Search results

  1. M

    Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

    Hoja zipi? Yeye kakwambia kwmba unatakiwa ufurahie so why uaze kuonesha mahaba kwa chadema tena we ni mbunge wa CCM? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

    Juliana Shonza hata hatuna haja ya kukujibu kwa hoja kwa kuwa hoja zako ni dhaifu sana. Ushauri wangu wewe ni mbunge viti maalum now hebu jikite kutafuta Jimbo la kugombea najua ulishazoea kuandika ujinga kuhusu chadema ili upate elfu saba kwa kazi hiyo kwa siku. Na ninajua umeshaathirika na...
  3. M

    Hitimisho: CHADEMA kuna ombwe la uongozi

    Mjomba nadhani wakati huu ungefanya kazi ya kuijenga chana yako chakavu. Ombwe unalosema liko Kwa Magufuli nadhani uaze kwanza kukosoa huyo rais wako Butu kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Haya Ndio Maelezo Aliyotoa Mange Kimambi Kuhusu Tatizo La Msanii Kabula!

    Duuuh! Hii nayo kali Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    ITV Daima tafadhalini kwa mateso haya mnayotupa, tuombeni radhi haraka Watazamaji wenu

    Pumba zingine bhana!? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Prof Lipumba: Nina Uwezo Wa Kuwashughulia Kubenea, Sumaye, Lowassa Na Referee Wao Maalim Seif

    Huyu jamaa uprofesa wake umezeeka kwelikweli Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Lissu asema Rais Magufuli hana ubavu wa kuukabili upinzani

    Ni kweli wenzake wanatumia utaratibu wa kisheria yeye anatumia nguvu ataweza wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Rais Magufuli ni Nyerere wa pili

    Aisee usijaribu kumlinganisha huyu Mjinga wako na Mwl Nyerere utapata laana. Mwl JK alisimamia Katiba ya nchi. Halafu aliyepost ukiuliza utaambiwa ni msomi wa chuo kikuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    NEC imekiuka kanuni za uteuzi wa viti maalum

    LIPUMBA amedharirisha sana Uprofesa wake
  10. M

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Nadhani labda zilizopo kwenye jimbo lake Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Hiana shida maana wengi wao ndo hawa wamekuwa watu wa kujipendekeza kwa wakubwa wa nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Jinsi Tundu Lissu anatumika na wazungu kuharibu amani watanzania tumpuuze

    Nadhani wewe unayetuletea uzushi huu unatakiwa kupuuzwa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Jinsi Tundu Lissu anatumika na wazungu kuharibu amani watanzania tumpuuze

    Hivi nani anayetumiwa na Wazungu kati ya aliyeuza nyumba za serikali kwa kufuata maneno ya wazungu ya UBINAFSISHAJI? na Anayesema huyu ni mharibifu anahitaji kukemewa kwamba azungatie sheria za nchi? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Katibu Mkuu mstaafu wa CHADEMA Dr. Wilroad Slaa salaam!, Nimesoma thread yako nimeipenda sana hasa kwenye kukumbusha Sheria na utaratibu wa kuendesha siasa. Lakini kuhusu la kukamatwa Kwa Katibu Mkuu wa CHAD EMA Dr. Mashinji ni kwamba taarifa zilipelekwa polisi na waliridhia. Hadi siku ya...
  15. M

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Anayayoyafanya now na kuyakosea ni damu alizomwaga zinamlilia.
  16. M

    PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya!

    Kwa hiyo anapofanya mabaya tuyafurahie tu? Na hao wananchi unaosema wanaona nini wanachoona?
  17. M

    Msaada Programmers (Python)

    Duuuh! Kweli humu ndani ni great thinkers
  18. M

    Kuhusu TLS: Itabidi Tundu Lissu ajiuzulu

    Yaani tujue logic ya andishi lako ulipaswa kurefer miaka at least mitatu nyumba kwa kuwataja waliowahi kuwa marais wa TLS hapa kwetu pengine logic ingeonekana but now najua dawa Kali mnalazimishwa kunywa.
  19. M

    Kuhusu TLS: Itabidi Tundu Lissu ajiuzulu

    Mbona hutaji marais waliopita walikuwaje. Wanasiasa au siyo? Lakini kwa nini una predict sasa kabla hata hajaaza kazi ili tuone hiyo conflict of interest kama Ipo? Kama chini fikiri upya. Hapa panaitwa the home of great thinkers
  20. M

    Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

    Findisho na kwa wengine walevi wa madaraka
Back
Top Bottom