Search results

  1. NGolo Kante

    Mfahamu Frincesco Lentin binadamu aliyezaliwa na miguu mitatu

    Alikua ni raia wa Marekani alizaliwa 18/5/1889 nchini Marekani. Alizaliwa akiwa na miguu mitatu na yote ilikua inafanya kazi alizaliwa akiwa na sehemu za siri za kiume mbili (2) Shemu za siri za Kiume mbili na zote zilikua zinafanya kazi na alikua na jumla ya vidole kumi na sita (16) na...
  2. NGolo Kante

    Watani halisi wa Wanyakyusa ni nani kati ya Wakinga na Wasafwa?

    Ndugu wanaJF, Kama mnavyotambua kuwa kuna desturi ya makabila yanayopakana kuwa na utani au kuitana watani. Desturi hii imejenga ukaribu na ujirani mwema baina ya makabila husika. Mfano: Wahaya huwaita Wajita watani wao (Sijajua ni kutokana na wote kuishi pembezoni mwa ziwa au vp). Wachaga na...
  3. NGolo Kante

    ULINZI WA DATA: Usalama taarifa binafsi shakani

    Dar es Salaam. Usajili wa taarifa za watu kwa mfumo wa kidigitali, umeanza kuibua wasiwasi wa usalama wa taarifa binafsi, hivyo kuibua hoja ya umuhimu wa kuwapo sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na faragha nchini. Hoja ya kutungwa kwa sheria ya aina hiyo, imepata nguvu hasa baada ya uamuzi wa...
  4. NGolo Kante

    Tuliowahi kudhulumiwa na Mtandao wa Tigo Tanzania tukutane hapa

    Mnamo Jumanne ya Tarehe 11 mwezi huu (Februari 2020) nilinunua kifurushi cha Internet kwa njia ya Tigo Pesa. Ndugu zangu wana JamiiForums yakapita masaa 24 bila ya kupewa kifurushi wala kupewa taarifa yoyote. Nilichukua hatua ya kuwapigia Huduma kwa Wateja, nikajibiwa kifurushi changu...
  5. NGolo Kante

    Mwaka mmoja tangu Mmiliki wa Facebook kuzitaka Serikali kusaidia kuweka Sheria za Ulinzi wa Data, Tanzania tumefanya nini?

    Mmilikiwa Kampuni ya Facebook inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Facebook, Instagram, WhatsApp na Messenger, Mark Zuckerberg majira kama haya mwaka 2019 aliandika barua ya wazi akitoa wito sheria ziwekwe ili kufuatilia taarifa za intaneti (Data Protection). Katika waraka wake wazi...
  6. NGolo Kante

    Kwanini wamiliki wa Kiwanda cha Twayford mnaihujumu Serikali ya Rais Magufuli: PART II

    Kampuni hiyo inayotuhumiwa kwa uhujuju uchumi na kuwanyanyasa wafanyakazi wazawa baada ya kubaini kuwa mzigo wao wenye label zenye kuonesha umezalishwa nchini Kenya kujulikana walianza mchakato wa kuhamishia shehena hiyo kwenye moja ya maghala yao yaliyotok Shekilango Jijini Dar es Salaam...
  7. NGolo Kante

    Kwanini wamiliki wa kiwanda cha Twayford mnaihujumu Serikali ya Rais Magufuli?

    Kiwanda cha kutengeneza marumaru cha Twayford kilichopo Chalinze Mkoani Pwani kinatuhumiwa kwekwepa kodi kwa kutumia nembo inayoonesha bidhaa zake za Marumaru zimetengenezwa nchini Kenya ilihali katika uhalisia zinatengenezwa hapa hapa nchini Angalia ushahidi huu katika picha Taarifa na...
  8. NGolo Kante

    TV4Sale Nauza TV ya Samsung LED 24' kwa bei chee kabisa Tsh. 230,000/=

    Bei ni 230,000/- Maongezi yapo kwa mbaaaali..... Haina tatizo. Ni orginal kabisa na imara Karibuni, ipo Kimara Mawasiliano njoo PM
  9. NGolo Kante

    Wanafunzi wagoma wakidai kudhalilishwa kingono na walimu, polisi wawatawanya kwa mabomu

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limelazimika kutumia mabomu kuwatawanya wanafunzi wa shule ya sekondari Majengo baada ya kugoma kuingia madarasani kwa kile walichodai ni kudhalilishwa kingono na kuchaniwa nguo na walimu wao. Hatua hiyo imekuja mara baada ya wanafunzi hao kugoma kuingia...
  10. NGolo Kante

    Ajali: Fuso na Hiace zagongana Nyangoye Haugembe-Bukoba

    Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Nyangoye Hamugembe -Bukoba likihusisha gari aina ya Toyota Hiace na Gari kubwa aina ya Fuso Kupitua uzi huu nitakujuza taarifa rasmi za majeruhi na vifo ====== Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Nyangoye Mkoani Kagera ambapo inaripotiwa kuwa Watu...
  11. NGolo Kante

