Search results

  1. M

    Kiwanja Namba 4091-Njiro Arusha, Ngoma Inogile, Kigwangalla Atoa Siku 30 Wavamizi Wawasilishe Vielelezo

    To Kigwangwala: Wewe ni kiongozi mzuri ukituliza akili, punguza mihemuko ndipo utafanikiwa. Umeshatoa amri kadhaa huko nyuma lakini hazijatekelezwa hata ukirejea hii ya juzi ambapo umetoa siku 7 kwa Jeshi la Polisi, nao wakakujibu na wamegoma kutekeleza, HII INAKUFANYA UDHARAULIKE unajishushia...
  2. M

    Makinikia, Ndege Mpya: Tunapotangaza kwa Mbwembwe tukumbuke kurudisha majibu kwa mbwembwe

    Tulikua na wazo zuri la kufufua shirika letu la ndege, mipango yetu ilianza vizuri kwa kununua ndege mbili. Wakati tunaagiza nyingine ndipo wapinzani wetu wakaanza kuingilia mambo yetu kutukwamisha. Wanasemaga kosa la beki ndio nafasi ya mshambuliaji. Anyway bado tunapambana msiwe na wasiwasi...
  3. M

    Serikali kutumia shilingi Mil.700 kubomoa jengo la TANESCO

    Hivi lile jengo la Mama Lwakatare lilishabomolewa?
  4. M

    Rais uko wapi kuna wapigaji huku Sekondari ya Darajani, Moshi..

    Kwahyo kutoa 150 kwa ajili ya chakula cha mtoto wako mwaka mzima umeona ni pesa nyingi sana! Kwani hapo jirani hakuna shule jirani ambayo haina chakula ukamhamishia mwanao huko
  5. M

    Fred Lowassa: Waziri Kigwangalla amekurupuka, Mzee Lowassa anamiliki ardhi kihalali

    Alianza na Nyalandu sijui ile ishu imefikia wapi mpaka mda huu. Akaja kwa Jeshi la Polisi nao wakamnyoosha jamaa kaufyata Leo kaanza na mwingine! Huyu jamaa vipi mbona anadhalilisha wasomi wenzake? Hatutegemei mtu wa PHD kuropoka kama zero brain
  6. M

    Licha ya michango kupigwa marufuku mashuleni; shule, walimu watakiwa kuchangia mbio za mwenge

    Pambaff! Acheni ujuha na michango yenu ya ajabu ajabu Hakuna ulazima wa kuchangia hapo Michango hiyo ni hiari
  7. M

    ROMBO, KILIMANJARO: Madiwani watatu wa CHADEMA, wawili wakiwa viti maalum wahamia CCM

    Huu upuuzi unaligharimu taifa bila sababu ya msingi. Tunahitaji fedha ziende kwenye mambo ya maendeleo na sio chaguzi za marudio.
  8. M

    Jeshi la Polisi lamjibu Waziri Kigwangalla, lasema halifanyi kazi kwa mashinikizo

    Wajenzi wa Mnara wa Babeli..... Na bado tutarajie kusikia mengi zaidi
  9. M

    Halmashauri ya Muheza; Kwanini hamuwapi watumishi mishahara na pesa za kujikimu?

    Pole sana ndugu. Sio Muheza pekee, ni karibu halmashauri zote watu wanataabika
  10. M

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Dkt Donald Kaberuka, Mjumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Rwanda

    Wenzake wapo huko Davos wanatafuta fursa, wanajadili fursa Huku tumebaki kupambana na wapinzani kuwafunga na kuwatisha
  11. M

    Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Tanga Tech ni shule kubwa ile, wana ruzuku ya kutosha na pia wale wa A level wanalipa ada na michango hvyo wadogo zao wanaupatia humo humo. Hujawahi kuchangishwa lakini unampatia mwanao pocket money
  12. M

    Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Ni jambo la ajabu hili! 70k ya kula mwaka mzima anaona ni pesa kubwa sana. Fanya mahesabu rahisi tu, kwa siku mzazi anampa kiasi gani mtoto wake kwa ajili ya chakula shuleni? Je kwa mwaka wa masomo una siku ngapi?
  13. M

    Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Shule ina watoto wangapi? Mwl wa kujitolea analipwa kiasi gani kwa mwezi? Hiyo 70k ya chakula ni kwa muda gani na aina gani ya chakula?
  14. M

    Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Wachangie tu hakuna jinsi! Hivi kama hakuna madawati watoto wakae wapi? Kama hakuna mwl wa somo husika wanafunzi wakae na kujisomea wenyewe? Chakula ni cha kwao nani awanunulie? Kinachotakiwa hapo ni utaratibu gani utumike kuchangia pamoja na usimamizi wake. Pia mwanafunzi asipate usumbufu...
  15. M

    Tetesi: Askofu Kakobe aitwa tena kuhojiwa TRA tarehe 24/01/2018 saa 4 asubuhi

    Kuna kitu wanakitafuta, kwa kuwa bado hawajakipata waache waendelee kuhangaika, watatulia mara tu baada ya kukipata.
  16. M

    Tetesi: Wanafunzi shule ya Sekondari Kyimo waambiwa kuchangia pesa za chakula, madawati na mwalimu wa kujitolea

    Chakula ni kwa ajili ya watoto wao wenyewe, serikali haitoi pesa wala haina shamba kulisha wanafunzi, waacheni wazazi wajiletee maendeleo yao wenyewe! Unasema Elimu Bure halafu wewe mtoto wako umempeleka Feza au Marian! Kwanini watoto wale chakula shuleni? Kuna baadhi ya maeneo watoto inabidi...
  17. M

    Rais Magufuli apokea hati ya utambulisho wa mabalozi 6 wa hapa nchini

    Residence, Nairobi! Maana yake ni nini? Kuna jambo kubwa la kujifunza hapo.
  18. M

    Kanisa la TAG halijihusishi kabisa na siasa kama wale walokole wengine...!

    TAG ipi? Ilikua kanisa la kiroho zamani, siku hizi imebaki dini tu. Angalia hata waumini wake walio wengi hawana ushuhuda japo wa nje tu wa kimavazi, unashndwa kumtofautisha na mtu wa mataifa! Kanisa limekufa kiroho, watapateje ujasiri wa kukemea maovu ya watawala ikiwa waumini wao...
  19. M

    Salum Mwalimu Juma hawezi Kushinda Kinondoni

    Hiyo nyumba ya Mrema huko Yombo unajua aliipataje?
Back
Top Bottom