Search results

  1. A

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Hahaha.. Ni kama kinu na mtwangio
  2. A

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Wanakuwaga na mpunga mrefu. Pitia hapa.. https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/zanzibar/zanzibar-confiscates-drug-traffickers-assets-valued-at-sh15-3-billion--4599388
  3. A

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Kuna nchi kama China hao wananyongwa haraka sana. Ila akikamatiwa Tz wenzake wanamchomoa
  4. A

    Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

    ccm wawe wanaelewa walau kidogo. Kwa sasa wananchi wajinga wakudanganywa kama wapo ni wachache mno. Uovu wao unajulikana na wengi. Wahenga walisema siku za mwizi ni arobaini tu
  5. A

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    https://www.jamiiforums.com/threads/hii-ndio-hali-ya-bumbuli-ambayo-mbunge-wake-ni-waziri-wa-mambo-ya-nje-ya-nchi.2206856/#post-50051943
  6. A

    Hii ndio hali ya Bumbuli ambayo Mbunge wake ni Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi

    Duh.. Ccm ni wale wale. Tunamshukuru sana mama, ameupiga mwingi hadi hayo magari yamefika hapo barabarani
  7. A

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    Aisee.. Kumbe waislamu wana madhehebu zaidi ya 70 ?!
  8. A

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Hahaha.. Hawajui tu kuwa hii hukata stimu
  9. A

    Mbowe, wenye akili wamekuelewa. Hawa wasiokuelewa tuwaite nani?

    Rubbish.. Halafu hiyo mikutano yao na shughuli za uendeshaji wa chama chao unagharimia wewe?!
  10. A

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Sijajua umeboronga ukiwa mkoa gani na unahamia mkoa upi, ila nawaza tu kuwa ingefaa uzamie nchi nyingine kabisa kama DRC, Zambia, nk, utulie na kuanza upya. Ufanye mishe huko hata miaka 10 bila kukanyaga Tz. Kuhusu huyo mpenzi wako (mke wa mtu) kujaribu kumrudia ni sawa tu na kuvaa bomu, utajuta
  11. A

    Mpaka lini Kariakoo, Gerezani pataendelea kukabiliwa na mafuriko?

    Duuh Maji ya vinyesi usawa wa nyonga ni hatari sana aisee
  12. A

    Wadada, mnataka dakika ngapi?

    Hapo utachoka wewe broo, hatanii
  13. A

    Wadada, mnataka dakika ngapi?

    Mkuu, Tafuta mzigo kama huu hapa chini halafu utanishukuru baadaye... https://youtube.com/shorts/zaOLYjoRUdQ?si=k2KJwgrNfFxPOX-E Equation x
  14. A

    Rafiki yangu kamwagiwa maji machafu ya chooni na mkewe kisa amemtangazia nia yake ya kufanya mathinaa

    Mke mkubwa siyo muislamu? Maana waislamu wanajua kuoa hadi wake wanne ni ibada
  15. A

    Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi

    Dogo, kama hujui jambo tulia.. Gaidi kujulikana ni muhimu kwa maslahi ya umma
  16. A

    Wanaume weusi tuhuma hizi ni za kweli?

    Ndiyo.. Ni kweli
Back
Top Bottom