Search results

  1. N

    Rais Samia ushauri wangu kwenye kodi ya magari

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, Naomba kutoa ushauri wangu kwenye ushuru wa magari. Nimeona ushuru wa magari unazidi kuongezeka, Mhe Rais/Waziri wa fedha dunia inabadilika kwa haraka sana, Magari ya kutumia umeme EV yanakuja kwa haraka sana na ni jambo lisilozuilika kwa...
  2. N

    Rais Samia SGR inakuchonganisha na wananchi

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA...
  3. N

    Rais Samia unagombanishwa kwa wananchi kuzuia kuuza mazao nje ya Nchi. Unatutakia Watanzania umaskini wa lazima

    Heshima yako Rais wangu Samia. Mimi ni mmoja wa Watanzania wasiokupinga wala kukubali sana nipo 50/50 kwa sababu nakuona kama Rais mwema, msikivu, mwenye hekima, una diplomasia nzuri sana ya kimataifa. Kwenye uwekezaji wa Royal Tour nia njema nilikupa 100% utekelezaji unahitaji maboresho kidogo...
  4. N

    BBT Mkombozi kwenye kilimo au laana?

    1. Watanzania wenzangu naomba tushauriane kuhusu hichi kitu kinachoitwa BBT ? 4. Kilimo JE KILIMO NI UTI WA MGONGO WA NCHI YETU? - Ndio , watu wote milioni 61 tunategemea kilimo kutulisha nafaka, mboga mboga, protein na matunda. 2. Kilimo kinatupa malighafi za viwanda vingi vya msingi. 3...
  5. N

    Tractor gani zuri kati ya Massey Ferguson 590 na New Holland

    Wajuzi na wazoefu wa kilimo nataka kununua tractor la kulimia liwe multipurpose kwa kulimia knye mashamba ya mpunga ludewa na mbarali lakini pia kwa kilimo cha mahindi vwawa . Nasikia massey ni imara sana na spea ni bei rahisi na life span yake ni ndefu ila new holland td 82 naona kama lina...
  6. N

    Magufuli Damu ya Watanzania wenzako ni mbaya ikimwagika Itakulilia

    Za asubuhi wenzangu watanzania? Naomba nianze kwa salamu za majonzi kwa kuomboleza vifo viwili wiki hiii cha katibu wa CHADEMA Hananasifu na huyu mwanafunzi aliyeuwawa jana, Poleni sana wafiwa. Mheshimiwa Rais nina maswali huwa najiuliza? Je, Rais unataka kuogopwa kwa nini? Kuna vitu unaogopa...
  7. N

    Viongozi kuweni waangalifu na kauli na matendo yenu

    Wanabodi , Bila kujali itikadi zetu za siasa kwa mwendelezo wa matamko na matendo ya baadhi ya viongozi napenda kuwapa ushauri na kuwakumbusha kidogo baadhi ya wenzao ambao walikuwa na kauli nzito nzito na majivuno balaa lakini kibao kimegeuka wamekuwa wapole na wanyonge balaaa bila kutegemea...
Back
Top Bottom