Search results

  1. Bob12

    Takwimu ya mambo yanayoendelea kutokea duniani papo kwa papo

    Habari za jioni wanafamilia. Ni vizuri tukapata takwimu ya matukio yanayoendelea kutokea duniani papo kwa papo Mpaka sasa idadi ya watu duniani ni zaidi ya bilioni 7.5,zaidi ya watu bilioni 3.68 wametumia internet katika matumizi mbalimbali kwa siku ya leo na idadi inaongezeka, Sigara...
  2. Bob12

    Usisubiri aondoke ndiyo uanze kukosoa

    Habari za asubuhi. Kukosolewa ni njia moja wapo ambayo viongozi na watoa huduma wengi duniani huitumia kama njia moja wapo ya kujitathimini na kuboresha huduma zao. Kuna mtu mwingine akikosolewa anakaa kimya,anatathimini na anafanyia kazi kimya kimya watu wanaona matunda kupitia matendo...
  3. Bob12

    Uhusiano wa mahusiano ya kimapenzi na mafanikio

    Habari wana JF Moja kati ya vitu vinavyo athiri mafanikio ya mtu ni mahusiano ya kimapenzi aliyonayo,ndo mana tunashauriwa kabla hujachagua chunguza kwanza. Inavosemekana kuna mtu flani ukiwa nae hata kama mnapenda sana inapokuja kwenye swala la mafanikio inakua ni tofauti hata kama...
  4. Bob12

    Umewahi kumsifia mwenza wako?

    Habari wana jamvi Moja kati ya vitu vizuri hapa duniani ni kupewa sifa especially na mtu wa karibu yako sana maana huongeza ujasiri na mapenzi zaidi. Kama upo katika mahusiano basi mtu wako wa karibu zaidi atakua ni huyo mpenzi wako sababu ni karibu mnachangia kila kitu katika maisha yenu na...
  5. Bob12

    Mwanaume hakimbii vita

    Habari wakuu Mwanaume hakimbii vita lakini mwanamke hakimbii vita akamuacha mtoto Imekaaje hii
  6. Bob12

    Ongezeko la wanawake wanaopenda kula pweza

    Habari za weekend wakuu, Kwa jiji la DSM sijui kwa mikoa mingine kuanzia mida ya sa 10 jioni zaidi kwenye vituo vya daladala biashara ya pweza ndo inaanza kupamba moto. Imezoeleka wateja wa kubwa wa pweza ni wanaume na mara nyingi ndio wanao onekana wakinunua but siku hizi naona...
  7. Bob12

    Wanawake na mbinu zenu za ushindi

    Habari wana jamvi, Kuna watu wanaamini unaweza ukamtumia mwanamke Milion 1 kushinda vita ya dunia, ikiaminika kwamba mwanamke ana mbinu za ajabu sana ktk kufanikisha jambo. Kuna vijistori nilivyobahatika kuvisoma kama Samson mwanaume wa shoka mwenye miraba minne na aliyesumbua sana maelfu ya...
  8. Bob12

    Mwanaume katika ubora wangu

    Habari wana JF Matumizi ya kila siku ya kikombe kimoja cha chai chenye mchanganyiko wa tangawizi(ya unga au kawaida),mlonge(unga) kijiko kimoja,unga wa mbegu za tikiti maji huku nikitumia asali badala ya sukari ndo vimenifanya niwe na ubora wa hali ya juu katika tendo la ndoa. Inatibu tatizo...
  9. Bob12

    Ugumu wa maisha unanifanya niote mindoto ya ajabu sana

    Habari wakuu Yani hizi ndo ninazoota kipindi hiki cha Mr Solex ni za ajabu,mara naota nakimbizwa na nyoka anakonda,mara naota naanguka kwenye shimo kubwa lenye giza,mara naota Tanzania watu wote wamekufa na njaa. Jamani muheshimiwa rais punguza makali nisije nikaota...[emoji83]...
  10. Bob12

    Mwanafunzi akimpa mimba mwanafunzi mwenzie inakuwaje?

