Search results

  1. ashomile

    Mwanaume ambaye hana pesa asioe

    Pesa hujibu mambo yote lakini tukumbuke unaweza kuoa ukiwa na pesa lakinj pesa ikaja kuisha ukiwa na mke ndo ukaanza upya kuitafuta , hapa point yako ni hii OA ukiwa umeshajipanga kimaisha.
  2. ashomile

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Shida ilianzia kwa DED alifeli kutembea na Kijakazi , alichopaswa yy nikutafuta nje na nyumba yake , ila mke wa DED nae hajielewi alipaswa atulie ale unga .
  3. ashomile

    KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Huo muda wakubana mpuuzi utautoa wapi kwa K mnato , dakika ni kubwa mnoo ushamaliza kazi ,kiukweli siwezi kubana pumzi asee kwanza ntaibanaje ?
  4. ashomile

    Kama pesa zinaibwa na mashirika yanaingia hasara kuna haja gani ya kuendelea kuangalia rundo la uzoefu?

    Nchi yetu hii ni ngumu sana , pesa kama zinaibiwa mbona wahusika hawachukuliwi hatua kali, mtu anaamua kuvurunda akiamini sheria ya kumnyoosha haifanyi kazi. Ndo tatizo linapoanzia . Udhoefu si kitu
  5. ashomile

    Naombeni Kujua Bei ya Kioo Cha Oppo A3s

    Kama kichwa cha habari chajieleza hapo juu , Simu yangu aina ya Oppo A3s kioo kimepasuka. Kwa Mwanza Kinaweza Kupatikana ..?
  6. ashomile

    JamiiForums Usiku wa manane

    Zero zero come to whiskey hotel , Zero said to me : send ur message Me: hourly report post is ok. Zero said to me : Rogger.
  7. ashomile

    JamiiForums Usiku wa manane

    Back from patrol to check the perimeter fence in general is ok.
  8. ashomile

    JamiiForums Usiku wa manane

    Out on patrol to check the perimeter fence.
  9. ashomile

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mimi nikajua ukioa ndo umemaliza , kumbe kuna kunyimwa ?? [emoji22]
  10. ashomile

    JamiiForums Usiku wa manane

    23h47
  11. ashomile

    Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Mimi sielewi dalili za upungufu wa nguvu za kiume inakuwaje ?
  12. ashomile

    Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

    Hakuna upungufu wa nguvu za kiume baali wanawake wameonjwa sana na wanaume wameonja sana , swala hili limeibua mijadala mingi , mwanamke anaolewa akiwa tayari ashaonjwa na wanaume kibao na maumbile tofauti tofauti na wenye nguvu tofauti tofauti , sasa akiolewa na mwenye uwezo mdogo ndo...
  13. ashomile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    7B86F67 SPORTYBET nimebonyeza bonyeza kwa hisia.
  14. ashomile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bora twende SPORTYBET , ikishindikana twende na Wasafi , ikishindina twende kwa wakala 1XBet ,betway
  15. ashomile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Usiridhike na maneno ya mtu mmoja , wale wenye mitaji yenu mikubwa ondoeni huko betpawa hapafai kwa sasa wanaolipwa leo usishangae kesho watu wakapigwa parefu na wakatokomea.
  16. ashomile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betpawa apumzike kwanza maana kachoka haswa ukitoa pesa kuipata baada ya masaa 20 nakuendelea ndo anakufikiria , mbali na hapo hupati kitu asee.
  17. ashomile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji275][emoji275][emoji275][emoji275]
  18. ashomile

    Eti kuna uhaba wa U.S. dollar! Kwa hiyo….

    Hii nchi ina mambo yakipuuzi sana , ina maana serikali inatumia nguvu nyingi kutangaza dollar ya watu wengine, alafu inashindwa kutangaza shilingi yake , bado tunatawaliwa.
  19. ashomile

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huyo ni muongo tena mchunguze sana , kuna pesa niliwithdraw nimeipokea baada ya zaidi ya masaa 25 kupita.
Back
Top Bottom