    CCM: Wasio wajibika kutorudishwa kigombea tena Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Leo 07 Februari 2019 Akiwa katika ziara ya Kata kwa kata ya uhuishaji wa hai wa Chama na ukaguzi wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya CCM ya Mwaka 2015 – 2020 Mkoa wa Arusha, Wilaya ya Arusha Mjini katika Kata za Engutoto, Lemara, Muriet, Terrat, Olasiti na Osunyai Ndg. Humphrey Polepole...
  12. NGolo Kante

    Kampuni ya kutengeneza magari ya Tesla kupunguza Wafanyakazi kwa 7%

    Kampuni hiyo iliyojizoela umaarufu kwa kutengeneza magari yanayotumia nishati ya umeme na jua, Tesla yasema inakabiriwa na hali ngumu mbeleni Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Elon Musk kupitia barua pepe aliyowaandikia Wafanyakazi amesema kuwa njia wanayoinendea ni ngumu Kampuni hiyo imetabiriwa...
  13. NGolo Kante

    Waziri Kigwangalla aivunja Bodi ya Wakurugenzi ya TTB

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangalla ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya TTB, kwa madai ya kutotangaza vizuri vivutio vya utalii nchini. Waziri wa Utalii Dk Hamis Kigwangalla ametoa miezi 3 kwa menejimenti ya TTB kurekebisha dosari walizonazo kinyume na hapo ataifumua na kuisuka...
  14. NGolo Kante

    BOGOTA, COOMBIA: Watu 20 wauawa baada ya bomu lililotegwa kwenye gari moja kulipuka

    At least 20 people have been killed in a car bomb attack in the Colombian capital of Bogotá, police say. Dozens more were injured in the blast which happened at 09:30 (14:30 GMT) on Thursday in the south of the city. The car's driver, who was also killed, has been identified as a 57-year-old...
  15. NGolo Kante

    Watoto 2,600 washindwa kujiunga masomo sekondari

    WANAFUNZI 2,610 kati ya 8,038 waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza kwa mwaka huu katika Halmashauri ya jiji la Dodoma, wameshindwa kujiunga kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa. Hayo yalibainishwa juzi kabla ya kuanza kwa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Binilith...
  16. NGolo Kante

    Kisutu: Wakurugenzi wa Rifaro wahukumiwa Jela miaka 7 kwa kuchezesha upatu. Wakiri makosa, walipa faini

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Jones Moshi na James Gatuni, kulipa faini ya Sh milioni 204 au kwenda jela miaka saba kwa kosa la kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha. Waliohukumiwa ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Rifaro Africa Ltd, Jones Moshi (42) mkazi wa Mbezi Beach Dar...
  17. NGolo Kante

    Sare feki za jeshi zakamatwa kambi za wakimbizi Kigoma

    Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kibondo mkoani hapa, imekamata nguo zinazofanana za sare za kijeshi katika makambi ya wakimbizi. Akizungumza na waandishi na kamati hiyo mjini hapa leo Alhamisi Januari 10, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Samson Hanga, amesema nguo hizo zilikamatwa...
  18. NGolo Kante

    MWANZA: Ajiua kwa kujirusha kutoka ghorofa ya 5 Bugando

    Habari wanaJF, Nimepata taarifa kuwa Mtu mmoja amejirusha kutoka Ghorofa ya 5 pale Hospitali ya BUGANDO na kufariki hapo hapo. Tukio hilo limetokea jioni hii, lakini sababu za mtu huyo kujiua hazijajulikana.
  19. NGolo Kante

    TANESCO kufanya ukarabati wa kituo cha kufua gesi Ubungo II, baadhi ya maeneo ya Dar, ZNZ na Pwani kukosa umeme

    TAARIFA YA UKARABATI WA MASHINE KITUO CHA KUFUA UMEME KWA GESI CHA UBUNGO II Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake kuwa kuanzia Januari 9, 2019 hadi Februari 13, 2019 utafanyika ukarabati kwenye mitambo ya kuzalisha umeme ya kituo cha Ubungo II. Ukarabati huo utahusisha...
  20. NGolo Kante

    Kamanda Mambosasa: Vigodoro haviendani na ustaarabu wa Dar, tutawashughulikia kabla hawajaanza kucheza

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewaomba wadau mbalimbali wa amani kuendelea kutoa ushirikiano kwa Jeshi ili kuendeleza hali ya ushwari iliyopo sasa katika Jiji la Dar es Salaam. > Tunaendelea kuwatahadharisha wazazi katika kipindi hiki cha sikukuu kila mmoja...
Back
Top Bottom