    Habari wakuu Mwanaume akimpa mwanafunzi mimba anafungwa miaka 30 kama sijakosea. Ikitokea mwanafunzi kampa mwanafunzi mimba kuna haja ya kufungua kesi ? Mana ni sawa mbwa kala mbwa mwenzake
  11. Bob12

    EPL jifunzeni kutoka kwa la liga giants

    Habari Jf Hakika timu za england zinatakiwa kujifunza sana kutoka kwa timu za Spain mana walichoshindwa kukifanya arsenal ndicho walichoweza kukifanya barca,walicheza kwa hari na lengo moja tofauti na arsenal ambao walikua kituko. Uko wapi ubora wa timu za england ambao washabiki wake...
  12. Bob12

    E Fm mbona mnakomalia suala la Bashite hivyo?

    Habari wakuu Hiki kituo cha redio wanajiita mziki mnene siwaeliwi kabisa,mana kila break lazima wamponde Bashite. Amewakosea nini?
  13. Bob12

    Ulitumia mbinu gani kumpata mpenzi wako?

    Habari wakuu Tukumbushane kidogo vijimbinu tulivotumia kupata wapenzi tulio nao,ikibidi na sehemu uliyomuona siku ya kwanza. Mimi wa kwangu nili.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] A level
  14. Bob12

    Kukua kwa uchumi wa mtu ni zaidi ya kufanya kazi kwa bidii

    Habari wana JF Kila mtu anapenda kuona uchumi wake unakua siku baada ya siku na ndiyo mana watu wanafanya kazi usiku na mchana(walio jiajiri na walio ajiriwa) ili kujikwamua kiuchumi,lakini unakuta walio wengi wanapiga hatua kidoga sana tofauti na nguvu kubwa wanayowekeza ktk kufanya kazi...
  15. Bob12

    Kwanini asilimia kubwa ya wanawake wanalia pale wanapokua wanajitetea au kupigania haki zao?

    Habari JF, Asilimia kubwa ya wanawake pale wanapokua wanajitetea aidha wakiwa au hawana makosa au pengine wakati wanapigania haki zao wanakua wanalia mfano mzuri ni yule mama wa Tanga aliyekua anaongea mbele ya rais kuhusu kudhulumiwa mirathi na hata katika mahusiano ya kimapenzi, ukitofautiana...
  16. Bob12

    Wapenzi wanaweza kukopeshana hela?

    Habari za muda huu wana JF Kama kichwa cha habari kinavosomeka, Kwa ndugu,jamaa na marafiki kukopeshana ni jambo la kawaida sana ktk jamii zetu ili kuweza kuendesha maisha yetu. Je 1 Hata watu ambao wapo ktk mahusiano ya kimapenzi,iwe ni wanandoa au ambao hawajafunga ndoa nao wanakopeshana? 2...
  17. Bob12

    Kama unafanya tendo kwa kutumia condom ujue huyo mtu hukupaswa kufanya nae

    Habari za muda huu wana JF, poleni na majukumu ya hapa na pale. Naheshimu sana walioanzisha au gundua condom ila kwa mtazamo wangu kama mtu unafanya nae ngono kwa kutumia condom ujue huyo mtu hukupaswa kufanya nae maana kama kila mtu ana muamini mwenzake condom ni ya nini? Nawasilisha
  18. Bob12

    Njia pekee ya kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia condom

    Habari za muda huu wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu. Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni condom. Hii si kwamba itasaidia kutokomeza ukahaba bali hata ngono zitapungua sana. Nawasilisha
  19. Bob12

    Njia pekee ya kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia condom

    Habari za muda huu wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu. Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni condom. Hii si kwamba itasaidia kutokomeza ukahaba bali hata ngono zitapungua sana. Nawasilisha
  20. Bob12

    Hii ndiyo sababu iliyomfanya huyu dada atengwe na kanisa

    Habari za muda huu wakuu Kuna dada ambaye ni rafiki wa karibu wa my sister,ni mrembo kiasi chake, ana kipato kizuri tu na ni mlokole pia. Aliolewa na mwanaume ambae naye pia yupo vzr kiuchumi na walifanya harusi kubwa sana,km mnavojua walokole hawarusu kufanya tendo la ndoa kabla ya kufunga...
Back
Top Bottom