Search results

  1. Kwisimla

    Chanzo Mafuriko ya Rujifi ni Wananchi kuvamia mkondo wa maji na sio Bwawa la JNHPP

    Sawasawa kabisa, ila serikali ilipaswa kuwatoa na lazima sasa watoke hapo.
  2. Kwisimla

    Ukweli ambao Serikali haitaki kuwaambia watu wa Rufiji; Bwawa la JNHPP limezidiwa na maji, lazima yamwagwe ili kuliokoa lisivunje kingo

    Hii hali ni ya kawaida kwa mabwawa haya (Hydroelectric power plants), hata mtera huwa wanapunguza maji. Na kwa uhalisia milango ikifungwa ili maji yajae bwawani "down stream" huwa hakuna maji.
  3. Kwisimla

    Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Kwani hakukufanyika tathimini ya athari ya mazingira (environmental impact assessment (EIA))? Kwa mradi mkubwa hivyo na ambao unaathari za moja kwa moja kwenye mazingira lazima EIA ifanyike. Pili hao wananchi hawakupewa mrejesho wa tathmini?! Maana kama walipewa mrejesho lazima waliambiwa bwawa...
  4. Kwisimla

    Prof. Kitila Mkumbo amekuzwa na CHADEMA kisiasa sasa mbona Uchumi anaousimamia hausomeki?

    Ni mwalimu kabisa. Alitusaliti 1998/1999 alipokuwa rais wa DARUSO. Na hakupelekwa wapi wala wapi, baada ya kumaliza 4th year tu (kabla hata ya graduation) aliajiriwa ofisi ya Dean of students huku akifanya Master of Education (Psychology).
  5. Kwisimla

    Kilichomuondoa Gekul ni kukosa backup

    Ni "conflict of interest", yeye ndiye alikuwa anasimamia utekelezaji wa sheria na haki. Sasa sheria ingechukuaje mkondo na haki ingetendekaje!
  6. Kwisimla

    TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Hii hali minor stroke, inatibika. Dawa za hospitali, massage ya mafuta habatsoda na kutafuna jojo upande uliopata tatizo kwa muda wa miezi walau 4. Bila kusahau Maombi. Mtu anarudia hali yake vizuri tu.
  7. Kwisimla

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Hii habari yote inahusu mtawala wa nchi
  8. Kwisimla

    Askofu Kassala atoa ‘Dikrii’ ya kufungwa kwa Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo la Geita

    Jengo lililofungwa ni cathedral kama saint Joseph kwa Dar. Hapo hapo ilipo cathedral kuna makanisa (majengo mengine) au parokia jirani, kwa hiyo misa na ibada zote za kila siku zinafanyika kama kawaida. Ila lile jengo ndio (tuseme) linasafishwa au linatakaswa kwa muda huu.
  9. Kwisimla

    Je, Messianic Age imekwisha anza rasmi kule nchi ya Israeli?

    Baba yake Mariamu mamaye Yesu alikuwa wa ukoo wa Daudi. Kwa hiyo haijasemwa uongo, Yesu Kristo ni decendant wa Daudi kwa damu (genes) Kumbuka hao watu wa mashariki ya kati kwa mila na desturi zao walioana walio na mahusiano ya damu.
  10. Kwisimla

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Nakijua hicho kijiji, nilitembea kwa miguu siwezi sahau.....
  11. Kwisimla

    Dark days 17/03/20...

    Hakika...
  12. Kwisimla

    Dark days 17/03/20...

    Watu wanasoma hii stori juu juu tu.....
Back
Top Bottom