Search results

  1. M

    msaada kwa wataalam wa tax evaluation

    heshima kwanu wanabodi, Naomba msaada wa ufafanuzi namna TRA wanavyokokotoa mahesabu ya kodi yao. mimi nilikuwa mwajirika katika sekta binafsi na mkataba wangu uliisha dec 2012 na makusanyo yangu kwa muda wa miaka miwili niliofaya kazi yalikuwa ni jumla ya ya Tsh 2,800,000/=, kwa...
  2. M

    Tumuenzi Mwal

    kuna wakati nilikuwa stendi ya Arusha na kuna wajaririamali walikuwa wanauza cd za hotuba mbalimbali na matukio ya viongozi walioheshimika sana Africa Kama mwl NYERERE na kujinyakulia CD 2. Naomba kama kuna mtua anaweza kunisaidia kupata mwawasiliano na wahusika. kwa sasa nipo Tanga mjini kikazi.
  3. M

    Elections 2010 wana igunga, kuweni makini jumapili

    kama wana igunga hamjapata mishahara kuweni makinii mana mishahara inaweza kuachiwa jumapili ili watumie muda wao mwingi kwenye foleni za mabenki ili wasiweze kupiga kura. wasiawsi huu ni kwa sababu sehemu nyingi mishahara bado haijatoka kwa wafanyakazi wa serikali.
  4. M

    Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

    maamuzi magumu yaliyochukuliwa na cc ya cdm kuwavua uanachama madiwani watano wakaidi ni kielelezo cha dhamira ya kweli ya chama makini kusimamia sheria na taratibu sahihi katika kuiongoza jamii. aidha uamuzi kama huu unaweza kuchukuliwa na baadhi ya watu kama mtaji wa kisiasa kuwatumia...
  5. M

    Kwa yeyote anayehusika

    Nawasilisha maombi kwa yeyote mwenye nakala za hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara ya nishati na madini kutoka kamati ya nishati na madini na ya msemaji wa kambi ya upinzani kwa wizara ya nishati na madini. Tafadhali, wana jf naomba mwenye kopi aturushie hapa jamvini. Naomba...
  6. M

    Kwa yeyote anayehusika

    Nimefuatilia kwa makini sana hutuba nzuri zilizowakilishwa na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini pamoja na maoni ya kambi ya upinnzani katika wizara hiyo na nimeona itakuwa busara kama kuna yeyote mwenye access na hotuba hizo aturushie hapa jamvini ili nasi tupate kuzisoma ndani...
  7. M

    kwa yotote anayehusika

    Nimefuatilia kwa makini sana hutuba nzuri zilizowakilishwa na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini pamoja na maoni ya kambi ya upinnzani katika wizara hiyo na nimeona itakuwa busara kama kuna yeyote mwenye access na hotuba hizo aturushie hapa jamvini ili nasi tupate kuzisoma ndani...
  8. M

    kwa yotote anayehusika

    nimefuatilia kwa mamakini sana hutuba nzuri zilizowakilishwa na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini pamoja na maoni ya kambi ya upinnzani katika wizara hiyo na nimeona itakuwa busara kama kuna yeyote mwenye access na hotuba hizo aturushie hapa jamvini ili nasi tupate kusoma...
  9. M

    Ubahili nooma!!!!!

    Jamaa wa kipare alitumbukia kisimani , mkewe akawa anatafuta namna ya kumuokoa bila mafanikio. Mashuhuda wakamshauri anunue kamba na kumrushia ili aishike apende juu. Mkewe akatekeleza ushauri . Baada ya kuileta kamba na kumrushia, mume akauliza kamba imenunuliwa shilingi ngapi, naye...
  10. M

    "....mapambano yataendelea.

    wana jamii tupatieni taarifa ya mazishi ya mpambanaji wa CHDM aliyeaga dunia huko shinyanga. "Askari mmoja anapokufa vitani huwaongezea NGUVU waliobaki kuendeleza mapambano kwa bidii zaidi"
  11. M

    Kujivua gamba hakusadifu maudhui

    Nimejaribu kutafuta maana na tafsiri sahii ya usemi "kujivua gamba" . Neno gamba kwa maana pana ni kama nyumba au kitu mfano wa container lkinachotumika kuhifadhia kitu/vitu fulani; kwa msingi huo kilio cha watanzania wengi cha kutaka mabadiliko ya kweli kwa wanaoitakia mema nchi hii...
Back
Top Bottom