Search results

  1. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    ZANTEL wamepunguza bundle la Wiki kutoka GB 2.2 kwa Tsh 3,000 hadi GB 1.9 kwa Tsh 3,000

    Daahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube...
  2. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    Jinsi ya kudhibiti tatizo la harufu kali ya jasho maarufu kama kunuka kikwapa kwa Tsh 5,000/= hadi Tsh 8,000/= tu

    Kama unasumbuliwa na harufu mbaya ya jasho tafuta Deodorant (Bei zake mara nyingi ni kati ya Tsh 5,000/= hadi Tsh 8,000/= Tu) ya Nivea au Dove au Fa au Rexona au Axe na kadhalika kisha tumia kwapani mwako au kwenye nguo na utakuwa umepunguza au kumaliza kabisa tatizo lako. Kuna deodorant za...
  3. AFYA ZAIDI CONSULTANTS

    Nafasi za kuongeza kipato kazini au katika biashara yako .......

    AFYA ZAIDI CONSULTANTS inahitaji watu 30 watakaosaidia kusambaza kuponi na kadi za AFYA ZAIDI CLUB kwa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Kama upo interested piga simu namba 0719326693 / 0743422883 kabla ya tarehe 26/5/2018 au fika ofisi ya AFYA ZAIDI CONSULTANTS iliyopo Kariakoo mtaa...
Back
Top Bottom