Search results

  1. Chance ndoto

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Mm sijui gridi ya taifa ni nn? Hvo sijui mambo hayo. Habari ninayoijua ni hiyo. Maana nilikua jirani kitambo hko.
  2. Chance ndoto

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Man u GG Everton win Jkt Draw Psg win Lamia draw Newcastle loose WEKA ROHO. Saiv tungekua tunatabasamu. Ila nani anaweza jua hili.
  3. Chance ndoto

    Je, ni sawa kuchangisha michango ya harusi kabla ya Kupata mchumba?

    Kaka aaaanh aaaaanh. Usifike huko sasa. Sisi wanaume bwana. Kuwa na heshima bwana. Tuheshimiane bwana. M200 aaaaaanh. Tumekuheshimu tunachangia mada unapoelekea pabaya sasa.
  4. Chance ndoto

    Furaha Dominic, Mpwa wa Hayati Magufuli apandishwa Kizimbani kwa kusambaza Picha za Ngono

    Tajiri kijana kabisa. Kijana mtanashati. Kiongozi mkubwa kabisa pale TCB. Vijana walistalk ili wapate video wazitumie kupiga hela. Kijana ndio mambo yake huyo. Ishukuriwe tripple 7 imefungwa. Ndio vuna pesa style yake huyo.
  5. Chance ndoto

    Vijana wenzetu wenye ajira na mishahara mizuri, how it feels up there?

    Jf hamna muajiriwa, ni jobless na Watafutaji tu, Much knows. Hili swali nenda linkedin
  6. Chance ndoto

    Umewahi kufikiria Wasanii kuwa katika mahusiano na kuanzisha biashara wakafanikiwa?

    G nako na yasinta wayback toka enzi za shule.
  7. Chance ndoto

    Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Mzee wangu huyu😂😂😂kama kijana swaga zake
  8. Chance ndoto

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    1.Hakukuwa na sababu ya kuhama uwanja. 2. Sheria inamruhusu home team kutoa taarifa kwa age group registrar kuhusu mechi reschedule na si away team, yaani kama unasema ruvu wamefosi kucheza mechi wako sahihi na sheria ipo uoande wao. 3. Manager wa pitch hutoa taaarifa kusitisha auu kuendelea kwa...
  9. Chance ndoto

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Thread inaendelea, Asian CL semi finals pia viwanja vilipata hali hii hii kama uwanja uliocheza leo yanga, naongelea semifinals tarehe 16 april, kutoka a na mvua hizi hizi, ilibidi michuano isimame. Wewe bwana sasa unaongea humu na pointless opinion wewe kama naanni? Mbona mawazo yako ya kitoto...
  10. Chance ndoto

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Mwaka huu april 10, uwanja huo huo, game kati yaa dundee naa rangers, ilihairishwa kwasababu ya uwanja kujaa maji. Na haujafingiwa, next game mbungi likapigwa, tena uwanja ukiwa lapulapu, ila mvua haikunyesha na game likaishia 0-0 kama jkt na yanga.
  11. Chance ndoto

    TFF na Bodi ya Ligi mnaogopa kuufungia uwanja wa JKT Tanzania au kwakuwa ni uwanja wa Jeshi?

    Ww umepata nguvu wapiii? Kusema TFF Waufungie uwanja. Yaani kisa maji, kisa kuhairishwa ndio ufungiwe? Unaleta hisia kwenye vitu vilivyopangwa tena bila wewe kuhusika? Watanzania tubadirike tukikosa facts basi tusome tuestablish atleast some facts, huu ujinga gani umeandika, yaani ndio tungekua...
  12. Chance ndoto

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Sababu zpo nyingi tu kwa uliowataja. Ugonjwa gadner na gamba Ajali fredwaa dereva alikua amelewa. Prince alifariki akiwa kwenye session ya maazoezi ya viungo akiwa kwake. Hii hata gym ya sinza pale mapambano vijana watatu washafariki wakiwa mazoezini. Hivo kuna umri shughuli huwa nyingi...
  13. Chance ndoto

    SWALI FIKIRISHI: Kama kungekuwa na kuchagua ni namna gani ufe ungechagua kifo cha namna gani?

    Dunia inionee huruma, nisiumwe, one time and there i am dead,hata usingizini. Nipitilize.
  14. Chance ndoto

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Huwa anavaa hivo mara nyingi katika harakati
  15. Chance ndoto

    Sababu ya Lady Jay Dee kuachana na mumewe

    Sakata lilianza gadner alipopata dili la utangazaji kenya, jide akagoma enzi hizo. Kwasababu ya michongo yake ya machozi band, nyumba mpya kimara, na biashara zingine. Na gadner ndio alikua managing director wa hayo mambo, baadae gadner akakubali kuachana na dili, ila sasa balaa likaja kuanza...
  16. Chance ndoto

    FT: JKT Tanzania 0-0 Yanga | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 24.04.2024

    Kumbe yanga wale wale tu shenzi Hakuna cha simba wala yanga. Acha tuhamie Ulaya tu
  17. Chance ndoto

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Flexed money ndio unapewa
  18. Chance ndoto

    Do this to become profitable in 2024 ....

    🔥vijana wasikilize hii
Back
Top Bottom