Search results

  1. Nizhneserginsky

    Vijana wajuaji wa kibongo..utasikia...

    "Fifa huniwezi bro" "Mshikaji wangu katoboa kwa forex" "kidimbwi michoro" "Klopp kocha" "Kilimo cha tikiti kinalipa sana" "Nina mwanangu yupo china" "Mondi sahiv anaandikiwa na mbosso" "zuchu promo sana" "OG bei zake huwezi" "unampata sir jeff?" "Aisha ananishobokea kinoma afu si-mindi...
  2. Nizhneserginsky

    Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

    Wasalamu wanaJF.. Nimekuwa kwenye mahusiano tofauti tofauti sijaachwa kama nilivyoachwa kwenye mataa round hii. Mtoto mkali wa kitanga, nimetongoza kwa miezi kadhaa, kanielewa mapenzi yakaanza, hudumia sana, muda wote akawa anatamani kuwa na mimi muda wote, video call mpaka midnight, simu za...
  3. Nizhneserginsky

    Mbinu za kula tunda kwa mwanamke aliyekusumbua kwa muda mrefu

    Kama heading inavyosema,bila kupoteza muda,ni mbinu gani ulitumia kula tunda kwa mwanamke/msichana uliyemtongoza kwa muda mrefu bila ya mafanikio? Binafsi nilitongoza demu kwa muda wa miezi 3 alikuwa mgumu, siku moja nilimwalika dinner alikuja na rafiki yake nikasema "fresh" baada ya siku...
  4. Nizhneserginsky

    Nahitaji kufungua akaunti Azania Bank

    Habarini wanaJF,poleni na majukumu ya kila siku. Nahitaji kufungua akaunti (saving A/c) Azania Bank, ningependa kufahamu gharama za uendeshaji kila mwezi, vile gharama za kutoa pesa ATM na kwa Mawakala. Natanguliza shukrani.
  5. Nizhneserginsky

    Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada. Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo Binafsi nina visa viwili. 1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
Back
Top Bottom