Search results

  1. yutong

    Jose Mavinga Nimi: Jasusi la Lowassa lililoshikwa na polisi

    Mbona inapofikia ufisadi na upotevu wa mali za umma hatuoni wakiwakamata?
  2. yutong

    Magufuli akitaka kufanikiwa aondoe System yote ya JK

    wacha waendelee kufanya madudu sisi tunasubiri 2020
  3. yutong

    Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Achana naye huyo keshajanjaruka. wanawake wengi huiga iga tu hata mambo wasiyoyajua.
  4. yutong

    Sex Toys kwa wanawake na wanaume

    Kesho watasema ushoga na usagaji ni halali eti kisa kuna magonjwa. Mwenye kutumia toys atakuwa na tatizo la kisaikolojia. Haiwezekani Mungu alikuumba na kwa jinsi ulivyo na wewe unatengeneza maumbile yako for what?
  5. yutong

    Nape asema uchaguzi wa mwaka huu CCM itatimua wezi wote(VIDEO)

    Dah kweli aisee jamaa akipita itabidi ahame chama sijui kama jamaa atamsamehe
  6. yutong

    I am in love with my brother

    Kibailogia, huyo pengine inawezekana siyo kaka yako wa baba mmoja. Pengine mama yako alichepuka kisha akambambikia baba yako mimba. Kama siyo basi wewe umeingiwa na jini linalokulazimisha ufanye hivyo. Ndoa za siku hizi ni fake sana.
  7. yutong

    sim ya LG kujilock. msaada

    LG model ngapi mkuu?
  8. yutong

    Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    Hizo hoja si za kitaalamu, na utafanyeje kwa bidhaa ambazo hatutengenezi hapa kama magari, vipuri vya magari, petroli na kadhalika? Yahani kumbe ndo maana mambo yanazidi kwenda kombo kama wataalamu wenyewe ndo kama hao. Bora angenyamaza kimya kuliko kutoa hoja za ki layman kama hizo
  9. yutong

    Wapinzani waumia Serikali kupokea wakimbizi

    Kura 20,000 ni nyingi sana kama hujui hilo. Waliondani wameona umuhimu wa kura 20,000 kwa vile wanaona hali sio nzuri ila kwa wewe uliye nje huwezi liona hilo. Zisingekuwa na madhara basi wangekaa tu wala wasihangaike na upinzani kwa maana kama wana uhakika wa kushinda nini kuhangaika.
  10. yutong

    CHADEMA ni jeshi la mtu mmoja, not institutionalised

    Ohhh wameshapagawa hawa. ccm wanatumia advantage ya umbumbumbu na ujinga wa watu kuto kujitambua. watu hao masikini lakini bado wanawachangisha pesa eti ya kujenga maabara na wao wanakubali wakati wenyewe wanatembelea mashangingi ya bei mbaya. wanawadanganya wananchi wamefuta ada wakati...
  11. yutong

    Wapinzani waumia Serikali kupokea wakimbizi

    Wanakazana kuwaingia wakimbizi waokoe jahazi la kura maana hali ni mbaya sana. Na msipomweka Lowasa kugombea kibarua mnacho. Ndoorooooobo we
  12. yutong

    Wapinzani waumia Serikali kupokea wakimbizi

    Hayo ni mambo binafsi? Unataka kuniambia nani kule CCM hana mahaba? Wote pendapenda hakuna aliyesalia.
  13. yutong

    Wapinzani waumia Serikali kupokea wakimbizi

    Sio Dr.? Mnajipa matumaini tu wakati nchi ilishawashinda. Huyo mnayemwita zero ndo amewapeleka mputa mputa kweli mpaka sasa hamjui la kufanya. Kila kitu kimewashinda tazama mpaka dola inafikia 2030 hii si hatari? Kama huyu mnamwita zero basi nyie ni Mr. Negative
  14. yutong

    ACT wazalendo na kura za "wafu" na waliohama

    Amini usiamini hiki chama kimeanzishwa mahsusi kuuzoofisha upinzani ususani cdm. Kwanini wale wanaojiunga na hiki chama ni wale tu kutoka cdm na si vyama vingine?
  15. yutong

    Timu ya Lowassa yabadilisha staili

    Mwaka huu kama msipompa lowasa uraisi ndo mwisho wa chama chenu. someni alama za nyakati
  16. yutong

    Wapinzani waumia Serikali kupokea wakimbizi

    Kura za CCM zimebaki kwa wajinga tu na kadri wajinga wanavyopungua na kura zinapungua.
  17. yutong

    Russia Confirms Arms Deal to Supply China With S-400 Air Defense Systems

    Ninachokiona hapa ni ushabiki tu dhidi ya washabiki wa urusi na washabiki wa marekani. hamna mwenye concrete evidense. unaposema fulani ni zaidi lazima utoe evidence technically na sio kuweka picha hapa na kutuambia fulani ni the best. Hizi ni propaganda tu
  18. yutong

    Spere Parts za Audi A4 (Ushauri)

    Ndugu wanajamvi napenda kujua kama spare parts za audi zinapatikana bongo hapa. Maana kuna mtu anataka nimwagizie audi ila sasa kabla sijamuagizia ni bora nikajua upatikanaji wa spare nisije kulaumiwa. Anayenijibu naomba anitag. asanteni sana weekend njema
  19. yutong

    ACT-Tanzania yavuna wanachama 11,800

    Naona kama chama chenu kinataka kusimama kwa mgongo wa ZZK! Hapo ndo kosa mnalotaka kulifanya toka awali. Jengeni chama kama taasisi si kwa kutumia jina la ZZK mtakuja kujuta huyo akikosa kugombea vyeo vya juu tu ni shida. Tumeshamjua ni mtu wa kupenda vyeo na wala si vinginevyo.
  20. yutong

    natafuta nyimbo za Caz T

    Habari wana jamvi. Natafuta nyimbo za mwanamziki Caz T aka mwana wa komba. Ki ukweli nimezimiss sana hizo nyimbo. Yeyote mwenye taarifa mahali zinapatikana tafadhari anisaidie. Naomba ukijibu unitag ama unikoti. Asanteni sana.
Back
Top Bottom