aaaah na Jeremy Bentham..
Kiranga mchango wako katika Jamii forum ni mkubwa sana. Kupitia maandiko yako umenifanya reasoning kwangu kuongezeka na kujiamini pia.
Siwezi pita andiko maelezo yako pasipo kusoma, nikiyasoma lazima niongeze maarifa baadhi ya mambo.
Jambazi mstaafu mtungie riwaya chapisha...
Gusia matukio yote mhimu aliyoyafanya...
Jina la kitabu... Kisadifu picha ya kwenye jalada..
Baada ya hapo fungasha nakala moja ya kitabu... Na vizawadi kidogo vya kuboost maisha...
Hakika atatubu mbele ya kaumu ya watu.
Don Nalimison amelenga uchaguzi October, angeendelea na jina lake asingekuwa na kigezo cha kugombea nafasi yoyote ya kisiasa hivyo ujaja wa Don Nalimison akaona kubadili jina ili asiwekee kikwazo/vikwazo na hata akiwekewa kikwazo aweze kupinga kisheria.
Hakimu : Mlalamikaji una ushahidi kuwa...
Tundu Lissu atakuacha vibaya ndugu achana nae tu. Angalia sasa unavyoandika sijui unaandika nini hata haueleweki hoja iko wapi, aya iko wapi nk.
Nani alikwambia jina la mtu linaanza na herufi ndogo, vifupisho vinaandikwa kwa herufi ndogo ? Mkuu unatania hebu kuwa makini basi wewe ni Verified...
Kila nikiona uchambuzi wa Malisa GJ automatic nakumbuka nondo za Ben Sanane, hakika chambuzi za hawa vijana zimejikita ( Zilikuwa .... Ben ) kwenye uhalisi/ukweli mchungu..... Nasubiri Yerico Nyerere aje na juzuu linaloongelea madhara ya dola kuingilia masuala ya kiuchumi Je tumepotea au tuko...
Sio wote tuna uelewa na masuala ya software namna zinavyofanya kazi na namna ya kuziweka na kuziondoa pasina kuasili mfumo mzima wa simu..
Kama sijakunukuu vibaya angalia maandishi yako nimeyakoleza, kumbe si kosa langu hata wewe ulishafanya hivyo kwa kutokuelewa baada ya kugundua ndio ukapata...
Jaribu hangout kama itafanya kazi au restore simu yako ili kurejesha iliyokuwepo
Good luck
Mrejesho, nimefanikiwa ku-restore rununu, hiyo programu imerudi,
ahsante sana kwa kutumia muda wako wa kuniongezea maarifa namna ya kutatua tatizo tajwa kwenye mada.
Habari yako ndugu msomaji wa huu uzi !
Nimepata tatizo kidogo kwenye simu/rununu yangu nilibadili app iliyokuwepo kwenye simu baada ya kuvutiwa na app nyingine ambayo niliona kwenye sanduku la programu ( Play store ), niliondoa iliyokuwepo hiyo app na kuweka nyingine, hapo ndio tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.