Search results

  1. B

    Mkimgusa Edward Lowassa mtasahaulika katika siasa za Tanzania!

    kwa hiyo hiyo Richmond unaona ni kitu kidogo sana?Pia hata huyo rafiki yake ambaye hawakukutana bara2ni pia tungekuwa na uwezo tungemtoa Ikulu maana ndo wale2,Yaani usiwadanganye watu eti anapendwa huo ni uongo unataka upinzani wapite tu wakimsimamisha el,au unadhani watampa kwa ajili ya...
  2. B

    Madini yote Tanzania hayawezi kujenga barabara ya Dodoma Dar

    Inaumiza, hivi kweli viongozi wetu wanajitambua au?
  3. B

    Nape awapasua vichwa CHADEMA

    Hivi kumbe Maige nae ni CDM?
  4. B

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Kwa hiyo bado tupo zama za mawe,mi nilikuwa sijui kuna aja gani ya kusema utandawazi,basi kila kitu tufanye vya kizamani,pia mwambie na mama aache mkorogo
  5. B

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Hivi kumbe ni ya serikali
  6. B

    Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

    jamani kwani unataka waishi maisha ya namna gani?hivi unajua ya kuwa kuna wananchi ambao wamewapigia kura hao unaowatetea lakini mlo wao wa siku ni issue?kaka shukuru umekuta neema kwenu,kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa kuliko zao kwa ujira mdogo sana,wao walikubali kutumikia taifa watumike...
  7. B

    CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    Kwanza mmeshasema lugha ya malkia sasa inakuaje mnaloloma ovyo,sioni kama kuna shida hapo nadhani tungeweza kulaumu endapo wangekosea kuongea kiswahili au Lugha zao za makabila,acheni kuthamini vya wenzenu na kudharau vya kwenu,mtakuwa watumwa mpaka lini?
  8. B

    Zanzibar inastahili kuwa na wajumbe wawili tu katika tume ya katiba

    Inaumiza sana kuwa na viongozi ambao hawana upeo mpana wa kufikiri,ndio maana wazenji wanapata jeuri ya kuwafanyia wabara mambo mabaya na kuwaona kama hawana haki,lakini wakija huku bara wanajiona wanahaki na kila kitu,wazenji acheni roho mbaya naamini siku wabara wakicharuka sijui itakuwaje?
  9. B

    Kwanini Lowassa anaiponda CHADEMA?

    acheni ushabiki wa vyama,hivi kweli wengine kazi yao iwe ni kujenga nchi na wengine kazi yao kutumia walivyozalisha wenzao bila kutoka jasho, kumbukeni sasa hivi kila mtu amechoshwa na ugumu wa maisha.Lakini msile mkajisahau maana mwisho wake mbaya
  10. B

    Hivi hii ya serikali nzima kuhamia kwenye mazishi imekaaje?

    Tamuchungu na wewe ni miongoni mwao nini?au mtoto wa mh. mbona imekugusa hivyo wakati ni ukweli mtupu
  11. B

    Rais anatakiwa akae kwa staha na heshima si hivi

    jamani acheni majungu ana uhuru wa kukaa anavyotaka
  12. B

    Lowassa vs MwanaHalisi

    Hizo pesa alizoanzisha hayo yote kazitoa wapi kama si kwa kuwanyonya watz,hebu peleka ujinga huo kwa magamba wenzio,tena ilibidi afilisiwe vyote hivyo unavyoviongea hapo maana ni vya wtz.ACHA MCHEZO KWENYE MASLAHI YA WTZ
  13. B

    Lowassa vs MwanaHalisi

    Saafi sana..............Aibu mtu mzima kuumbuliwa kiasi hicho,halafu inaelekea jamaa ni bonge la gamba.Jamaa amekushauri vizuri anzisheni magamba forum,we si unaumia sana nenda jela kwa niaba yao itasaidia pia
  14. B

    Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

    Basi bora anyamaze kwani lazima aongee?halafu akumbuke wale ni wapinzani na sio chama kinachoongoza nchi,sasa watatekeleza ilani yao kivipi?Mbona bado kijana mdogo halafu anamambo kama mtu ambaye amezeeka kiasi kwamba akili zimeanza kuwa kama mtoto.Aangalie kina Zito ikiwezekana akaulize wenzake...
  15. B

    Huwezi kuwa na akili timamu ukashabikia CCM

    Lazima mama agome posho huna taarifa ya kuwa bara2 ilifungwa il ashushe mjengo?we unafikiri pesa gani zinatumika pale?Wanaowaita mafisadi tu na mapesa yote lakini bado wapo kung'ang'ania ubunge unazani ni padogo hapo?watu wanachuma sio mchezo
  16. B

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Na nyinyi wachangiaji wengine muwe na akili na ufahamu, we toka lini posho akakopea mtu mkopo?kwani huo ni mshahara wa mtu mpaka waruhusiwe kukopa kwa posho,wao kwa nini wawalazimishe zichukuliwe hizo posho wakati wenyewe hawataki,huoni kuna wapenda posho kuliko kazi.Watu wengine wa ajabu sana...
  17. B

    Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

    Jamani mtu anapostahili kupewa sifa na apewe,sasa wewe wapi wameandika ya kuwa lazima awe na sifa fulani?tunaomba utuandikie na wengine tuzifaamu,hivi tunavyokuwa na viongozi vilaza we unaona raha na madocta wa kubumba we ndo furaha yako,bila yeye nani angejua madudu mengi yaliyokuwa yakifanywa...
  18. B

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    Excellent zito,hapo ndipo tunapotaka tuone wabunge ambao wapo kipesa zaidi na ambao wapo kwa ajili ya wananchi.Mkulo bora ungenyamaza tu ya nini kujizalilisha,unaonyesha ni jinsi gani unavyofurahia tunavyoliwa kodi zetu,hebu uwe na soni hata kidogo.Hivi watz wakichachamaa kweli mtakuwepo...
  19. B

    Hotuba ya Zitto Bungeni, TBC na Startv hawatairusha Live

    Ni kweli mpendwa Kenya ipo juu,sasa kinachosikitisha tunaburuzwa kuingia jumuia ya EA hapo patamu maana hayo makorokocho yatakuwa mangorongonjo nahisi hata Tz tutaambiwa ni kijiji cha Kenya.Ila lazima siku moja tutawachapa viboko haya madudu wanayofanya yanamwisho
Back
Top Bottom