Search results

  1. H

    Kima cha chini na kodi ya mshahara kwa sekta binafsi kiasi gani?

    Mimi ni mfanyakazi kwenye kampuni binafsi Nalipwa 5500 - 7000 kwa siku. Hakuna kiwango maalumu cha mshahara. Tunalipwa kila baada ya wiki mbili. Kwa muda wote ambao tunafanya kazi zaidi ya mwaka sasa hatuna mikataba ya kazi. Kiufupi masilahi ya wafanyakazi hazingatiwi kabisa hapa kazini...
  2. H

    Uhuru wa kufikiri na fikra huru

    Uhuru wa kufikiri na fikra huru Hebu ONA "Jasmini anasema kuwa baba yake ni katili. Huo ni Uhuru wa kufikiri wa Jasmini Je watoto wengine wanaPokeaje maoni ya Jasmini.kuhusu baba yao Wana hiari ya Kukubaliana na Jasmini ama kuwa na maoni tofauti kuhusu baba yao kadri wamjuavyo na asili ya...
  3. H

    Itakuwa ni U genius unanianza

    Nikisikia MTU anaitwa DAUD jina lake linalofuata huwa tu linakuja automatic Hasa sijui naumwa ugonjwa gani Au ndio u genius UNAVYOANZAGA ?
  4. H

    Bila jembe hupandi mlima Kilimanjaro

    Jamani nipo hapa moshi kwa Shughuki zangu. jumapili ya Leo nikaMua nijichanganye kidogo KITAA nipate moja mbili na vijana wa hapa. Nikiwa kijiweni ndio nikapata habari za JEMBE IPO HIVI VijAna wengi mjini hapa wamejikita kwenye sekta ya utalii. Na wengi ni ma Porter Potters Hili ni kundi...
  5. H

    Kwa Nini nitatatumia Dawa za kulevya?

    “NILIPOKUWA na umri wa miaka 13, dada ya rafiki yangu mkubwa alitualika nyumbani kwao jioni moja. Kila mtu akaanza kuvuta bangi. Mwanzoni, nilikataa, lakini mwishowe nilionja baada ya kusihiwa mara kadhaa nijaribu.” Hivyo ndivyo, Michael, kutoka Afrika Kusini alivyosimulia jinsi alivyoanza...
Back
Top Bottom