Search results

  1. Mlakon

    Utendaji wa NACTE ni wa polepole sana, Waziri wa Elimu shughulikia hilo

    Biafsi naelekea kukata tamaa na application za chuo kikuu. Hiyo AVN sijui naipataje na deadline ni tar 5
  2. Mlakon

    Jakaya Kikwete aliwezaje kufanya mambo makubwa kwa wakati mmoja?

    Si tuliambiwa huyu wa sasa yuko bize ananyoosha nchi kwanza na kuongeza vitega uchumi ndipo baadae ajira na mishahara viwe maradufu.
  3. Mlakon

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Labda upate mtu akuuzie used mkuu. Binafsi natafuta nch 43 isiwe smart
  4. Mlakon

    Nimewaambia huo upuuzi ishieni nao huko huko

    Kuna heading nimeiona sehemu, mtu amemchoma mwenzake kisu kisa kamwagia maji tena machafu kwamba ni kumpongeza kwa Birthday. Juzi tena mchezaji wa simba naye alichafuliwa mwili mzima kwa matope eti ni birthday
  5. Mlakon

    Waliokutwa na hatia ya mauaji ya RPC Liberatus Barlow wa Mwanza wahukumiwa kifo

    Haya majina kwenye matukio!! Abdallah Petro na Abdulrhaman Ismail
  6. Mlakon

    Hili jambo la leo limenitoa machozi kwa kweli

    Watajitokeza wajanja wachukue hizi post zake by collection watengeneze kitabu
  7. Mlakon

    Ukiona choo ndotoni usikitumie

    Kweli ukiwa ndotoni unaweza kukataa kitu au kukubali, wakati mwingine unaamuwa kuikatisha ndoto kwa kujilazimisha kuamka toka usingizini. Let say umeota unateleza kwenye poromoko la ukingo wa mto sasa unaenda kutumbukia mtoni... Ukiwa usingizini binafsi utaulazimisha mwili uamke ili usitumbukie...
  8. Mlakon

    Natafuta Pool Table

    Laki 9. used??
  9. Mlakon

    Matokeo ya kupangwa kwenye chaguzi yameondoa ari ya kujiandikisha

    Mkuu wa wilaya gani, weka wazi mkuu watu wajiandae kisaikolojia.
  10. Mlakon

    Natabiri: Mahubiri mengi kesho kanisani ni kuhamasisha watu kujiandikisha kupiga kura tu....

    Mkuu jiandikishe upige kura kwa lengo la kumchagua kiongozi wa mtaa wako, kujiandikisha hakuhusiani na chama chochote cha siasa. Utachagua kiongozi atakayekuongoza miaka mitano.
  11. Mlakon

    Uzi maalumu wa kujimwambafai

    Siku moja niliji ''mwambafai mwambafai'' kwa mapoti flani walinikamata kwa kosa la kubaka panzi. Jamaa inaelekea unapiga sana pombe. Ungezama kwenye Uzi wa Baba lao Mshana Jr
  12. Mlakon

    Mtumishi benki ya EXIM kamatwa na mamilioni ya wizi gesti

    Raising capital by stealing??? Hahaa waandishi wa vitabu baadhi wanapotosha vijana, But remember You will shorten your life.
  13. Mlakon

    Mtumishi benki ya EXIM kamatwa na mamilioni ya wizi gesti

    Hapo majuzi alikamatwa mfanyakazi CRDB, Leo EXIM, hawa vijana si wafanye kazi, tamaa za nini. Naisi wanapofunga hesabu ya siku fedha zilizopo wanazimezea mate na kuzitamani
  14. Mlakon

    Ijue Wilaya ya Rombo kinaga ubaga na sifa zake

    Ni loli aisee, lasma sikukuu tusheya ndafu. shamesha aba. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Mlakon

    "Usijaribu kuongeza mishahara ya watumishi wa umma 2019"

    MODS, NYUZI KAMA HIZI MUWE MNAZIFUTA, zinatutonesha vidonda, watu tulishaanza kusahau hayo maumivu tuliyoyapata Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom