Search results

  1. Kirongwekwetu

    Kwanini mafisadi wote hutokea kaskazini,nyanda za juu na sio pwani?

    KWANINI MAFISADI WOTE HUTOKEA KASKAZINI,NYANDA ZA JUU NA SIO PWANI? 1) Jee huko maadili yamekuwa mabaya 2)Wajanja sana na wanajua matumizi tofauti na viongozi wa mikoa ya pwani?
  2. Kirongwekwetu

    Natangaza nia Jimbo maskini la Mafia 2015

    nashukuru wazee kunipa njia
  3. Kirongwekwetu

    Natangaza nia Jimbo maskini la Mafia 2015

    kwa kuwa kishajivua gamba. lkn kwa kuwa dk slaa ni kiboko ya mafisadi
  4. Kirongwekwetu

    mitandao ya zanzibar yamuandama Bi samiha

    duhu. bora mbunge wetu japo mzigo
  5. Kirongwekwetu

    Mbunge wa Mafia na Ubaguzi wa maendeleo

    basi najitokeza kupambana kuondoa ufisadi huu
  6. Kirongwekwetu

    Ufisadi unatuathiri,nataka nijenge base ya chadema kisiwan mafia

    Naomba michango ya kifikira, mawazo na hata ushirikiano kuondoa Ufisadi Kisiwani Mafia. kubwa nitajenga base kubwa kwa kutumia vijana kulikomboa jimbo na ufisadi wa Mh Bulj na maofisa wengine.
  7. Kirongwekwetu

    Mbunge wa Mafia na Ubaguzi wa maendeleo

    Masikitiko makubwa yapo kwa wakazi wa kaskazini mwa kisiwa Cha mafia. wanasikitika eti mbunge wao anayarudisha nyuma makusudi maendeleo yao hasa ktk swala zima la Elimu. 1)PALE Kirongwe. Shule ya Sekondari haina walimu, haina umeme na haina maabara lakn huko kwao Kitomondo shule imejaa walimu ...
  8. Kirongwekwetu

    Natangaza nia Jimbo maskini la Mafia 2015

    Natangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo maskini liliopo kisiwani Mafia. Matatizo. HAKUNA BARABARA. SHULE MATOKEO MABOVU KIDATO CHA 4 UVUVU. WANANCHI WAHANGA NA MIRADI YA KIFISADI. BARA BARA. Ufisadi wa kukarabati kwa kutumia matope huku fedha zikiliwa AFYA. Hali mbaya. NIA NI KUWAKOMBOA WANANCHI...
Back
Top Bottom