwa majukumu, Bila kupoteza muda nielekeze hoja yangu ya msingi kulituhumu ili shirika la umeme kutokana na shirika hili kutokua na umakini hasa kwa wateja. Yapo matatizo mengi ila ntaelekeza hoja katika manunuzi na mfumo mzima wa luku mfano tokea jumatatu...
  4. orturoo

    Angalizo: Jitihada zifanyike mapema kuokoa hifadhi ya msitu unaoteketea kwa moto katika mlima Kilimanjaro

    Kuanzia majira ya saa 12 jioni ya Leo maeneo ya msitu wa mlima Kilimanjaro umeonekana ukiwa na ishara ya kuwaka moto kutoka sehemu ya upande wa mashariki ukiwa unatizama mlima kutokea Moshi Mjini, hivyo kuonekana ukubwa wa moto kuongezeka kadri muda unavyozidi kwenda, inaonekana eneo...
  5. orturoo

    Tapeli limekuja na mfumo huu ...kuweni makini

    Habari ya leo ndg, samahani kuna Bwana Mmoja naomba nimpatie namba yako Yeye anatoka Katavi mkoa mpya yuko na wenzake anakuja kununua vtu vya ktamadun Sasa akawa ameniomba nmtafutie mtu mwaminfu wa kusmamia hiyo tenda nikaona n vyema nikupe Wewe kwa sababu nakuamin Mimi naumwa kfua na tonses...
Back
Top Bottom