Search results

  1. kijana255

    MSAADA: Huu ni ugonjwa?

    vipele kama ivo kifuani na pembeni ya sikio
  2. kijana255

    Aisee Siamini kama Swahiba Wangu ndo Ameamua Kuoa Mchumba kutoka Badoo.

    Ebanaa ee wanajukwaa naandika hii stori ya ukweli uku nikiwa sina majibu na siamini kama swahiba wangu wiki ijayo anaoa. Jamaa alikuwa sana muumini wa mitandao yetu hii ya badoo, tinder na mingine, sasa katika pita pita zake akakutana na mwanamke badoo ni wa kawaida tu kimuomekano wakawa...
  3. kijana255

    Msaada kwa anaye jihusisha na biashara ya vifaa vya Bajaji aina ya Tvs

    Habari wakuu na poleni na majukumu, naomba msaada kwa mtu anaye jihusisha na Biashara hii iwe ni jumla au rejareja.. namba yangu ni 0673714012
  4. kijana255

    Wakuu msaada pitia apa

    Habari wakuu, Msaada kwa wazoefu mwaka ujao napanga kufungua duka la vifaa vya umeme msaada kwa wenye uzoefu, location itakuwa Mbeya.
  5. kijana255

    Kwa milioni 5 naweza kujenga nyumba ndogo Dodoma?

    Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani? NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
  6. kijana255

    Natafuta shamba la kukodi Mbeya, Songwe

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari hapo juu natafuta shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mahindi iwe Mbeya, au songwe kwa mwenye nalo au kama unaweza nisaidia mwaka huu nataka nijikite kwenye kilimo cha mahindi au maharage. Contact~0673714012.
  7. kijana255

    Ushauri wenu kuhusu tabia hii yangu

    Habari wakuu, nimekuja kwenye jukwaa ili niombe ushauri nifanyaje tatizo langu ni kila mwanamke ninayemuona natamani kuwa naye. Awe mwembamba au mnene uko bado ndio nishachafua karibia wote, kila nikisema huyu wa mwisho nakaa kidogo siku mbili napiga mwingine tena. Yaani magesti yote...
  8. kijana255

    Gharama za kusoma CPA za mwaka 2019

    Habari wakuu, Naombwa kujuzwa gharama za kusoma masomo ya CPA Pamoja na usajili bodi N. B naanzia level ya foundation.
  9. kijana255

    Kutoka damu puani kwa mama mjamzito tatizo ni Nini... Msaada

    Habari wakuu, Nina rafiki yangu ambaye ni mjamzito wa miezi Kama minne saivi leo anasema ametoka damu sana puani mfululizo na nyingine pia Kutoka kwa njia ya mdomoni kidogo Msaada kwa watalamu nn Inaweza kuwa tatizo?
  10. kijana255

    Mnaosaka Ajira pitieni apa tujuzane hili??

    Wale tunaosaka ajira naomba tujuzane website ambazo ziko vizuri au Uhakika kwa matangazo na post wanazotuma
  11. kijana255

    Ps4 fifa

    Kama upo mbeya mjini nicheki pm wkend uje tukipige FIFA 19..... Karibuni
  12. kijana255

    Msaada wakuu

    Msaada wa kupata website nnayo weza download latest game kama FIFA 17,18 au PES etc
  13. kijana255

    Naomba kufaham kwa wenye application playstores

    Je kuna sheria yoyote au taratibu za kufuata pale unapotaka ku lunch application play stores ili kuitumia kibiashara... Nawasilisha wadau
  14. kijana255

    Ni kweli usipofanya mapenzi muda mrefu kwa mwanaume unahatari zaidi ya kuumwa mafua makali?

    Wadau wa humu, Hivi ni kweli usipofanya mapenzi muda mrefu unaumwa mafua makali, kuna jamaa hapa mtaani ana leta hiyo anasema fact. Swali je ni kweli?
  15. kijana255

    Ushauri; Mshahara wa laki 2 Dar nitaishi kweli kwa kujitegemea full?

    Kama mnavyojua jamani vyuma vimekaza sana usawa wa bamkubwa, nimepata kibarua cha laki 2 hivi mkoa wa Dar, sasa swali ni je nitaweza kuishi Dar na mshahara wa laki 2 na naskia maisha ni magumu sana uko vyuma ndo vimekaza zaidi uko.
  16. kijana255

    Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

    Nilimtongoza kiutani uyu dada, mara ya kwanza alikuwa mgumu mgumu mara akatiki, mchizi nikatembea nae sasa tatizo mtoto wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mume wake eti na huku mi nilimtamani alafu ananitishia nikimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa stress kwa sasa.
  17. kijana255

    USHAURI.. Je naweza kufuga kuku wa kienyeji ndani nkawahudumia wakiwa ndani?

    Habari wakuu kama mnavyojua mambo ya ajira ni pata potea, nataka nianzishe kimradi changu cha kuku ila wa kienyeji, ss sina sehem ila kuna chumba cha nje kipo wazi..swali ni je kuku wa kienyeji wanaweza kaa ndani ushauri kwa wataalam natanguliza shukrani...
  18. kijana255

    Asante kwa ushauri wenu, niko single tena

    Hivi karibuni nilileta uzi uliosema; Naomba ushauri mapenzi yananitesa Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu nimeufuata na sasa niko single. ANGALIZO; No pm sina mpango kwa saivi, na enjoy this life for real.
  19. kijana255

    Naomba ushauri mapenzi yananitesa

    Habari wakuu, Mimi ni kijana wa umri miaka 23, nipo kwenye wakati mgumu kwa sasa kuamua kikwazo hiki kikubwa kilichopo mbele yangu. Kuna msichana mmoja nilimpenda sana pindi tukiwa chuo na kila nilipomfuata alinikatalia na kusema yeye ana mpenzi, sikukata tamaa niliendelea msumbua sana tukiwa...
  20. kijana255

    Natafuta shule ya kujitolea kufundisha Commerce & B/keeping

    Mimi ni muhitimu wa bachelor of business administration in accounting with Education...
Back
Top Bottom