Search results

  1. M

    Maelekezo ya Waziri Silaa yatekelezwa

    Waziri Silaa aje atembelee UKEREWE alone hali ilivyo. Hakuna National housing; watu, wafanyakazi wanalazimika kuishi katika makazi duni ya kupanga ambayo hayaridhishi. Hamna hoteli wala majengo kwa ajili ya benki. Tafadhari njoo uone hali halisi. Kuna beach safi sana kule Rubya ambazo zingefaa...
  2. M

    Barabara ya Nansio hadi Kakukuru; Viongozi wilaya ya Ukerewe mnamuaibisha Rais Samia

    Utashangaa, mtu akipewa post kwenda Ukerewe anagoma hadi kwa mbinde, akienda aka fanya kazi miezi miwili mitatu basi..hata akipewa transfer hakubali bora aache kazi kuliko kuondoka Ukerewe. Kunani huko jamaniii?
  3. M

    Barabara ya Nansio hadi Kakukuru; Viongozi wilaya ya Ukerewe mnamuaibisha Rais Samia

    Acha viongozi, tatizo ni huyo mbunge, hasikiki wala hata bungeni hachangii lolote. Hizo njia/ barabara ni za toka enzi kabla ya uhuru
  4. M

    Wana falsafa na jina la daktari

    Nasikia na kuona maandishi kwa kila mwenye shahada ya uzamivu kuitwa daktari!!! Je hii ni sahihi? bakita wangetusaidia kwa hili. Kwa maoni yangu: daktari ni tabibu na huyu mwanazuoni mwingine ni dakta au litafutwejina jingine. tuwaachie matabibu jinalao na heshima yao wanayo stahili.
  5. M

    Hatari: Kituo cha mabasi mkabala na Holiday Inn mtaa wa Azikiwe Posta Mpya

    Kituo ni kipi pale kwa magari yatokayo kivukoni kuelekea kariakoo na Nyerere Road????
  6. M

    Fahamu makabila yaliyotoa wasomi wengi nchini

    HAJAKOSEA WENGI NI MAPROFESA . MTU MUHIMU ZAIDI YA MWALIMU NI NANI????
  7. M

    Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

    Kwa anayetaka kuinvest kwenye crypto: Nunua BUXCOIN ambayo ni 3rd generation na ina trading platform yake yenyewe. bado iko changa Euro 0.3 kwa coin kwa miezi 20. Minimum nvestment Euro 200
  8. M

    Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

    Niko serious. Nawashauri watanzania waanze kupata elimu ya cryptocurrencies ni muhimu sana
  9. M

    Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

    shule inapatikana wapi? nami nataka kusoma
  10. M

    Nimeletewa taarifa na Wanangu kuwa Shuleni kwao watafanyiwa chanjo ya kichocho na Minyoo. Nimekataa wasipewe chanjo

    Mhhh... nashawishika kuwaza saana! Pamoja na kwamba nisingependa kuafiki msimamo wako lakini umenifungua macho na akili yangu. S vizuri kukubishia moja kwa moja lakini maneno yako yana punje kiasi za ukweli. Wataalam fungueni macho, Bill Gate na Monsanto si wa kuwaamini sana. Ni MUUMINI MKUU wa...
  11. M

    Hatari: Kituo cha mabasi mkabala na Holiday Inn mtaa wa Azikiwe Posta Mpya

    Inahusu kituo cha mabasi au daladala kilichopo mtaa wa Azikiwe, Posta Mpya. Nawaomba wahusika hasa Wizara ya Mambo ya Ndani kukiangalia au kukitazama hiki kituo kwa jicho la ziada. Kituo kiko chini ya jengo refu ambalo shughuli za ujenzi unaendelea. Natabiri ajali kutokana na ujenzi na watu...
  12. M

    Kijivideo: Masogange akiwa nyumbani kwake Makongo

    SI SAHIHI HUU NI UNYANYASAJI NA UVUNJAJI WA HAKI ZA BINADAMU. MAMAKO / DADAKO AKIPIGWA PICHA MAKALIO YAKE UTAJISIKIAJE??? MIMI NINGEKUCHUKULIA HATUA ZA KISHERIA
  13. M

    Feza boys: Form one - form four zaidi ya Tsh Million 45! Serikali idhibiti hizi ada

    walipaji wenyewe hawajalalamika iweje wewe? huwezi soma pale unajiengua mwenyewe kisailensa.
  14. M

    Tunu ya Ukerewe

    mpashe!!!
  15. M

    MO Dewji punguza tamaa, kila biashara unataka ufanye wewe!

    HIVI KUMBE WATU WENYE MENTALITY HASI KAMA WEWE BADO WAPO??? unasema tu wakati umekaa kijiweni; ingia field ukafanye kazi. usikute wewe ni mtoto wa tajiri kazi stori, lawama, kunung'unika bila sababu huku unashinda na smartphone unachat kutwa. usimsakame, kuwa mbunifu nawe
Back
Top Bottom