Search results

  1. residentura

    Je, ni halali kwa Mwalimu Kununua "Schemes of Works" !!??

    Habari ndugu wana JF. Weekend iliyopita nilibahatika kuwepo huko Mkuranga - Pwani. Nikikutana na nyumba ndogo yangu ambayo ni mwalimu huko Halmashauri ya Mkuranga. Kitu kilichonistaajabisha mpaka kufikia uamuzi wa kuuliza hii kitu hapa jukwaani, ni baada ya jana Jumatano asubuhi (11/01/2023)...
  2. residentura

    Uchaguzi 2020 Hili la kurudia kupiga kura ukikosea na Vitambulisho Mbadala, kwanini uchaguzi huu?

    Tume imeruhusu vitu viwili vya ajabu. Mosi ni kuruhusu watu kutumia vitambulisho mbadala (Pasi ya kusafiria na leseni ya udereva). Pili ni kuruhusu mpiga kura kurudia kupiga tena kura iwapo alikosea. Je,huu sio mwanya wa "ushindi wa kishindo"!? Hii ya kuruhusu vitambulisho mbadala nakubaliana...
  3. residentura

    Upigaji Tanzania ni laana, mazoea au kujitoa mhanga? Nini kifanyike?

    Wakuu habari, natumai wote kwa uweza na neema ya Mwenyezi Mungu mko vyema kabisa mkiendelea na harakati za kujenga nchi, familia na maisha binafsi. Leo nimebahatika kufuatilia uzinduzi wa nyumba za wapiganaji wetu wa Magereza pale Ukonga, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mh. Rais wa Tanzania Mh...
  4. residentura

    The Elders: Tanzania tunao? Ukimya wao maana yake ni nini?

    "The Elders" ni kundi lenye viongozi wastaafu mashuhuri ambalo liliasisiwa na Mzalendo wa kweli wa Afrika,Tata Madiba mnamo mwaka 2007 kwa lengo la kushauri kuhusu migogoro,haki za binadamu,amani na changamoto zingine zinazohusiana na ustawi wa binadamu. Hawa viongozi wamekuwa mstari wa mbele...
  5. residentura

    Bungeni: Wabunge wa CCM na hoja ya Upigaji kura wa Bajeti.

    Wakuu,nimeona wabunge wa CCM wakiomba muongozo wa kwa nini wabunge waliopiga kura ya Hapana kwa bajeti wasinyimwe pesa ya hiyo bajeti na wasiruhusiwe kuhoji maswala yoyote yahusuyo maendeleo yanayotokana na bajeti hii waliyoikataa. Je,hii ni haki na halali kisheria?
  6. residentura

    Hodiiiii knock knock

    Habarini wana jamii forums? Naomba mnikaribishe kwenye forum ya waungwana. Mimi ni mgeni kwa uanachama but ni mwenyeji wa kupitia nyuzi mbalimbali. Hope nitapata ushirikiano wenu. Mubarikiwe.
Back
Top Bottom