Search results

  1. SDG

    Umewahi kusikia simulizi ya nyoka kupaishwa kwenda angani kutokea baharini?

    Habari wandugu, Sio mara moja nimepata kusikia kuwa nyoka hupaa kuelekea angani kutokea baharini.Mwanzo nilidhani kama "chai flani" lakini baadaye nilibahatika kukutana na mtu ambaye anasema yeye alikuwa mvuvi wa baharini huko Mafia, alipata kushuhudia takribani mara sita majoka makubwa...
  2. SDG

    UDA:Ilikufa ikafufuka imekufa tena

    Shirika letu "Watanzania" ambalo baadaye likauzwa na kurudi barabarani hasa awamu ya JK.Hili si shirika lingine ni lile la UDA. Lakini tangu awam ya tano ianze limekua likisuasua sana,siku hadi siku mabasi yamekuwa yakipungua barabarani. Hatimaye tangu FEBRUARI daladala za "UDA" zimepotea...
  3. SDG

    Museven ameanza kuchukua TAHADHARI

    Rais Yoweri Kaguta Museven ameahidi neema za "Mito ya asali na maziwa" kwa watumishi wake wa umma hususani WANAJESHI,amewahakikishia MAISHA BORA,na mambo kedekede. Lakini wakati akiyasema hayo MADAKTARI nchini humo wana mgogoro na serikali na wanadai nyongeza ya salary. Maneno matam kwa...
  4. SDG

    Afunga ndoa hospitali alikolazwa baba yake

    Msichana mmoja huko San Fransisco Marekani aliamua kupeleka tukio lake la kufunga ndoa kwenye hospitali ambayo baba yake anelazwa kwa maradhi ya Saratani. Vieneese ambaye alikuwa anafunga ndoa aliamua "kumsapraizi" baba yake Mzee Preston Rolan kwa kumuibukia na gauni la harusi hospitali hapo...
  5. SDG

    Raia wa Tanzania wanyanyaswa kingono Umangani

    Wafanyakazi wa kike wa nyumbanni kutoka nchin Tanzania walio nchini Oman na milki ya nchi za kiarabu UAE, wanadhulumiwa kimwili na kingono, wakiwa wanafanya kazi masaa mengi na wakilipwa mishahara midogo, kwa mujibu wa shirika la kitetea haki za binadamu, Human Rights Watch (HRW). Kwenye ripoti...
  6. SDG

    7 things Bill Gates predicted 18 years ago that have already come true

    1. Gates predicted that people will carry "small devices" that allow them to constantly communicate with each other, as well as check the news, check flight times and do "just about anything else". And that's pretty much the perfect definition of a smartphone. 2. Private websites will allow...
  7. SDG

    Kisutu: Korti yakataa vielelezo vya ushahidi kesi ya Wema Sepetu. Masogange akutwa na kesi ya kujibu

    Mahakama ya Kisutu yakataa kupokea vielelezo vya ushahidi wa msokoto na vipisi viwili vya bangi katika kesi inayomkabili. Ikumbukwe kuwa Wema Sepetu alifanyiwa Upekuzi nyumbani kwake mnamo Februari 7 na kukutwa na msokoto mmoja wa bangi pamoja na karatasi maalum za kuvutia bangi zijulikanazo...
  8. SDG

    Nigeria: Aliyemwita Rais mbwa afutiwa mashtaka

    Hili limetokea Nigeria,je lingetokea nchini mwako ingekuwaje? ====== Lagos – A Nigerian court has reportedly dismissed charges filed against a man in Ogun state, who named his dog 'Buhari'. The man was freed after his case had dragged on for nearly a year on charges of "disturbing public...
  9. SDG

    Dhehebu la BADOO linajihusisha na kuua watu NIGERIA

    Polisi mjini Lagos nchini Nigeria wanasema kuwa wamegundua madhabahu yanayomilikiwa na watu wanashukiwa kuwa wanachama wa dhehebu linalojulikana na Badoo Polisi waligundua makaburi na vifaa vya kutoa kafara katika kijiji cha Ikorodu mjini Lagos kwa mujibu wa gazeti la Vanguard ambalo pia...
  10. SDG

    Serikali yakerwa na CHADEMA kuwazuia waandishi wa TBC

    Msemaji Mkuu wa Serikali ameonesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuwazuia waandishi ww habari,na kudai kuwa kitendo hiko ni cha kuwanyima haki wengine. May Allah bless Me and You
  11. SDG

    UTAFITI: Asilimia 33 wanaume Dar wana upungufu wa nguvu za kiume

    Wataalam na wanasayansi wanasema hayo. Tafiti hupingwa kwa tafiti ======== ASILIMIA 33 ya wanaume 672 mkoani Dar es Salaam wamebainika kuwa na upungufu wa nguvu za kiume. Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kwa wanaume 672 ambapo kila wanaume watatu mmoja...
  12. SDG

    Rooney:Ninasubiri kwa hamu sana kwenda Tanzania

    Nyota wa soka wa England Wayne Rooney, ambaye amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United na kurejea Everton amesema anasubiri kwa hamu sana kuzuru Tanzania. "Naisubiri sana kwa hamu na ghamu (safari ya kwenda Tanzania) - inafaa kuwa safari nzuri," aliambia runinga ya evertontv...
  13. SDG

    Mtoto wa JK aula Etihad Airways

    Kila la kheri Mtanzania mwenzetu
  14. SDG

    Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

    Hapo ndo kuna tofauti kati yao na sisi
  15. SDG

    Arudishiwa mahari muda mchache kabla ya kufunga ndoa

    Hii imetokea kwa kijana mwenzetu, Alimchumbia binti akapeleka posa kisha mahari. Taratibu za ndoa zikaanza kwa pande zote mbili, yaani upande wa bwana harusi na bi harusi. Siku ya siku ikafika ili ndoa ifungwe, upande wa mume wakajiandaa ili waende kuoa, hapo wakiwa wameshajipamba, wamepaka...
  16. SDG

    Kanusho la Wizara ya Elimu

    Wizara imekanusha stori za wahadhiri waliokutwa na vyeti feki kwenye taasisi za elimu ya juu. Kuna ujumbe unasambaa wasap,jana nimebahatia kuuona. UJUMBE UNASEMA:::::::::::: Waziri wa Elimu asema chuo kikuu mzumbe kimepata pigo baada ya walimu wake 30 Prof watano,Dr 9 na wenye masters 15 kuwa...
  17. SDG

    Napokea Order ya Crips,Tambi na Chaulo

    Habar watu wa JF. Napenda kuwatangazia kwamba natengeneza Crips za ndizi,mihogo na viazi,tambi za dengu (za pilipili na zisizo na pilipili), chaulo na karanga za mayai. Bidhaa hizi nauza kwa bei ya jumla. Kuna pakiti za mia 500, mia 400,na mia 800. Napatikana Dar es Salaam. Kwa anayehitaji...
Back
Top Bottom