Search results

  1. indundidotcom

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Nimeishi naye tangu mwaka 2017 baada ya 2014 kumzalisha mtoto nikaamua nimchukue tujenge familia 2023 tukapata mtoto wa tatu nakuja kugundua mwenzangu anamahusiano nje na mchumba wake wa awali kabla sijamchukua. Uchunguzi binafsi nikabaini Wana zaidi ya miaka mitatu wapo kwenye mahusiano hayo...
  2. indundidotcom

    Wahitimu wa chuo mwaka 2015 tuokosa ajira tukutane hapa

    Wahitimu wa chuo mwaka 2015 tuokosa ajira tukutane hapa japo tutiane moyo maana mategemeo yetu yalikuwa makubwa saaaana Karibuni
  3. indundidotcom

    Nina hasira na wife, ushauri wenu please

    Wandugu mimi ni mfanyakazi katika taasisi binafsi ya elimu, nna mke na watoto wawili, nimeishi na mke wangu Sasa mwaka wa 4 baada ya kumzalisha baadae nikamchukua awe mke wangu, Mwaka Jana mwishoni nlilipa mahari kiasi Cha tsh 1.5m na tumeishi maisha ya amani mpaka leo ila Ana matatizo haya...
  4. indundidotcom

    Tunataka Bunge litakalotupa maendeleo mpaka basi

    Niende moja kwa moja. Moja ya sababu zilizotolewa na mkubwa katika wakati wa kampeni ni kuwa wapinzani wanakwamisha maendeleo kwenye majimbo. Pia sifa ya chama kupata wabunge wa viti maalumu n kutokana na kupata asilimia kadhaa ambapo mwaka huu Chadema wamekosa. Ni wazi sasa mbunge mmoja wa...
  5. indundidotcom

    Ajira za ualimu alizotangaza Rais Magufuli

    Jamani naomba kujuzwa maana huku nilipo n mbali na mtandao, nasikia rais katangaza ajira kada ya ualimu, kwamba watu waombe je Ni kweli? Na vipi tunaomba kwa anuani upi?! Na wanahitajika Ni sayansi tu au wote?! Na zoezi hili litaisha lini?! (Deadline) Msaada tafadhali maana Hali so shwali...
  6. indundidotcom

    Mdudu aitwaye ndumilakuwili

    Waungwana hi[emoji120] Jana wakati naogea nje nokaacha mlango wazi ambapo nje kulikuwa na giza na ndani mwanga so Hali iliyokuwepo wa nje anaona vyema ndani Baada tu ya kumaliza kuoga nikaingia ndani na kutana na huyu mdudu, awali nilijua Ni nyoka na kwakuwa mi Ni muoga wa kuua nyoka nikamwita...
  7. indundidotcom

    Corona mtaji wa maendeleo Afrika

    Waungwana habari za muda huu... Nimekuwa nikiwaza kwa wiki nzima Sasa kuhusu hili janga la dunia nikaona na kugundua kuwa kama WAAFRIKA tungekuwa tunawaza nje ya box hapa ndo pakutokea WHY 1. Hili janga halijatuathiri waafrika moja/moja kama ndugu zetu huko ulaya 2. Rate ya vifo huku kwetu...
  8. indundidotcom

    Maoni Yangu: Mama wa kambo sio mama

    Wananzego habarini. Baada ya kumaliza chuo nilikutana na msiba wa Mama yangu kipenzi, niliumia but Kazi ya Mola. Mwaka mmoja baada ya wanafamilia kuwa tumekaa kwa umoja na kuwa tumeanzisha vimradi uchwara mzee akaijiwa na wazo la kuoa. Haikutupa shida ila tatizo lilikuwa kwa mke mtarajiwa...
  9. indundidotcom

    walimu wa kuswahili

    kumekuwepo ns uvumi kuwa kuna website ya watu wanaohitaji kwenda kufundisha somo LA kiswahili nchini afrika kusini, je kuna ukweli kuhusu uvumi huo... kama website IPO tunaomba iwekwe tujiusajiri wandugu
  10. indundidotcom

    NAOMBENI USHAURI

    Nilihitimu degree 2015 art.. Matokeo yangu ya kidato cha nne sikufaulu masomo vyema mawili , hesabu na historia... Baada ya hali ya ajira awamu hii kuwa kama tumesuswa hivi nataka nirudie mitihani hiyo then nisome na masomo ya chemistry na physics ili huko mbele nibadirishe fani, najiuliza...
  11. indundidotcom

    Natafuta Ajira

    Waungwana husikeni na kichwa cha habari hapo juu nimehitimu Bachelor of education chuo kikuu cha arusha kwa masomo ya kiswahili kama major na history kama minor nipo hapa kutafuta kazi ambayo ipo katika hatua yoyote. Ombi hili ni serious maana tangu 2015 nimejaribu kwa namna navyoweza na huu...
  12. indundidotcom

    Serikali kutoajiri walimu wa sanaa imetuumiza sana tuliosomea fani hiyo

    Habarini za sasa hizi ndugu zangu nadhan hamjambo na tabasamu feki tena za kujilazimishaaa Waungwana Mimi ni mwana art mwenzenu ambaye nimemaliza chuo mwaka 2015... Nilipambana kweli kufika hapa na maisha yalivyomagum but mwisho wa siku ndo nlitrgemea kwa namna moja au nyingine kuwa mwalimu...
  13. indundidotcom

    RAIS WA WANYONGE

    nakumbuka sera ya "rais wa wanyonge" ndiyo ilinipa nguvu kuja kumwona jukwaani dec 2015, ni miez kadhaa tu tangu nimalize chuo kikuu nikitumainia namaliza chuo mnyonge nakutana na mnyonge kiongozi NIMEPONA@ cjakAa sana sukAri ukaenda kwa 2000 na zaid watu wakaachishwa ajira zao hewA patamu...
Back
Top Bottom