Search results

  1. AshaDii

    Kupokea simu ya Mpenzi/Mwenza pale inapokuwa karibu yako ni ruksa?

    Habari wana JF, Kwanza nifurahi kwamba nipo miongoni mwenu na haswa katika kuwasilisha suala ambalo kila mmoja wetu linamgusa kwa namna moja au nyingine. Mimi ni mdau wa MMU, napenda yale yote yanayohusisha mapenzi na mahusiano kwa namna moja ama nyingine. Leo hii ningependa tushirikiane...
  2. AshaDii

    Taarifa Ya hali Ya Uchumi wa Tanzania - Watanzania wengi zaidi watakuwa mijini kuliko vijijini

    Habari wana Jf, Katika kusoma ripoti ya Benki ya Dunia juu ya hali ya Uchumi wa nchi yetu Tanzania, nimevutiwa na nimeona si vibaya niliwasilishe hapa ili tubadilishane mawazo ya kile ambacho tayari tunakielewa, kile kilichopo katika ripoti kama tunakubali au kukataliana nacho na msingi zaidi...
  3. AshaDii

    Haya huwafanya baadhi ya wanawake (Mabinti) kusita kuingia katika ndoa…

    Habari wana Jf, Mara ya mwisho nilizungumzia juu ya baadhi ya sababu ambazo hufanya wengi wa wanaume kusita/kusua sua kuingia katika ndoa kupitia mada hii -...
  4. AshaDii

    Baadhi ya SABABU ambazo huwafanya Wanaume wengi waogope kuingia kwenye NDOA

    Habari Wana Jf, Leo nazungumzia wanaume na kusua sua kwao kuoa. Vijana wengi wa kiume hujikuta katika wakati mgumu kuchukua maamuzi ya kuishi na mwanamke japo yawezekana wakawa wanatamani kufanya hivyo kwa muda mrefu kutokana na vikinza vingi, vingine vikiwa ni vya kimaisha na vingine ni...
  5. AshaDii

    KUZALIWA na kuendelea KUZALIWA Upya...

    Habari wapendwa wa Jf, Leo ni siku kubwa kwangu… Siku yangu ya kuzaliwa Kwa misingi ya siku niliyoingia hapa duniani ni tarehe kama ya leo June 23 miaka mingi iliyopita. Naomba nitumie nafasi hii kuongelea MTAZAMO wangu juu ya kuzaliwa kwa mwanadamu. Mie naamini kuwa mwanadamu...
  6. AshaDii

    Aina ya Wanaume WATONGOZAJI kwa vigezo vya sababu...

    Wapendwa wa MMU nawasalimu with Love, Katika ulimwengu wa utongozaji mambo yamebadilika sasa to the extent hata akina dada/mama huwa tunajilipua once in a while. Ila ukweli unabaki bado kwa kiasi kikubwa wanao ongoza kutongoza ni akina kaka/baba. Na katika kutongoza huko wengi huwa na sababu...
  7. AshaDii

    Zitto: Suala la Mtwara ni zaidi ya Gesi asilia - Kutumia nguvu ya dola sio njia pekee ya Amani

    Habari wana Jf, Huu ndio mtazamo wa ndugu Zitto kwa ufupi juu ya suala la Mtwara. Zitto Kabwe: Serikali iangalie upya namna inavyolitazama suala la Mtwara. Hivi sasa suala hili linaonekana kiusalama zaidi badala ya kuliona kama suala la kijamii na maendeleo lenye kuhitaji kujenga imani ya...
  8. AshaDii

    Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    Wana Jf, Nina habari za kusikitisha za Maxence Melo na ndugu yake Chrispine Ndyamukama wamepata ajali mbaya ya gari katika barabara kuu iendayo Mwanza kilometa chache kutoka Nzega mjini. Ndugu zak wamesema hali ya Maxence kwa sasa si mbaya sana na walikimbizwa katika hospitali ya Rufani ya...
  9. AshaDii

    NGONO: Wanawake na Wanaume tunapoamua 'kujiachia' na Madhara yake…

    Habari wana Jf, Kwa mara nyingine tena nimeona vema nishirikiane nanyi katika hii hoja ya kujiachia kwa miili yetu katika kufanya mapenzi na wapenzi wetu. Hapa ninaposema kujiachia sina maana kujiachia wakati wa faragha kufurahia tendo… Bali nazungumzia kujiachia kwa bahati mbaya ama...
  10. AshaDii

    Kwa muktadha huu "URAIS" ni wa CCM 2015...

