Search results

  1. Mulama

    Nimrudishie nini Bwana?

    Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12. Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa umenipa makumi mawili matatu hapa kwenye ardhi yako nikiwa timamu na afya tele, ahsante Mungu kwa...
  2. Mulama

    Shimo hatarishi barabara ya Uhuru , Kariakoo

    Barabara ya Uhuru kwenye makutano ya mtaa wa Likoma eneo la Kariakoo pembeni ya Benki ya Akiba kuna shimo kubwa lililoachwa na wajenzi wa Barabara ambapo ni zaidi ya mwaka sasa. Shimo hili ni hatarishi sana kwakuwa hata wauza nguo za kushikilia mikononi wanalizunguka shimo hilo muda wote ikiwa...
  3. Mulama

    TPSIS Kuchangia Sekta ya Ulinzi Shirikishi Nchini.

    Hii ni programu nzuri sana ,badala ya kukamatana mitaani kulinda sungusungu watatumika wenye mindset za ulinzi kufanya kazi hiyo.
  4. Mulama

    Je, wewe ni mlinzi binafsi, baunsa au bodyguard?

    Soma tangazo na uchukue hatua za kujiunga bila kuchelewa.
  5. Mulama

    Habari za ITV zimekuwa kama za TBC

    Kuna huu utangazaji ulioanzishwa na hii TV ya Mengi tangia vyombo vya habari vilipoambiwa "not to zat extent watch it" habari zake zimekuwa kama za TBC au hata kuizidi! Kama wahusika wamo humu watueleze kama hili ni la dhati kutoka moyoni mwao?
  6. Mulama

    MKUU WA MKOA WA SONGWE

    Jamani Brigedia Jenerali akiwa full combat anaendesha kikao cha utawala ofisi ya kiraia, hili limekaaje wadau?
  7. Mulama

    Kweli sio kweli?

    Kumhonga demu kabla hujakupa papuchi ni sawa na demu kukupa papuchi kabla hujamuoa kweli so kweli?
  8. Mulama

    Baba wa taifa kutangazwa mwenye heri, wakatoliki hili limekaaje?

    Sidhani hata yeye angeshirikishwa angekubaliana na hili! Au kuna mtakatifu yeyote aliyewahi kuua kisha akawa mtakatifu? tujuze wanazuoni wa kikatoliki tafadhari.
  9. Mulama

    Rpc Shana na mauaji

    Hivi huyu Shana nani kampa kibali cha kuua? Maana kaua walioiba gari Costa kahama leo tena itv wanataarifu kuuawa waliokuwa guest house wamepumzika eti wanadhaniwa kuwa majambazi. Tena anajigamba kumpiga risasi zisizo idadi anayesemekana kukimbilia juu ya dari hajatuambia kama naye alikuwa ana...
  10. Mulama

    Les Mangelepa Shindano ya moto.

    Mwenye kujua siri ya mafanikio ya hii band kukaa kwenye fani kwa umoja kwa zaidi ya miaka 40, anijuze please.
  11. Mulama

    IGP Mangu.

    Jamani naomba kujuzwa huyu afande yupo au kahama nchi? Maana hasikiki kabisa!
  12. Mulama

    Iachieni CCM siasa kwanza

    Kutokana na hali ilivyo nchini mwetu kwa sasa, ni bora mtu yeyote mwenye akili zake timamu akaacha kufanya siasa ili kunusuru maisha yake. kwakuwa kupigania maslahi ya taifa kwa njia ya siasa kunahusisha kukutana na watu na kuzungumza na watu jambo ambalo limekatazwa kabisa na wanaotumia mabavu...
  13. Mulama

    Wanasiasa wa mageuzi simama imara mrejeshe imani ya wanachama na wapenzi wenu

    Nalazimika kuandika haya kuwataadharisha wana wa mageuzi hatari iliyoko mbele yenu. Lakini kabla ya yote napenda ku declare kwamba mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchini ila ni shabiki wa mageuzi. Hoja yangu inajikita kwenye imani iliyokuwepo kwenye vyama vya siasa kabla...
  14. Mulama

    Trafiki Morocco jirekebisheni, mnakamata watu kwa kuwabambikizia makosa

    Jamani Trafiki ebu tuoneeni huruma jamani doh mtatufirisi kama mkiendelea hivi, mnakaa kwenye mataa hasa pale Morocco mnakamata gari za watu kwa kuwabambikia makosa ya kupita taa nyekundu, na mtu asipowapa ya kubrashi viatu mnatwanga ya kwenye hiyo mashine zenu? Mafuta yameshapanda jamani...
  15. Mulama

    Gari aina ya Suzuki Carry inauzwa

    Ni DAHIATSU HIJET sio SUZUKI CARRY Wajameni! Akajabeba mizigo tangia kametoka jp, bei M9.5 karibuni in box kwa biashara
  16. Mulama

    Uhuru na usafi ili kukomesha kipindupindu, Pongezi kwa Rais

    Ndugu Rais, Tafadhari husika na somo tajwa hapo juu, maana nimeona nikuandikie kupitia jukwaa hili kama hutoisoma wewe lakini naamini vijana wako tulio nao humu watakufikishia ujumbe. Nakupongeza sana kwa uamzi wako wa kuona suala la usafi wa mazingira na kuzuia kipindupindu ni muhimu na...
  17. Mulama

    Mkuu wa Mkoa wa Dar toa agizo kwa Halmashauri ya jiji ipambane na maji machafu

    Tafadhali sana mkuu wa mkoa wa Dar utoe agizo kwa Halmashauri ya jiji ipambane na maji machafu yanayozagaa kila mtaa wa jiji, najua amri yako ina nguvu kama vile ulivyokomesha wamachinga na bodaboda mjini kwa sababu zinachafua jiji lako. Picha hizi nimezipiga leo eneo la ofisi za jiji (City...
  18. Mulama

    Mazingira Day

    Wakati taifa linaadhimisha siku ya Mazingira Duniani hii ndio hali halisi ya jiji letu la Dar, japo wakubwa wako Mwanza kula kuku kwa tiketi ya Mazingira hayahaya!
  19. Mulama

    Hivi polisi ………?

    Leo kwenye taarifa za habari tv one na itv yameoneshwa matukio mawili yanayohusisha polisi kuvamia watu, waliotulia na kuanzisha vurugu na kisha kuwajeruhi kwa mabomu ya machozi hata risasi za moto. La kwanza ni tabora ambapo Dr Hamisi Kigwangwala alikuwa anaongea na raia wake huko tabora...
  20. Mulama

    Wasomi na hatima ya Tanzania

    Ningependa kuuliza , hivi kweli Tanzania kuna wasomi? Na kama wapo je ni viashiria (indicators) gani vya kuonesha kuwa hii nchi ina wasomi tena wengi? Naomba msinishangae kwakuwa aulizaye ataka kujua jamani, na kwakuwa nijuavyo mimi ni kwamba msomi ni yule anayetumia elimu yake kufanya...
Back
Top Bottom