Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za Android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata pasipo kuwa na ujuzi wowote kuhusu programming, hapa itakuwa ni tofauti.
Imani yangu wale wote ambao...
Leo nilikuwa najaribu kutembelea baadhi ya tovuti za serikali na moja ya tovuti ambayo nilitembelea ni tovuti ya utumishi wa uma, nilichokutana nacho huwezi amini kama hii tovuti inamilikiwa na serikali jinsi ilivyo uchi kwanza, kwani haipo secure kabisa.
Ukiangalia hiyo picha maana yake ni...
Akiongea na kituo cha CBS trump alisema japokuwa Kim alipata madaraka akiwa na umri mdogo lakini aliweza kupigana na watu wagumu.
"Watu wanasema ni mwendawazimu ... Sifahamu hilo lakini alikuwa ni kijana mdogo wa miaka 26 au 27 pale baba yake alipofariki na Nina uhakika ameweza kupambana na watu...
Baada ya amri yake ya awali kugonga mwamba trump amepitia upya na kuja na order ambayo kwa sasa alisaini akiwa private na si kwenye public kama ilivyokuwa awali.
Nchi za Iran, Somalia, Sudan, Yemen, Syria and Libya
Raia wake watazuiliwa kupewa viza kwa siku 90 wakati wanausalama wakitafuta...
Picha nyingi ambazo zimepigwa angani na satellite, nyota huwa hazionekani, lakini kwa mujibu wa wataalamu wa maswala ya anga hudai kwamba hapa duniani tunaweza kuona nyota chache sana kutokana na pollution, na zinaweza kuonekana vizuri sana maeneo kama vijijini ambapo pollution ni ndogo, lakini...
Baada ya kupita kipindi kirefu tangu mwanadamu alipotua mwezini, kampuni ya spaceX jumatatu ya tarehe 27/2/2017 imetangaza kupitia kwa muasisi wake Elon Musk kuwa itafanya trip ya kibinifasi kwa watu wawili mwaka 2018 mwezini.
Kampuni hiyo ya maswala ya anga itatumia rocket aina ya "Falcon...
Wakati tukiwa katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia, bado imani za kishirikina zimeendelea kuchukua nafasi kubwa kwani wananchi wa kijiji cha Ilasilo wilayani Songwe kwenye mkutano uliohudhuriwa na mwenyekiti na polisi wamemfurusha mwanakijiji mwenzao kwa tuhuma za kujihusisha na kazi ya...
Katika thread hii tutaelimishana changamoto, faida, misaada na mambo mbalimbali yanayohusiana mifumo endeshi ya kompyuta na vifaa vingine vinavyotumia linux.
Utangulizi
Linux ni mfumo endeshi wa kompyuta ulio na asili ya ule uliokuwa unaitwa UNIX, kwa mara ya kwanza Linux iliundwa na...
Kufanya Livestreaming kutoka kwenye kompyuta yako kwenda kompyuta nyingine au simu(smartphone)
Kama unatazama video au unasikiliza audio kupitia vlc basi unaweza fanya vifaa vya watu wengine kama simu au kompyuta zingine kuweza kuona mubashara kabisa kile ambacho unakitazama, ili uweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.