    Habari wana JF, Kawaida kama wanadamu huwa tunakuwa na matarajio ya vitu mbali mbali, na matarajio hayo huegemea tokana na viashiria vinavyowezesha haya matarajio ku materialise. Tumetofautiana katika kusoma viashiria hasa pale amapo viashiria hivyo kuwa ni vya ku donoa donoa! Ingawa kuna...
  11. AshaDii

    TUJITAZAME katika nafsi na nafasi zetu juu ya UDINI

    Habari wana Jf, UDINI… Ni jambo ambalo wazi kabisa lipo katika jamii yetu na kuwa umeamua kuja kabisa na kiti na kukaa hapo bila dalili ya kutaka kuondoka.. Dini ni suala la MSINGI katika maisha ya kila siku ya mwanadamu hasa kwa wale watu wa Imani. Haijalishi upo dini gani; kila dini...
  12. AshaDii

    Wapenzi wa aina hii ni HATARI kwa afya yako...

    Habari Wapendwa wa Jf na wana MMU woote... Kwa mara nyingine nashare yale niliyo nayo katika mahusiano yetu haya ya kila siku ambayo tunafurahia na wakati mwingine kutuendesha. Ukiwa na mtu (mpenzi au rafiki, mchumba ama mwenza) mara nyingi matarajio huwa ni kufurahi na kufarijika juu ya...
  13. AshaDii

    Mdahalo: Nape Nnauye vs Yericko Nyerere

    Wana JF, Baada ya maombi ya Yericko Nyerere na Nnauye Jr kuwa wawe na mdahalo wa wazi, JF imeniomba niusimamie mdahalo huo baina ya wawili hawa. Yatagusiwa masuala kadhaa lakini hatutakwenda kwenye personalities. Yatahusu siasa zetu na vyama vyetu vya siasa nami nitajitahidi kufuatilia...
  14. AshaDii

    EXCLUSIVE Interview with Zitto Zuberi Kabwe at Jamii Forums [Coming Soon]

    Habari wana JF, Nimebahatika kuwasiliana na Mbunge wa Kigoma kwa ticket ya CHADEMA, Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe; na kuwasilisha ombi langu la kumhoji 101 kwa kupitia mtandao huu wa JF kwa ruhusa ya Maxence Melo mmoja wa JF Founder. Bahati nzuri sana kiu yangu juu ya kuweza pata hiyo nafasi...
  15. AshaDii

    Chai ya Maziwa Fresh ya Viungo

    Habari wana JF, Hapa nilipo kuna kibaridiii... Nimejipongeza kwa kunywa chai ya maziwa ya viungo. Nimeona sio mbaya nikishare hii ladha ambayo naona ni nzuri sana hasa pale ukiipatia. Kuna baadhi kupika chai ya maziwa ya viungo inawashinda ingawa wanapenda. Yaani akiweka viungo anashangaa kuwa...
  16. AshaDii

    >x< > x < > Happy Birthday Mtambuzi < > x < > x <

    ... Mtambuzi ... ukiwa sio tu kama moja ya kaka na rafiki yangu hapa jamvini bali pia kama mmoja wa member ambae huwa nafurahia uwepo wake kwa mada mbali mbali na mijadala ya hapa na pale ambayo huwa tunabahatika kukutana katika jamvi... Naomba nichukue nafasi hii kukupongeza kwa siku yako...
  17. AshaDii

    Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi

    Habari wana JF, Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika baadhi ya threads. Hii ni moja ya njia ya utatuzi wa kupunguza idadi za Sticky's katika Jukwaa...
  18. AshaDii

    JF Members in their real pictures... LOL!

    Hi Dears... Nikiwa in one of those days usingizi umeenda kwao na my fellow members siwaoni jukwaani nimeona nifanye upekenyuzi. hahaha Kumbe kila member ambaye ni JF ana picha hapa jukwaani ya ukweli na halisi kabisa... Nimeenda kufukunyua picha zote na kuzileta hapa! lol, Anaetufungulia ni...
  19. AshaDii

    MMU Thread Collection - General Topics discussed and posted in the Forum before Sept 2012

    Habari wana MMU na JF as whole, Kutokana na malalamiko ya baadhi ya members na mimi mwenyewe kuunga mkono malalamiko hayo nimeomba kwa mkuu Invisible katika thread ya Ngabu kuweza andaa thread ambayo itakusanya thread zote ili kupunguza idadi ya Stickys ambazo zote zitakuwa katika sticky thread...
  20. AshaDii

    Kifo kupitia mikono ya POLISI – Kosa la Marehemu?

    Habari wana JF, Hali ya nchini kwetu Tanzania hadi hapa tulipofika kwa sasa haijalishi kuwa tunaenda wapi mana tayari tumefika pabaya&#8230; Kwa kundi ama hali yoyote ile ifikapo pabaya dawa pekee ni suluhu ya hio hali mbaya iliyopo iondolewe mara moja kwa njia mbadala. Ikumbukwe kuwa unapokuwa...
Back
Top Bottom