Search results

  1. roboka kafwekamo

    Je, tabaka la wazawa ndani ya CCM limesambaratishwa?

    Ndio maana wasukuma kwanza sio
  2. roboka kafwekamo

    Rais Magufuli na CCM Mkutanoni!

    Sijui anaumwa nini amekaa sana india halafu lumumba walianza kutudanganya mara kinana AHUDHULIA MKUTANO WA VYAMA TAWALA WA JUMUIA YA KUSINI YA AFRIKA Sijui bado yuko kulekule hata hapo pichani sijamuona.
  3. roboka kafwekamo

    Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

    Ruge nia ilikuwa ni kiburudisho tu ataoa kwe mtu mwenyewe ni bongo freva saa ngapi atafanya mahaba na mama toto nyumbani
  4. roboka kafwekamo

    Kwa ujenzi huu wa stendi Kahama

    Ndio mi nipo moro na mikoa niliyotembelea haina stend kama ya moro kwa huku afrika mashariki nafikiri inaweza ikawa ni moja ya stand bora na ya pili ktk stand nilizowahi kuziona nyingine iko nairobi kwa tz ni hii tu ya hapa morogoro. uliza tena.
  5. roboka kafwekamo

    Serikali yasaini awamu ya pili ya ujenzi wa reli ya umeme kutoka Dar hadi Makutupora

    Hawa jamaavhawa kwa kutusahaulisha mambo yao ya nyuma hawajambo mfano huu hautahauliwa eti konoike wanatudai kutokana na ujenzi wa barabara hatujawalipa tunawapamna watz wasahau ya jana nani atakubari aje kujenga reli wakati kila anayetudai hajaanza hata hajaripwa hata buku Reli ya moro...
  6. roboka kafwekamo

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Vipi haiongezi nguvu za kiume maana mi zimeisha nashindwa hata kubeba kalamu na daftari
  7. roboka kafwekamo

    Namna watu wanavyopotea na hatimaye kukutwa wamefariki

    Kwa hiyo hao wanoua wanaona watu wakipungua wa kwa kuuwawa ndio wengine wataweza kuwatunza tukifika zimbabwe au!!!
  8. roboka kafwekamo

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Jamaa utafikili anakoja upenuni jito lake
  9. roboka kafwekamo

    World Economic Forum: Tanzania ni nchi ya tano kwa ukuaji kiuchumi duniani kwa mwaka 2017

    Labda huu utafiti umefanywa na mwenyekiti wa chama mbona sioni hchumi halisi
  10. roboka kafwekamo

    Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Huyu prezdaa ana kimavi we huon anashindwa kufanya mipango ya maana anahangainga na kupiga self na wanajeshi.
  11. roboka kafwekamo

    Dr Magufuli escapes key international events

    Huyu ilitakiwa awe bwana shamba tu kuchunga kitimotozi na simbilisi na nguchiro ,sasa kawa rais mwenyewe alikili kuwa hakuwa tayari haha kwa wazungu hataenda mpaka kufa kwake.
  12. roboka kafwekamo

    Vincent Mashinji: Kuweni waangalifu kwani kuunda jeshi si kazi kubwa sana kama mnavyodhani

    Acha upomole wewe uliambiwa nchi imekabidhiwa washamba na washamba wenyewe ndio hao wanaoona kuongozana na wanajeshi ni kama kuonekana ni mungu ni kikundi cha kishamba.
  13. roboka kafwekamo

    Waliotangaza kuhamia CCM arusha walikuwa wamepangwa

    Aaj sidhani kama kuna wtu wa kuha upinzani kwenda ccm lakin ni kwa nini iwe csm tu vyama vingine havina watu wa kuhamia cvm mh hapo nina waswas hii kitu ni ya kubumba
  14. roboka kafwekamo

    Mateso wanayopitia Warohingya Dhambi ni pale watu wanapokaa kimya madhila yanapotokea

    Sasa tunawaonea huruma wale kule cc wenyewe tuko njiani kwani tinauana kwa tofauti ya itikadi za siasa hakuna anayekemea mawazo Ben na watu alokotwa ruvu na ponpona ya tundu lissu ni mifano kuelekea kuuana.
  15. roboka kafwekamo

    Nyalandu kumjulia hali Lissu: Aitwa kwenye kikao cha Maadili cha chama kujieleza

    Mh huyu ni rais au ni kiongozi wa kikundi cha kihuni
  16. roboka kafwekamo

    Balozi atamani kumpeleka Rais Magufuli Marekani kwa wiki tano

    Mi nimeelewa . kwani anaogopa kwenfa kufundisha kiswahili wakati ualimu aliacha zamani
  17. roboka kafwekamo

    2020 CHADEMA mna kura yangu ya urais mkimpitisha huyu mtu!

    Kama hivi ccm inazidi kupolomoka toka kwa teacher mpaka sasa imebaki ccm ya watu wasiojulikana ndio tunaelekea kuisha hivyo basi tuombe tutawaliwe na "act" kwa sababu ccm imeomba lift kutawala[emoji13] [emoji13] [emoji13]
  18. roboka kafwekamo

    Mahabusu 9 watumia funguo bandia na kutoroka Kawe Police Post

    Ina maana hawakusachiwa na inamaana hakina askari ambaye anabaki kituon hapo mh hii haidaki kabisaa
  19. roboka kafwekamo

    Kamati ya Ulinzi na Usalama wa ya Bunge yashindwa kuwasilisha ripoti juu ya shambulio la Tundu Lissu

    Haha yaaninatka wasemane wenyewe huu utakuwa ni uooooooongo yangu lini
Back
Top Bottom