Search results

  1. Hakeem makamba

    Heko CRDB BANK kwa Ubunifu huu!

    *HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU* *Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki alikuwa akituagiza tumletee kitabu chake cha benki, vilikuwa kinatunzwa sana ni mara chache utakuta...
  2. Hakeem makamba

  3. Hakeem makamba

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Hakeem makamba

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Mtoa mada ana ajenda binafsi na inasikitisha sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Hakeem makamba

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Hakeem makamba

    CRDB: The most Inefficient Bank of all times

    Umetumwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Hakeem makamba

    Makapuku Forum

  8. Hakeem makamba

    Watanzania, hatumjui Paul Makonda?!

    Pumba tupu. Maandishi mengi hakuna pointi
  9. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Wanahisa wakubwa wa NMB ni waholanzi. Wanahisa wakubwa wa NBC ni Makaburu.Point yako ni nini hasa?
  10. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Fanya research ndogo ujue Bank gani ina portfolio kubwa ya kilimo nchini halafu urudi
  11. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Una maanisha nini? Roba Bank ni ya uholanzi ina 34% ya NMB. Maana yake ndio wenye kupata gawio kubwa kuliko serikali.
  12. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Nadhani naongea na wrong person. Unawajua vizuri wakulima wa kitanzania? unajua kwanini Saccoss zilipitishwa kisheria ili kuwafanya wengi wao "wakopesheke?". Naomba nitafute muda nikupe lecture kwanza maana naona kuna mengi huyajui.
  13. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Unajua chochote kuhusu mikopo ya vikundi au Saccoss? unajua kuwa mabenki yanakopesha Saccoss ili Saccoss zikopeshe wanachama wao wadogo kabisa. Unajua kuwa kuna Saccoss kubwa kama Turi-Saccoss ya wakulima wa Miwa pale Mtibwa ambayo imejengewa uwezo na Benki na sasa inakopesha wakulima wadogo...
  14. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Mfano wako hauna Mahusiano na mada iliyopo mezani. Acha kulalama bila pointi, mabenki yanatoa mikopo ya kila aina kuanzia biashara kubwa mpaka wajasiliamari na kilimo. Njoo na data hapa za hao watu wa chini walionyimwa mikopo sababu ya utu wa chini wao.
  15. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Terminal 3?SOKO kuu la Mwanjelwa la Halmashauri ya Jiji la Mbeya ni Mkopo wa World Bank? Vipi kuhusu Temeke Municipal hapa juzi? Jiongeze kidogo tu.
  16. Hakeem makamba

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Uwezo na ufahamu wako kuhusu masuala ya uchumi unanitia Shaka sana. Unafahamu chochote kuhusu Corporate tax zinazolipwa na makampuni? unajua chochote kuhusu PAYE inayotokana na ajira?
Back
Top Bottom