Search results

  1. C

    Muda wa kutuma maombi NACTE ni lini?

    kuna watizii humu walisema mwezi mei ndo wanafungua so nikajaribu kuingia nacte nakuta kimya so nikajua labda wamefunguliwa kwenye inbox zao
  2. C

    Muda wa kutuma maombi NACTE ni lini?

    Jamani kwa anaejua muda wa kutuma maombi manake wengine wanatuambia mwezi wa 5 wengine wa 7 sasa tunawaomba mje wale watasha mnaojua muda.
  3. C

    msaada wa haraka

    namna ya kudownload movies za FAST and FURIOUS kwa kutumia simu
  4. C

    Wasanii tujue mipaka yetu tutofautishe sanaa na siasa

    leta wajeda!! leta wagambo!! leta defender nk...
  5. C

    Utaratibu na gharama za kupima vinasaba (DNA) Tanzania

    naomba kujuzwa vipimo vya D N A vinapatikana wapi na gharama yake ni sh. ngapi
  6. C

    Vibao vya marufuku maishani mwako

    njia pekee ya kuvunja kibao ni kujiwe kwa udhatiti upande mmoja sasa utajuaje kama umeshakivunja tiali
  7. C

    Vibao vya marufuku maishani mwako

    uminifungua macho
  8. C

    Natafuta kazi, nina elimu ya kidato cha sita

    habari ndugu zangu ni kijana wakiume umri miaka 22 elimu kidato cha sita naomba kazi yoyote ambayo naweza kupata riziki kwa mawasiliano zaidi naomba mni PM
  9. C

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    habari wa wana jamii naomba kujuzwa nianze biashara gani na mahali gani ambapo ntaweza kupata riziki ya kila siku mtaji:100000
  10. C

    Naomba kujuzwa namna ya kupata scholarship kwa nchi za Africa

    Habari zenu wanajukwaa Naomba kujuzwa namna ya kupata scholarship kwa nchi za africa ili ikiwezekana nikasomee huko mfano SOUTH AFRICAN COUNTRY EAST AFRICAN COUNTRY
  11. C

    Katibu Mwenezi wa CHADEMA ni nani sasa?

    hata kuongea kwake kunaonesha katokea koromije
  12. C

    Nape Kasema haya baada ya Ney kuachiwa huru

    anajipendekeza kulalake zake huyu
  13. C

    Lady Jaydee na Rozera

    watu wakoromije wanavipaji bwana nasikia hata lady jay dee ni wakoromije
  14. C

    URAISI NI NINI?

    habari wa JF URAISI ni nini? kwa mtazamo wangu naona uraisi ni taasisi wala sio mtu mmoja hivyo nawaomba wa jamvi mnisaidie hapa
  15. C

    Toka lini wapinzani kupongeza mwana CCM??

    hasifiwi mtu hapa ila kwa anachokifanya atanyooshwa
  16. C

    Pendekezo la kuanzisha Forum ya verified users

    ameshindwa kuleta mada huyu
  17. C

    Kweli ni sahihi kwa Mh. Nape kumuita Afisa usalama mpuuzi?

    hili swala si ukaguzi wa vyeti tuu ilitaliwa na akili wangekua wanachunguzwa kuanzia watu wa usalama na viongozi
Back
Top Bottom