Search results

  1. indundidotcom

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Nashukuru kwa mawazo [emoji120]
  2. indundidotcom

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Noted Mkuu Mind opened [emoji120]
  3. indundidotcom

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Uvimilivu maana sikuwa na ushahid wa kutosha huko nyuma Mkuu
  4. indundidotcom

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Nimeishi naye tangu mwaka 2017 baada ya 2014 kumzalisha mtoto nikaamua nimchukue tujenge familia 2023 tukapata mtoto wa tatu nakuja kugundua mwenzangu anamahusiano nje na mchumba wake wa awali kabla sijamchukua. Uchunguzi binafsi nikabaini Wana zaidi ya miaka mitatu wapo kwenye mahusiano hayo...
  5. indundidotcom

    Serikali itusaidie kuboresha Barabara ya Kaliua hadi Kahama

    Exactly hii barabara ikiwekewa lami itafungua milango mingi ya maendeleo
  6. indundidotcom

    Hii siyo sawa kabisa, inakuwaje wezi wa kuku wanatupwa jela, wakati wezi wa mali ya umma wanaachwa huru?

    Inategemea na umeiba wapi. Ukiibia umma walaaaa hufungwi Ukiibia mtu aaaah mapeeeema!
  7. indundidotcom

    Wahitimu wa chuo mwaka 2015 tuokosa ajira tukutane hapa

    Maishha ndo haya haya tusimlaumu mama kajitahidi Sana maana najua shida haijaanzia kwake
  8. indundidotcom

    Wahitimu wa chuo mwaka 2015 tuokosa ajira tukutane hapa

    Wahitimu wa chuo mwaka 2015 tuokosa ajira tukutane hapa japo tutiane moyo maana mategemeo yetu yalikuwa makubwa saaaana Karibuni
  9. indundidotcom

    Haki yangu kikatiba ya kushawishi/hamasisha wamuongezee muda Rais Magufuli

    Hao tu waliopewa kuilinda katiba wanaikanyaga Kama hawaioni, NAHISI hili la kutaka kuongezewa muda linatoka huko juu Seema so wananchi tunataarifiwa tu maana si kwa hii mihemko
  10. indundidotcom

    Nina hasira na wife, ushauri wenu please

    Ahsante kwa kunisaidiaa
  11. indundidotcom

    Nina hasira na wife, ushauri wenu please

    Mkoa/wilaya niliyopo hauna huyo miundombinu
  12. indundidotcom

    Nina hasira na wife, ushauri wenu please

    Hi mbinu ishashindikana mkuu, yaan mpaka nshaijaribu kitambo
Back
Top Bottom