Search results

  1. carcinoma

    Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

    Habari wakuu. Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare...
  2. carcinoma

    Maoni ya Director General wa WHO kuhusu lockdown kwa nchi masikini kama Tanzania

    Habari za mida hii wakuu. Kufuatana na janga hili la ugonjwa wa COVID 19 unaosababishwa na kirusi cha corona, Kumekuwa na mjadala kuhusu lockdown ya nchi nzima ambapo baadhi ya watu wanamtaka Rais wa nchi aidhinishe total lockdown. Na wengine wakitaka hali iwe hivi hivi ilivyo. Ninadeclear...
  3. carcinoma

    Nini chanzo cha nchi za Magharibi kuitwa "Mabeberu"?

    Kwenye vitabu vya shule ya msingi ubepari uliokomaa unaitwa ubeberu... hapa nadhani wataalamu wa kiswahili waje watuambie ilikuaje kiswahiki cha imperialism kikawa ubeberu.
  4. carcinoma

    Website ya bodi ya mikopo ime hackiwa ni kikundi kiitwacho TANZANIA HACKERS

    Hali ya sintofahamu yazuka baada ya website ya bodi ya mikopo kuhackiwa na watu wajiitao TANZANIA HACKERS na kuanza kupost mambo yasiyohusiana na taarifa za mikopo.. .maneno yanayosomeka kwenye website hio ni kama 'HAPA KAZI TU' Na 'WATU WASIOJULIKANA'
  5. carcinoma

    A Man from year 2256.. Time travel

    Habari wakuu.. Hivi unataamua kufanya nini kama ukiamka ukapata siri ya kusafiri na muda (time travel) Yaani uwe na uwezo wa kuchagua muda wowote unaotaka kwenda. Kwa mfano unaweza kwenda mwaka 2o99 then ukarudi sasa hivi 2018? Au ukaenda mwaka 1944 ushuhudie vita ya pili ya dunia mubashara...
  6. carcinoma

    Kwa wenye kuweza kuchezesha kichwa tu....

    Chemsha Bongo... -------------------------------- Inspekta Gamba akiwa anaelekea kazini saa moja asubuhi akakuta kikundi cha watu kando ya mtaro. Kwenda kujionea kunani, akakuta kumbe wamezingira maiti ya mwanamke. Akawaamuru wasogee kando. Akaanza kuichunguza ile maiti ambapo akakuta pete ya...
  7. carcinoma

    Kwa nini ATM hutoa kadi kabla ya hela?

    umewahi kujiuliza kwa nini ATM hutoa kwanza kadi kabla ya hela?? waliodesign ATM wanajua hulka ya binadamu kwamba akishapata anachotaka anasepaaa... yan ATM zingekua zinatoa kwanza mshiko kila siku tungesikia kesi za kusahau kadi kwenye vyumba vya ATM.. WANGAPI wangekumbuka kuchukua kadi...
  8. carcinoma

    Upasuaji wa kwanza wa kupandikiza kichwa(world's first human head transplant)

    Kwa mara ya kwanza tangu kuumbwa kwa dunia hii tutashuhudia opareshen kubwa ya kupandikiza kichwa cha mtu. Tarehe ya opareshen ilishapangwa itakua mwezi wa 12,2017 opareshen itafanywa na madaktari na manesi 150 kwa pamoja wakiongozwa na daktari mtaalamu wa mishipa ya fahamu(neurosurgeon) Sergio...
  9. carcinoma

    Aliyeko baa sasa hivi aagize nakuja kulipa

    wakuu mimi nikitaka kulewa nataka watu wote tulewe nao sas kama uko bar mida hii wewe agiza mm nakuja kulipa
Back
Top Bottom