Search results

  1. mambio

    Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Kwa hiyo baada ya kubinafsishwa nauli tutakuwa tunalipa kwa dola? Kama sivyo huyo muwekezaji hizo dolla atazipata wapi ambapo mzawa atashindwa kuzipata? Ukijigundua ni kilaza sio lazima uchangie, unaweza kusoma na kupita tu.
  2. mambio

    Msaada: Vodacom ilichonifanyia ni uharamia

    Kuna uwezekano nyaraka zako zilitumika kutengeneza line zingine zaidi ya hizo mbili halali. Hao ma freelancer huwa wanadublicate line na kuziuza. Km ni hivyo hapo imekuka kwako mkuu
  3. mambio

    P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

    Ni sehemu ya ku promot uchoko. Wakimwambia hata PAC au Batista kaliwa wanalegezwa kisaikolojia so nawao wanalegeza misimamo, mara paap' wanaliwa kimasihara!
  4. mambio

    Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    Alisema wapi na lini kuwa ni operation ya wiki moja? Tuweke ushahidi hapa.
  5. mambio

    Tulioishambulia CHADEMA tukutane hapa

    Naomba nikiri wazi baada ya gia ya angani ya Mbowe & Lissu niliwageuka na kuwashambulia haswaa. Ule ulikuwa ni usaliti na utapeli wa hali ya juu.
  6. mambio

    Taarifa zinachanganya ubinafsishaji wa mabasi ya mwendokasi; kipi ni kipi?

    Mkuu umeonesha kiwango kidogo sana kwenye kujadili hoja. Hoja hapo sio Sita alifanya nini ila Sita alisema nini. Ukitaka yule asiye na kando lolote ndie awe na haki ya hoja yake kujadiliwa hutampata kamwe! Hata wewe mwenyewe nafsi yako haitaweza kujijadili sabab wewe pia sio msafi Asiye na...
  7. mambio

    Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    Kusimuliwa na nani?
  8. mambio

    Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

    Duuh... Mkuu acha bangi Dunia ipi inayompuuza putin? Hii ya kina Macron na Biden?
  9. mambio

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    96 kg, urefu 192cm No kitambi, no minyamanyama
  10. mambio

    Naingia kwenye maombi ya kumzuia Putin asiiangamize Dunia, maana amekasirika Sana!

    Mibange imekukataa mkuu. Waachie wenyewe. Utakuje tembea na boxer siku moja
  11. mambio

    Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    Hali ya ukrein sasa hivi unajua? Huko hakufai msidanganywe na propaganda za magharibi. Wenzenu wapo jehanam
  12. mambio

    Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    Hivi akili zenu huwa mnaziweka wapi? Mmefikia hatua ya kufurahia ugaidi? Mmesahau hata Marekani alipigwa tukio Sept 22? Pentagon ilishambuliwa itakuwa ajabu kushambuliwa ukumbi wa disco ?
  13. mambio

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Mkuu usichanganye mambo. Kuheshimu mzazi na kumrithisha mzazi ni vitu viwili tofauti. Tunapaswa kuheshimu wazazi ila sio kurithisha wazazi. Tunarithisha watoto, wazazi tunawapa only upendo
  14. mambio

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Nishaanza kuzeeka na siogopi hilo. Ndivyo dunia ilivyo. Usiweke matumaini sana kwa wanao utakufa kihoro. Nawapenda wanangu so nahitaji pia upendo kutoka kwao. Nikisema upendo simaanishi upendo wa kiuchumi. Maisha yangu nimeshayazoea, sihitaji ndege wala gari uzeeni. Kwakifupi nshazeeka sina...
  15. mambio

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Sasa unalaumu nn hapo? Wazazi walikuwa na maisha yao wakamzaa kobe. Kobe akawa na maisha yake akatengeneza familia yake, maana yake kobe akawa kizazi kingine mbele. Sasa mzazi anahusikaje hapo zaidi ya hisani tu? Yaani nisiipende familia yangu kwa sababu ya mzazi wangu? Mzazi anatakiwa kuwa...
  16. mambio

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Pato la kila Mtanzania ni Tsh. 3,048,681

    Hizi takwimu watakuwa wanachukulia UVCCM
Back
Top Bottom