Search results

  1. P

    Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    hao swala la usafiri bado kitendawili kwao kuna usafiri wa chuo tu mda wa vipindi,kwa starehe au shughuri zako binafsi usafiri akuna ni mwendo wa kuchanganya kwako :flypig:
  2. P

    Kumi wawa discontinue udom

    wanafunzi kumi wa college of informatics UDOM wame discontinue kwa makosa ya kushikwa na nyenzo(nondo,ngima,vikaratasi) katika chumba cha mtihani
  3. P

    Mgomo wanukia UDOM

    najua mnaishi katika mazingira magumu kifedha,lakini kumbuka mkigoma tu mtafukuzwa si mnaona yaliotoke udsm,ninyi komaeni na kitabu
  4. P

    Yakitokea ya udsm na st john chuo cha udom nani alaumiwe?

    poleni sana najua nashangaa sana wabunge walidai waongezwe posho kwa kudai kuwa dodoma maisha yamepanda sasa hayo maisha yamepanda kwa wabunge tuu,mbona wanachuo awapatiwi pesa kwa wakati je wataishije
  5. P

    Udom wakigoma nani alaumiwe

    ushauri wangu wewe kuwa mpole kwani ukilianzisha tu utapoteza masomo si umeona yaliyo wakuta udsm,je wale wenzenu walio timuliwa wameludishwa hadi leo? hii nchi ni watu wachache na familia zao
  6. P

    Dodoma - Chuo cha Mtakatifu John chafungwa

    haya hadi watakatifu nao wanagoma ukiona hivyo mwisho umefika unajua tumezoea kusikia vyuo vya umma kama udom,udsm na leo st john hii inaonesha ni jinsi gani hii nchi inakwenda pabaya,ki ukweli awa vijana wanaishi katika mazingira magumu ya kifedha
  7. P

    Wanafunzi waliofukuzwa UDSM ni mkono wa JK

    tuache kama yalivyo kwani kuna sili walio fukuzwa na walio wafukuza nazani kila mmoja anajua nini tatizo
  8. P

    Tuige mfano wa vyuo hivi.

    kikubwa ni ubora wa elimu unayo ipata kutoka kwa yule anaye kufundisha swala la majina,majengo ya chuo ayana tija
  9. P

    Nipo njia panda naomba msaada kwa hili

    inaonekana ninyi nyote amjapendana,kwani naona unataka kuamia kwa huyo dada mwingine kwa sababu kuwa mpenzi wako wa mwanzo aeleweki,lakini hicho sio kigezo inabidi mkutane na inabidi wawe wazazi wa pande zote mbili muyaongee kama itashindika ndyo ufikilie kwa mwanamke mwingine
  10. P

    Nyepesiiiii!!!!

    naona hii ni kali
  11. P

    Mwakyembe mgonjwa afya yake yadorora; ngozi yavimba mwili mzima. Yadaiwa alitegeshewa sumu

    hii habari inaukweli ndani yake mbona naona kama chanzo akina uhakika
  12. P

    Paper ya form MWEMBETOGWA SEC:Akamatwa akimfanyia paper ya English mdogo wake.

    yaani kama kunauwezekana na likazibitishwa hili inabidi azabu kali itolewe kwa muhusika na wasimamizi na uongozi wa shule inabidi nao waadibishwe inaonekana ni kamchezo cha shule hilyo,au kama vipi shule ifutiwe usajiri hapo tunaandaa mafisadi wa taifa la kesho
  13. P

    Udom, education

    unajua kuongea kitu ambacho auna uwakika nacho sio vizuri,naomba unipe chanzo cha habari uliyotoa,usiwe mlopokaji
  14. P

    TCU, selection lini?

    jamani wadogo zangu wa kidato cha sita acheni kelele nazani kila kitu kinautalatibu wake,kikubwa we jiande kwa kujitunzia fedha za kwenda kuanzia maisha chuoni kipindi unasubili bodi ya mikopo, naona mnamchecheto na tcu,vyuo vinafunguliwa mwezi wa kumi,kwani yakitoka leo...
  15. P

    nataka kujua hili wa jf mnisaidie

    wanajamii natatizwa na haya maneno hivi unasema company,ltd,enterprises kunatofauti gani,kwa mfano ukisajili biashara kwa jina mapendo company ltd,mapendo company au mapendo enterprises kunatofauti gani katika hayo maneno,naomba maelekezo zaidi
  16. P

    Naomba tume ya tcu ifike college of informatics udom

    Unajua matatizo ya college of informatics udom ni mengi nimeonana na wanachuo wa college ya informatics wameeleza matatizo yao mengi sana likiwemo la wenzao kila mwisho wa mwaka wapatao 70 hufeli na kurudi nyumbani kwa kile kitendo cha kufeli kinachotokana na ufundishaji mbovu chuoni hapo...
  17. P

    Naomba tume ya tcu ifike college of informatics udom

    Unajua nimefuatilia kwa kina vyanzo nya matatizo na migomo chuo cha udom hasa iliyopelekea mgomo mkubwa ambao unawafanya watoto wa wakulima wapatao 1200 wapo mtahani kama wazurulaji kwa kile ambacho awajui watalejeshwa lini chuoni hapo matatizo ambayo yapo hapo college of informatics ni...
  18. P

    Wanafunzi wa vyuo vikuu mkue jamani acheni utoto!!!

    unajua nimesoma ulichoandika ni mawazo na mtazamo wako siwezi kukupinga lakini kumbuka kunanchi kama rwanda wanakauli mbiu ya one student one laptop na imewezekana,pili swala la mgomo la wanafunzi wa informatics nimelifuatialia kwa karibu sana mbali na laptop kama uongozi wa chuo unavyodai...
Back
Top Bottom