Search results

  1. J

    Changia maada; semina ya miss tanzania inaendelea

    Lundenga anawatetea warembo maana masupa staa kokote duniani wanasumbuliwa na kuandikwa andikwa!
  2. J

    Changia maada; semina ya miss tanzania inaendelea

    thom Chilala anamsifia Jeneveva, Miss Tanzania wa sasa
  3. J

    Changia maada; semina ya miss tanzania inaendelea

    wajumbe wanasema kuwa mrembo akituhumiwa tu, anyanganye taji
  4. J

    Changia maada; semina ya miss tanzania inaendelea

    Sasa tunajadili ni namna gani au ni wakati gani Mrembo anaweza kuvuliwa taji la Miss Tanzania. kuna warembo ambao wameisha fanya matendo ambayo hayapendezi na bado hawakuchukuliwa hatua yoyote ikiwa ni pamoja na kuvuliwa taji. je ni kanuni zipi tuziweke ili kubana au kuhimiza nidhamu kwa warembo?
  5. J

    Tv sibuka kuonyesha mechi za ligi ya uingereza na ujerumani live!

    Westham United 1 Chelsea 3, dakika ya 74 na mechi inaendelea. Asante sana TV Sibuka
  6. J

    Mnijuze kuhusu Star times wadau!

    Star times haina tatizo ni wewe tu!! ebu fungua channel 6 uangalie!!!! TV Sibuka ina vipindi vizuri sana, ina movies kali sana ambazo huwezipata kwenye kituo kingine chochote cha TV, inaonyesha mechi live za ligi ya Uingereza na Ujerumani, UEFA nk. TV Sibuka ina kipindi cha hotuba Maridhawa za...
  7. J

    Tv sibuka kuonyesha mechi za ligi ya uingereza na ujerumani live!

    Kituo cha televisheni cha Sibuka kinachorusha matangazo yake kupitia Startimes kitakuwa kinarusha live mechi zilizobakia za Barclays Premiere League, UEFA na Bundasliga!! Habari hizo za uhakika zinatokana na mipango ya muda mrefu ya Kituo hicho kuwaburudisha na kuwapa wanacho kipenda watazamaji...
Back
Top Bottom