Search results

  1. Baba Ziro

    Je, tume ya kuratibu Mishahara ya Umma Tanzania ipo?

    Habarini, napenda kuuliza kama tume ya kuratibu Mishahara ya watumishi wa Umma kama ipo! Na kama ipo imefanya lini Review ya Mishahara? Na je Mshahara wa Raisi unaratibiwa na nani? Na kwa nini kwa Tanzania sisi ni kosa mshahara wa Raisi kuwekwa wazi na kwa wananchi ambao kimantiki ndio waajiri...
  2. Baba Ziro

    Msaada jinsi ya kuanzisha Consultancy Firm

    Okay, mko wapi nyie na gharama zake zikoje?
  3. Baba Ziro

    Msaada jinsi ya kuanzisha Consultancy Firm

    Habari wana Jamii Forum, naomba msaada wa kuanzisha ofisi Ushauri Elekezi wa mambo ya Kilimo na biashara ya Kilimo kwa ujumla. Ushauri please
  4. Baba Ziro

    Jifunze kilimo na mifugo hapa

    KILIMO CHA MAPARACHICHI KIBIASHARA. http://kilimoforum.blogspot.com/2013/12/kilimo-cha-maparachichi-kibiashara.html
  5. Baba Ziro

    Je, Tundu Lissu bado unaamini kuwa Magufuli ni Dikteta Uchwara?

    Kwa matamshi ya rais unaona yuko sahihi kisheria?
  6. Baba Ziro

    Tundu Lissu ahojiwa redioni, adai tumepata uongozi mbaya kuliko wa Kikwete

    Watampeleka wapi! Maana kwa mahakamani hawamuwezi asilani
  7. Baba Ziro

    Je, Tundu Lissu bado unaamini kuwa Magufuli ni Dikteta Uchwara?

    Bila kwenda mahakamani ungejueje kwamba anajua sheria, lazima aende akawafundishe wanasheria wa Jamhuri.
  8. Baba Ziro

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Unaona ni ufahari kwa Jamhuri kushindwa? Nani mshindi kati ya Lissu na Jamhuri jana?
  9. Baba Ziro

    Tundu Lissu afikishwa mahakamani, Mawakili wa Jamhuri waomba wakili wa Lissu awe shahidi wa Jamhuri

    Shikamoo! *Tundu Lisu Katika Ubora Wake* [emoji481][emoji481][emoji117][emoji117]Kule. LISSU: Mheshimiwa Hakimu katika hoja za ipande wa Jamhuri wakiomba nisipewe dhamana wametoa refference ya kesi za Afrika Kusini. Lakini wamesahau kuwa sheria hizo ni za mwaka 1976 ambapo kilikuwa ni kipindi...
  10. Baba Ziro

    CCM inao wanachama milioni 8 na usheee, CHADEMA inao Wanachama wangapi?

    I think you're not systematic guy, let it be
  11. Baba Ziro

    CCM inao wanachama milioni 8 na usheee, CHADEMA inao Wanachama wangapi?

    Kwa uelewa na maoni yako ni chama kipi Kati ya CCM na CDM kinafanya vizuri kwenye chaguzi kwa kulinganisha na hoja ya mtoa uzi kwamba CCM wako 8 mil. na CDM wako laki 6 na ukihuanisha na matokeo ya uchaguzi mkuu ambapo CCM walipata 8 mil. na CDM 6 mil.
  12. Baba Ziro

    CCM inao wanachama milioni 8 na usheee, CHADEMA inao Wanachama wangapi?

    Kama Chadema wako laki 6 na walipata kura zaidi ya milioni 6 so Chadema wanakubalika zaidi kwa wananchi kuliko CCM walio milioni 8 na walipata kura milioni 8.
  13. Baba Ziro

    Yameanza kutimia: Bandari kavu zalia kukosa mizigo

    Lakini je si kweli kwamba kuna upungufu wa mizigo bandarini?
  14. Baba Ziro

    Yameanza kutimia: Bandari kavu zalia kukosa mizigo

    Je kuna tija tangu Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani? Na kama ndiyo, je tija ikiongezeka ajira zinapungua au zinaongezeka?
  15. Baba Ziro

    Kwa wakulima wa mahindi Wilaya ya Mbozi

    Usijali, utapata na ushauri wa kilimo bora pia utapata. Unahitaji ekari ngapi?
  16. Baba Ziro

    Kwa wakulima wa mahindi Wilaya ya Mbozi

    Ndiyo mi nafanya kazi Mbozi ndugu
  17. Baba Ziro

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Kutokana na kuenea kwa tetesi za serikali kutoa waraka wa kusitisha ajira na promotion zote mpaka hapo baadae, je waliopanda watashushwa?
  18. Baba Ziro

    Kwa wakulima wa mahindi Wilaya ya Mbozi

    Hujaielewa kivipi?
  19. Baba Ziro

    Kwa wakulima wa mahindi Wilaya ya Mbozi

    Unyiha wanafanya hizo kazi srinavas, mimi ni mtaalamu wa kilimo tuko na wakulima kuona tunawasaidiaje wawe na tija katika kilimo Chao.
Back
Top Bottom