Search results

  1. serio

    Baa ya Mendez wa Wasafi ipo wapi?

    Maji madogo laki ngapi?
  2. serio

    Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

    Akaunt yao ya instagram kwa sasa haipatikani.. wamehamia kwenye nguruwe sasa..
  3. serio

    Huyu Dotto Magari hilo jina la Dotto amelitolea wapi aisee?

    Aaah yule mzaramo anaongea.. hahaha
  4. serio

    Pikipiki za mizigo za miguu mitatu(3)

    Very nice Tuone na magari sasa
  5. serio

    Mkataba Barabara ya Mafinga - Mgololo (KM 81) Kusainiwa Kesho Dodoma

    Hii barabara wameichelewesha sana..
  6. serio

    Ni balaa dada wa kazi anavunja ndoa yangu

    Vizazi vyao viko karibu sanaa, kuliko kitu chochote unachokijua..
  7. serio

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Ukitaka kuoa single mother, hakikisha umeona kaburi la baby daddy, na jina lake lisomeke vizuri kwenye grave stone.. utanishukuru baadae..
  8. serio

    Jinsi nilivyopata hofu baada ya kutembeza na Jimama

    Kama jimama hana connection ya kukusogeza mbele kimaisha, achana nae.. Usitumike kizembe.
  9. serio

    Taja Barabara kali zinazovutia Kudrive, Sikonge - Mpanda haina wa kulinganisha

    Dodoma -Babati -Arusha Itigi - Tabora Tanangozi - Mafinga - Makambako Kahama -Nayakanazi -Lusahunga (my best) Ubena Zomozi - Mikese stretch Sikonge - Mpanda Inshort, Tanzania iko vizuri kwenye barabara compared to wenzetu kama Uganda.
  10. serio

    Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    RIP dijja mpemba..
  11. serio

    Ipi series nzuri kati ya oval na sister's?

    Series za tyla perry zina elements za ushoga shoga… achana nazo
  12. serio

    E-Filing & VAT Returns

    Sasa tunakupaje kazi na wewe uko Simiyu?
Back
Top Bottom