Search results

  1. Mtengwa II

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Natafuta chimbo la bidhaa za kutengeneza ICE CREAM kama vile radha, rangi, sukari, maziwa ya unga, CMC, cornflower..... Nk
  2. Mtengwa II

    Nashughulikia mambo mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    ukikosa expart tuwasiliane. Nilipo ndipo zabibu zilipo
  3. Mtengwa II

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Nilianza kukaa geto siku jirani yetu aliponunua friji. Nakumbuka siku hiyo nilikuwa na kama elfu 50 mfukoni. Basi mida ya jioni jirani anashusha friji mpya kwenye box, mara akaomba nimsaidie kuingiza ndani. Baada ya hapo akatoa friji kwenye box. Lilikuwa box zuri, refu na lenye unene. Ghafla...
  4. Mtengwa II

    Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Hapo kuna tatizo kati yako na nguruwe! Jaribuni kumaliza tofauti zenu kabla ya kumvaa mfugaji.
  5. Mtengwa II

    Nini kitatokea endapo IMF & World bank zikifilisika?

    Nini kilitokea kabla ya IMF na World Bank kuanzishwa?
  6. Mtengwa II

    Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

    Kwa hali ilivyo kwa sasa Dodoma ni ngumu kupata eneo kubwa karibu sana na mjini kwa kufugia, Nina eneo zuzu.... Nakucheki tuyajenge
  7. Mtengwa II

    Ni kwanini Wagonjwa wengi sana hata wale walio Mahututi Siku Moja tu kabla ya Vifo vyao huwa wanakuwa Wachangamfu mno?

    Wataalamu waje hapa. Maana kuna ndugu yangu alikuwa mgonjwa hata kula akawa wa kulazimishwa. Kuna siku alidai ana hamu ya ugali na maziwa. Alipoletewa alikula hadi tukapata tumaini, ila niliona wazee wakiwa na wasiwasi sana. Kesho yake alfajiri alifariki.
  8. Mtengwa II

    TANZIA TANZIA: Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani afariki dunia

    RIP Brig GEn, Jaji, Mch Agustino Ramathan Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mtengwa II

    FRIJi dogo linauzwa..

    Nyie lenu moja
  10. Mtengwa II

    Karibu ujenge nyumba ya ndoto yako kwa bei nafuu

    Sorry mkuu,,,, hiyo picha ya mwisho hao wazungu ni wewe?
  11. Mtengwa II

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Hivi wanashindwaje kwenda kununua eneo kule ujasi na kujenga msikiti mkubwa wautakao na zile lecture room zibaki kwa swala 5??
  12. Mtengwa II

    Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

    Sidhani kama utadumu sana humu jf maana naona umekuja na speed ya kwenye FB!!
  13. Mtengwa II

    Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

    Mawazo ya kijinga sana!! Kumbuka uchaguzi mkuu 2020 hakutakuwa na kupeana kampani kama ilivyo chaguzi za marudio! Kila mtu atakomaa na jimbo lake na sound zake!! Hata mzee jiwe na Sili-nde watakuwa wanapambana na majimbo yao! Hali itakuwa ngumu sana, jasho litawatoka na sauti kukauka! Watatamani...
  14. Mtengwa II

    Wamakonde wa kiume sisi ni MAHANDSOME sana

    Ukisikia wehu na kujitoa ufahamu ndio huku sasa! Pia hizi ni dalili mbaya sana kwa mtoto wa kiume!! Ushoga huu wana JF!!
  15. Mtengwa II

    Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

    Anachofanya Chindo "Umbwa mzee, nyang'au" ni kutuumiza wapenzi wa hip hop tuliodhani hatabadilika! Ili poa, inabidi sasa muziki uanze kumlipa na maisha yaendelee. Kwakuwa Watengwa ndio kundi pekee Afrika lenye marapa zaidi ya kumi, naamini wengine wata-takeover!!
  16. Mtengwa II

    Dizasta Vina anaweza akawa ndio best rapper Tanzania

    Sasa Fid nae kwasasa utasema ni Rapper?? Dizasta ni mzuri ingawa nae pia atakuja kubadilika kama Joh! Kwangu JCB bado ni Rapper bora Bongo na anaefuata misingi!
  17. Mtengwa II

    James Mbatia: Ni aibu kubwa sana kusitisha uokoaji kisa giza karne hii

    "nataka wakandarasi wafanye kazi usiku na mchana"
Back
Top Bottom