Search results

  1. A

    Nafasi ya kazi ya Muhasibu wa Shule

    Miyonga English Medium inawatangazia nafasi yakazi ya Muhasibu anahitajika mwenye level ya Diploma ya Uhasibu(Accountancy) au Finance, awe tayari kufanya kazi Ruaha-Kilombero, Wadada na wakazi wa Kilombero watapewa kipaumbele. Tuma CV na barua ikiwa imembatana na copy ya vyeti vyake halisi...
  2. A

  3. A

    Waliochukizwa na mapingamizi wateketeza nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Karagwe, hali ni tete

    Wenzetu wa karagwe hali ikoje mpanka muda huu?
  4. A

    Ndoa za zamani na sasa!!!

    Zamani wanaume walikuwa wakihudumia familia zao bila mchango wa wake zao. Lkn sasa wanatafuta wanawake wenye kazi ili wapige pasu ktk kutoa matumizi ya familia.
  5. A

    Hii kasi ya Nyalandu imetokea wapi?

    Mnyonge mnyongen lkn haki yake mpen,Mimi binafsi nampongeza kwa juhud zake. Kipindi yupo Kagasheki isingekuwa rahsi kujua nini anafanya hata angefanya kazi kias gani pongezi zilikuwa zinaenda kwa aliyekuwa boss wake Kagasheki ila kwa wanaomfatilia sana aliwekeza sana kwenye kuutangaza Utalii nje...
  6. A

    TIN ya kwenye leseni ya udereva inaweza kutumika kwenye biashara?

    TIN means ni namba ya mlipa kodi na mlipa kodi hawezi kuwa na namba zaidi ya moja,kama uliwahi kuchua TIN namba ukakatia resen ya Driving lecence au kama ulinunua gari ukarisajiri kwa jina lako ndo hiyohiyo utakayoitumia ukitaka kufanya biashara cha kufanya utaenda TRA utawaelezea kuwa unataka...
  7. A

    Sera ya Taifa ya Senene....Bila hivyo 2015 hapatoshi

    Hahaa! Akanyasi kala kusiga amazi onya nketenja, nimbona watubanza.
  8. A

    Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

    Akanyasi kalakusiga amazi onya niketenja
  9. A

    Naombeni ushauri wenu

    Aghrrrr! Mungu tusaidie, Ulikuwa unawaza nini wakati unaingia ktk mahusiano mapya,ilikuwa stress ama? Huyo mdada mwenye mtoto nampa pole sana kwan hata ukifunga nae ndoa itakuwa kama funika kombe mwanaharam apite make kwa maelezo yako inaonesha kama humpendi,kila mtu anamapungufu yake hamna...
  10. A

    Nimechanganyikiwa nashindwa nikae na mke yupi??

    Aghrrrr! Yaan hata sijui nisem ni adhabu kias gani inakufaa,twelve years unampotezea mtu mda wake na tayari ushaharibu mpangilio wa maisha yake?Anyway nisikuhukum huyo dada uliyemuacha kwa wazazi wako na mungu ndo watatoa hukum yako ila ulichofanya ni kitu kibaya sana. Unachotakiwa kufanya ni...
  11. A

    Kikundi kama M23 chaanzishwa Karagwe,kinafanya mauaji!

    Pole kwa wale wote walioguswa na vitendo vya hicho kikundi. Miaka ya 2000 hadi 2007 ilizuka tabia ya kufyeka mashamba ya watu na saa nyingine kubomoa hata nyumba,matukio ya hivyo yalitokea wilaya karagwe hasa kata ya kituntu na hayo yalikuwa yanafanywa na kikundi cha watu walikuwa wanajiita...
  12. A

  13. A

    Robo tatu ya wanaume ofisini kwake ametembea nao nifanyeje?

    Huyo wa shost yako hatari hata kama ni wivu huyo kazidi,je yeye atajisikiaje pale mkewe atakapokuta no za wadada kwenye simu yake akamwambia kuwa ni wanawake zake? Mie nachukia sana wanaume wenye tabia za hivyo wengine tumezoea utani na saa nyingine unakuta compan yako kubwa ni wakaka.
  14. A

    muhimu

    Mhhh! Kweli hii muhimu............
  15. A

    mapenzi mbona balaa kwangu!

    Kwann usimuulize? Kama ulikuwa unafurahi kuiona mweleze
  16. A

    Robo tatu ya wanaume ofisini kwake ametembea nao nifanyeje?

    Mi binafsi sijaamin naona kama ndoto,haiiniingii akilin kabisa kwa mtu mwenye akili timamu atembee na watu wote hao ktk ofc moja.
  17. A

    mapenzi mbona balaa kwangu!

    Hahaa! Pole kwan uliwahi kumuuliza inamaanisha nn?
  18. A

    Mpelekee yule dada bia . . .

    Huwa sipend kabisa hizo mambo,na mwingine akishamtuma muhudum alete kinywaji nae baadae utamuona anajileta eti samahan aunt tunaweza kukaa wote? Sijui wanafikiri ulikotoka umekosa wa kwenda nae
Back
Top Bottom