Search results

  1. jofujulius09

    Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Oya wakuu vipi simu za mkopo za tigo kuna ukweli kuhusu kuzi unblock wazee???
  2. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Ok shukran chief nimekuelewa vzr
  3. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Nimekusoma mkuuu na k2 kingine kwamba nna miaka 21 arafu nna diploma na kwenye sifa zao diploma kuanzia miaka 23 hapo inakuaj chief??.
  4. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Nimejitetea kiivo jee nimeenda opii au niko right kuandika ivo
  5. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Ok shukran chief kwa kunipa moyo nimejaribu kuapply tayar na kweny barua nimeandika kuwa nimeambatanisha progres coz vyet bdo mpaka mwez december 2 ndio tutapata hzo transript. Na vip kuhusu kusort barua sana sana wanaangailia nn chief??
  6. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Ok mekuelewa nilienda kuuliza transcript chuon kwe2 wakasema bdo but wametupatia progress report ambayo inaonyesha coz zote nilizosoma na grade zake kasoro GPA sasa si naweza tumia tuu ata hii chief
  7. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Aah ok cz nimeona kweny qualification zao fom4 wa mwaka huu wanatumia statement of results
  8. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Sory mku iv kwa mfano tuliomaliza vyuo mwaka huu hatuna origino vyeti ila tuna statement of results twaweza tumia mzee kuapply
  9. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Naendelea kuwakumbusha mwez hhuu ndio unaisha ivo asante
  10. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    nawakumbusha tuu leo ni 4 september!!
  11. jofujulius09

    Nafasi za JKT zinatoka lini?

    mbona official web hamna hii kitu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. jofujulius09

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    Afu mzee ipi njia bora kat ya hiz; 1. kuanza kuandaa project kama nna idea then kitu kikinishinda ndio nikasome. 2. ama kusoma kabisa kila kitu then niandae project ipi bora apo mkuu wangu?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. jofujulius09

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    aah nimekuelewa mkuuu ishu ni kwamba nimesoma kitabu hcho nkawa nimeplactise tuu ile mfano yote ya mule kitabuni sasa je? mkuu kwakufanya mazoez mbalimbal naweza kujua kutengeneza web based system ama android app apo ndio hcho ktu kilikuwa kinanitatiza pia mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. jofujulius09

    Vijana jifunzeni programming you wont regret it

    MI nilikuwa naombeni msaada jaman. NImekuwa nitaman sana kujua code kwa kipindi kirefu. Nikawa nimeanza kwa kusoma vitabu mbali mbali kama java programming 6Ed but shida ni kwamba sijajua utaratibu mzur wa kusoma kwa kuzielewa yan nimesoma ktabu karibia chote na tutorials but sion changes zaid...
  15. jofujulius09

    Ushauri kwa vijana wenzangu ambao wako nyumbani na hawana kazi

    Nimejifunza ktu apa. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. jofujulius09

    Which lock can open this thing..

    1 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom