Search results

  1. MGOGOHALISI

    Wachezaji wa Simba wanaopaswa kuachwa kwenye Dirisha la Usajili

    Mchezaji wa kuacha simba ni Ayubu peke yake. Wengine wote ni utoto.na uzee unawakaba.
  2. MGOGOHALISI

    Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

    Anatafuta uungwaji mkono. Anajua sehemu kubwa ya jamii ilishamkataa sasa anatafuta namna ya kurudi. Hayo maombi ni gia tu anajua watanzania ukiwatajia mambo ya Imani wengi watakuamini.
  3. MGOGOHALISI

    Wanaume mpewe nini mtulie?

    Ingependeza kama ungeleta Tafsiri ya kutulia kwanza.
  4. MGOGOHALISI

    Kaolewa, kapasha kiporo kwa Baba mtoto, kaachwa!

    Kuna watu hawana akili za kawaida.
  5. MGOGOHALISI

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    huo mfumo nani castodian? Anaruhusiwa kuzitumia hizo taarifa katika mazingira yapi? Haya ndio mambo yanayohojiwa mkuu.
  6. MGOGOHALISI

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Na Tabora boys pia ni kesi hiyo hiyo. Hiki chuo kichunguzwe pamoja na shule tajwa. Wanatibua sana Wazazi huku mitaani. Ni wapumb*vu sana.
  7. MGOGOHALISI

    Ayatullah Khamenei: Israel itazabwa kibao usoni

    Vita ya maneno inatisha ila uhalisia unaongea. Walikua wamelala wapi hadi ubalozi unagongwa.
  8. MGOGOHALISI

    Kagera kinara matumizi ya vyoo visivyo bora

    Ndugu zangu wahaya nini kimewakumba. Mbona huku mjini mnatamba sana na mivogi.
  9. MGOGOHALISI

    Rais Samia umeanza kunikosha, bado Sabaya tu

    Sabaya anarudi soon. Ni suala la muda tu. Lazima makomandoo wa uchaguzi warudi maana bila hivyo CCM wa mama ni wepesi sana kuliko unyoya
  10. MGOGOHALISI

    Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi

    Inawezekana wamewaua kweli.ila kusema MAKUSUDI ni wewe. Kumbuka huo ni uwanja wa Vita.
  11. MGOGOHALISI

    Kampuni ya tiGO kutumia Nguvu kubwa kulazimisha Watanzania kuweka salio kwenye namba zao za simu

    Kwani umeshikiwa panga mkuu? Acha waifunge then ukawakamue fidia mpunga wa kutosha.
  12. MGOGOHALISI

    Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

    Uzwazwa wa karne huu. Kuna Kijana huko kashinda uraisi halafu Muuaji anakuwaje na ushawishi? Labda nyumbani kwenu Huko Lumumba maana ndicho.mnachoweza kukifanya kwa ufanisi.
  13. MGOGOHALISI

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Makonda kaenda Arusha kimkakati. Mama anajua 2025 lazima alegeze kidogo ili wazungu waendelee kumwaga mipesa. Sasa Arusha Anaweza kuipoteza yote. Bado Mwanza, Mbeya, Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Kilimanjaro na Mara. Huko kote atagusa.
  14. MGOGOHALISI

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Kwenye uislamu hakuna.kitu kinachoitwa co-existence. Ile dini inapiganiwa na binadamu kuliko mwenye dini mwenyewe.
  15. MGOGOHALISI

    KERO Vispika vya matangazo vimekuwa kero kubwa kwenye masoko, mamlaka ipige marufuku

    noise polution. Ila usitegemee wapige marufuku maana wanaogopa mwaka huu na ujao ni uchaguzi. Labda BAADA. Tegemea mambo ya hovyo hovyo kuzuka na kuongezeka kipindi hiki na hakuna atakayekemea.
  16. MGOGOHALISI

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Ukiwa sisiemu.unafanya lolote na hufanywi chochote. Tukisema.Hilo.lichama.ni genge la.uharamia tueleweni.
  17. MGOGOHALISI

    John Casian mikononi mwa polisi kisa Konyagi bandia

    Utajiri wa wachaga una makandokando mengi ya kijinga.
  18. MGOGOHALISI

    Hii nchi kila kona fremu

    Acha wivu na mawazo ya Watu. Ni ujinga kupangia watu wazima cha kufanya.Wewe fanya Hilo wazo lako Utapiga sana hela maana utakua peke yako. 😂️😂️😂️😂️😂️😂️
  19. MGOGOHALISI

    Kitendo cha kuvunja sanamu la Mungu ni jaribio la kuua Mungu wetu.

    Allah ndio kiumbe gani mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣
Back
Top Bottom