Search results

  1. AM PROUD OF MAGUFULI

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Habari zenu watanzania wenzangu na poleni katika kulijenga taifa letu pendwa. Ambalo bado lipo miongoni mwa mataifa yanayoendelea. Pia pole na pongezi kubwa zimuendee raisi wangu mpendwa Dk JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI kwa majukumu mazito ya kuilea familia yetu Tanzania kwa ukubwa wake na watu...
  2. AM PROUD OF MAGUFULI

    Asante Magufuli kwa kuelewa hoja, sasa fanya kweli

    mie napita leo ila nina neno moja kuwa kama kuna watu wamesimamishwa kazi kisa cheti na hao wote ni wenye miili ya udongo wa kitanzania na watarudisha udongo huo baadaye udongoni na huyo naomba aangaliwe pia. kuna kitu rule of law ni nani aifafanue ila nina imani mnaijua wote.
  3. AM PROUD OF MAGUFULI

    Wadada ni sababu zipi zinawachelewesha kuolewa pamoja na urembo wenu?

    kumbe tupo tofauti mkuu mie huwa nafurahi kuambiwa kuwa napendwa. yaani binti mie akinianza namthamini sana mana najua kupenda kulivyo najua anaamanisha nini ujue mkuu.hata kama nilikuwa sina wazo naanza kumfikiria
  4. AM PROUD OF MAGUFULI

    Wakristo: Msaada wa ufafanuzi kuhusu kunena kwa lugha

    mkuu umenuvunjaje mbavu ila naww upo fani sana
  5. AM PROUD OF MAGUFULI

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    una mahaba pia umekuwa brainwashed, umetekwa umekuwa teja katika dini. kwani bila waraabu ungeujua huo uislamu. jumlisha na yale mafundisho kuwa hawa ni mashetani wataenda motoni. ila mie nawapenda kama ni weusi ila kama uma ngozi kama ya nguruwe aliyetolewa manyoya sikupendi bora nimpende kama...
  6. AM PROUD OF MAGUFULI

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    labda ndo kafundishwa ivyo jamani usimlaumu ila laumun watanguliz wake na akili yake
  7. AM PROUD OF MAGUFULI

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    wewe umeongea na MUNGU kuwa unachojua ndo cha ukweli mkuu inawezekana umelishwa uwongo na ukakaa katika akili yako. afu mie navyojua nyie wazungu na waarabu mmekalia quraan na Bible pekee ila rejea nyingine hamzisomi wengi wenu.mnamezeshwa na kukaririshwa na kuaminishwa na kufundishwa kuwa wale...
  8. AM PROUD OF MAGUFULI

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    wewe unayetoa hayo maneno ndiye unayeujua ila tamaduni hizi za waarabu na wazungu sijui zinawapeleka wapi. daa kwa hiyo mkuu ndo uislamu ulivyo kuongea maneno kama hayo.hayo mnafundishwa na shekhe/imamu. inaonekana uarabu huu upo poa sana kwa saivi nipo na imani za kiafrika kidogo naweka na za...
  9. AM PROUD OF MAGUFULI

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    mie dini yangu sio iliyoletwa na watu weupe pia mkuu nikuulize huko ndo mnafundishana kutukana ivyo hapo ambapo umeweka nyota hukumalizia. ila sisi ngozi nyeusi sijui tuna laana jamani sijui hebu angalia wenzetu weupe k.v wachina,wajapani,wahindi,wajapni,waarabu,wazungu,wamongolia n.k wana dini...
  10. AM PROUD OF MAGUFULI

    Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    MBONA JAMANI WATU HAWASIKILIZI KUELEWA BALI ILI WAJIBU, RAISI WETU ALIDAI ANAONGEZEA BN 10 KWA MKANDARA NAYE ATOE NYINGINE WAJENGE HOSTEL JAMANI
  11. AM PROUD OF MAGUFULI

    Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    MWANAJESHI ANAFANYA KAZI KWA MOYO WA KIZALENDO NA HAGOMI KISA HAJALIPWA MANA NCHI NI YAKE KUELEA JAMANI YUPO TAYARI KUFA ILI WEWE UISHI,ANALALA PORINI NA KATIKA TOPE ILI WEEW ULALE KWA 6*6 UMEWEKEWA NET. KUONGEZEA HAPO PROJECT MANAGER ALIKUWA PIA CHINI YA JESHI ALIYEPIGA KAZI KWA MASLAHI YA...
  12. AM PROUD OF MAGUFULI

    Rapid train transit inakuja kaeni mkao wa kufurahi kuishi Tanzania

    JAMANI NI POLEPOLE HATA ILE ULAYA UNAYOIONA IMEKUWA VILE HAIKUJENGWA SIKU MOJA MAENDELEO HATA YAKO MWENYEWE NI POLEPOLE BAADAYE UNAJIKUTA UPO MBALI ILA SIO KUWA UTAAMKA UJIKUTE GHOROFA LIMESIMAMA ILA NI MAANDALIZI YA MAPEMA
  13. AM PROUD OF MAGUFULI

    Rapid train transit inakuja kaeni mkao wa kufurahi kuishi Tanzania

    KILA KITU KINAANZIA KATIKA PICHA AU MAWAZO HATA WEWE HAPO ULIPO MAISHA YAKO LAZIMA UWE NA PICHA NDO UHALISIA UNAFUATA. IN ENGINEERING FIRST WE START WITH IDEA THEN DRAWING NDO PICHA HIYO TUNAYOPENDA MWISHO KITU HALISI. NI KAMA HIZO HOSTEL KWANZA IIANZA PICHA AFU NDO UKAONA KITU HALISI MKUU
  14. AM PROUD OF MAGUFULI

    Rapid train transit inakuja kaeni mkao wa kufurahi kuishi Tanzania

    SUBIRIA IANZE KUJENGWA NDO UTAKOSA CHA KUSEMA
  15. AM PROUD OF MAGUFULI

    Rapid train transit inakuja kaeni mkao wa kufurahi kuishi Tanzania

    UMEME UPO JAMANI MNASAHAU KUWA TUNA GESI KUBWA SANA. HIYO TRAIN YAWEZA TUMIA UMEME AU GESI INAGEUZWA HARAKA SANA ULIZIA WALIOSOMA MECHANICAL ENGINEERING NI KITU CHEPESI SANA. UMEME WA GESI NA KARIBU TUTAWAUZIA NCHI JIRANI SOOOOOOOOON
  16. AM PROUD OF MAGUFULI

    Rapid train transit inakuja kaeni mkao wa kufurahi kuishi Tanzania

    KWANI HAUNA UMEME HAPO ULIPO. MLISEMA MWENDOKASI HAIWEZEKANI SAIVI ULIZIA KIMARA POSTA MUDA GANI. NA ZAMANI ILIKUWA NI MUDA GANI. FLY OVER ZINAJENGWA PIA WATURUKI WANACHUKUA RUHUSA YA KAZI AFU KARIBU KAZI ITAANZA MUDA SI MREFU YA RAPID TRAIN TRANSIT. NDO UTAJUA KAMA UMEME UPO AU HAUPO JAMANI...
Back
Top Bottom