Search results

  1. cyrax

    Naomba kufahamishwa gharama ya mita za kujua matumizi ya umeme kwa wapangaji

    Wakuu salam, Kama title inavyojieleza naomba mnisaidie kujua gharama za mita za wapangaji, niepuke migogoro ikiwezekana na mahali zinapopatikana. Asante
  2. cyrax

    Nimekwama wapendwa, nisaidieni nipate kibarua

    habari zenu wana JF, nimekuja tena kuomba msaada wa kibarua hali imekuwa ngumu, baada ya kuzunguka kutafuta ajira rasmi ya kufundisha kwenye shule bila mafanikio niligeukia kwenye kazi za vibarua kwenye ujenzi angalau niweze kulipa kodi na chakula hapa mjini Dar es Salaam. Wiki iliyopita...
  3. cyrax

    Nimesomea ualimu wa Kiswahili na History, natafuta kazi

    Wakuu habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana wa miaka 24, nimehitimu chuo mwaka huu UDSM fani ya ualimu History na Kiswahili ninaishi Dar es Salaam. Ninaomba mnisaidie kupata kazi yoyote ya halali maisha yasonge hali yangu ya kifedha sio nzuri. Nilijaribu kufanya...
  4. cyrax

    Simu yangu Samsung c7 proinaonyesha ina unyevu kwenye port ya usb

    wakuu habari? nimepata changamoto ya hii simu samsung c7pro inaleta ujumbe kuwa ina unyevu kwenye pot ya usb hadi imekataa kuchaji ikiwa imewashwa hadi izimwe. nimejaribu kukausha na hewa ya moto bado tatizo lipo palepale. naomba mnisaidie suluhisho lake hapa ni nin. NB; haijawahi kuingia maji
  5. cyrax

    Ndoto inayotesa kichwa changu

    HII NDOTO INANIUMIZA KICHWA. Nililala nikaota, sikumbukagi ndoto ninazoota lakini hii ya leo ninaikumbuka vizuri na inanikosesha raha; NATAKA KUWA MUASI WA MASUMBWI naweza kuita ndoto yangu hivyo maana ndivyo nilivyoota. Nimeota nilikuwa kwenye uwanja wa masumbwi nikiwa mpenzi na shabiki wa...
  6. cyrax

    INAUZWA EPSON L382 multifanctioning printer used inauzwa 360

    Inafanya kazi zote 3 print scan copy Matumizi mazuri ya wino print page 15000 Inatumia wino 4 vitenki vya nje na ni rahisi kujaza unapoisha. Printer imetumika muda mfupi miezi 3 haikufanyia biashara inatumika kwa matumizi binafsi. Bei ni 360,000 maongezi yapo, inahitajika hela ya haraka. Ziada...
  7. cyrax

    Coca-cola kwa nini mmeleta stone tangawizi huku?

    Binafsi mimi sio mshabiki wa hii kampuni kabisa ingawa baadhi ya matoleo yake ya soda kama fanta niliifurahia kidogo watu walilalamika kuwa haina ladha halisi ya matunda kama ilivyosifiwa lakini ilikubalika kidogo na watu waliikunywa nikiwemo mimi. kutokanana maoni ya wadau hasa watumiaji wa...
  8. cyrax

    Nampenda nahisi ananipenda pia ila mh!

    Wakuu salam, Kama title inavyojieleza kuna binti mmoja amekuwa rafiki yangu kwa muda mrefu sasa kama miaka 2 hivi. Binafsi nilitokea kumpenda sana ila wakati nataka kumueleza nikagundua kuwa ana tatizo la kifafa tangu utotoni na anatumia dawa za kumzuia asianguke kila siku. Kwa sasa nahisi kuwa...
  9. cyrax

    Fikiri nje ya box kutatua changamoto iliyoshindikana.

    SOMA HADI MWISHOO Katika kiwanda kimoja kilichojishughulisha na uzalishaji wa nguo za ndani (pichu), meneja wa kiwanda alipata hasara iliyotokana na idadi ndogo ya pichu katika mauzo tofauti na idadi ya uzalishaji. Baada ya kufanya ukaguzi wa hitilafu kwenye mitambo akakuta kuko salama, akaamua...
  10. cyrax

    Tatizo la storage Nokia n9

    Wadau salam Nina Nokia n9 ambayo internal storage yake ni 31GB lakini katika matumizi ya simu inalazimisha kutumia almost 600 mb Pia application nyingi zinacolapse zenyewe. * ni 4G LTE *android 7.0 *internal 30gb Mwenye uelewa wa jinsi ya kusolve hili tatizo anisaidie au wap nitaweza kupata...
  11. cyrax

    Nijuzeni kuhusu Nokia n9

    Wadau salam, Kama title inavyojieleza naomba kujua kidogo kuhusu Nokia n9 *specifications *bei yake ASANTENI SANA
  12. cyrax

    Sioni dalili ya maisha ya watanzania kuboreshwa

    Kama Sera y serikali ya awamu ya 5 ya viwanda na kurahisisha maisha ya watanzania hasa kauli mbiu ya serikali ya maskini na Tanzania ya viwanda ambayo shabaha kuu ni maisha ya watanzania. Binafsi sioni kama kuna dalili ya maisha ya Watanzania kupunguzwa makali yake, na hata kama dalili hiyo...
  13. cyrax

    Tatizo la uume kuzama ndani

    Jamani habari zenu kama title inavyojieleza hapo juu nina ndugu yangu ana tatizo la uume na jirani yake unakuwa wadogo na kuzama ndani naomba msaada wenu kwa wenye utaalamu juu ya hili
  14. cyrax

    Tanzania yetu really we are victims of our own actions, decisions and blood

    Habari zenu wana jamvi, Naandika uzi huu nikisikiliza wimbo wa LUCKY DUBE unaitwa “Victims” kisha naiangalia Tanzania yetu really we are victims of our own actions, decisions and blood. "Victims" Didn't know she was crying Until now as she turns to look at me She said boy...
  15. cyrax

    Hodihodi humu athee

    Tuko pamoja jamani gurudumu lisonge
Back
Top Bottom