Tongotongo zikikutoka hutaandika namna hii hata mstari mmoja tu...
Sina uhakika unaweza kunielewa kwa kiwango kikubwa kiasi gani,lakini tongo tongo zikikutoka utanielewa...
Iwe naweza kujuwa au siwezi,bado haiwezi kubadili ukweli kwamba yupo au kinyume chake...
Jambo tunalolifanya hapa ni kubadilishana mawazo ya namna mimi napna yupo lakini wewe unaona kinyume na mimi japokuwa sababu ni hizo hizo zinazokufanya wewe uone hayupo na mimi nione yupo...
Yote hayo...
Hapa ndipo penye tafakuri ya msingi...
Kimsingi ni kwamba mambo haya hayana faida "kwetu" sisi kama Waafrika lakini kwa hao majamaa wana "faida" kwenye haya mambo...
Hata hii technology, haipo kwaajili ya kutengeneza simu au magari,ina kazi maalum sana ambayo wengi hatuijuwi...
Acha tuendelee...
Mume sahihi anapatikana popote tu,shida inakuja kwa mtafutaji kwasababu anaweza kuwa haelewi aliye sahihi kwake ni yupi...
Shida za namna hii ni nyingi sana,kama ulivyoandika hapo juu...
Kwanini unasema tena hutafuti humu wakati umeanzisha thread?
Wanaume bora hawapatikani namna hii na hawana hizi sifa dada yangu,jitahidi kuelewa kwanza ni nini maana ya kuwa mume ndipo utaelewa mwanaume unayemhitaji kuwa baba wa wanao anapaswa awe na sifa zipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.