Reporters walizingua, dk ya 18 walilichukua goli la Numungo la Sixtus sabilo assisted na Kichuya wakalipeleka kwa simba, watu wakampa simba over 1.5 wengine wakaipa draw, wakati gane imeisha 0:0. Kwa mkanganyiko huo, yeyote aliyeibetia ile game kafanyiwa refund
Pesa yako ipo salama, kwa sababu naishi kwenye uaminifu, wale tuliofanya nao biashara inayohusu safaricom wananijua vizuri. Sielewi jinsi ya kueleza, lakini wale niliofanya nao Kazi ya pesa, na ambao wameshakuja nimewadepositia pesa Leo, akina Mr Easy ndio watatoa ushuhuda. Karibu sana.
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.