Search results

  1. Vugu-Vugu

    Anayetakiwa kumrithi Uenezi Paul Makonda kwa hali na Siasa za sasa ni huyu

    Mayalla hataki teuzi alishasema hadharani mbona, Asante kwa kumkumbuka
  2. Vugu-Vugu

    Anayetakiwa kumrithi Uenezi Paul Makonda kwa hali na Siasa za sasa ni huyu

    Vigezo, Sabaya hana tofauti na Makonda
  3. Vugu-Vugu

    Anayetakiwa kumrithi Uenezi Paul Makonda kwa hali na Siasa za sasa ni huyu

    Swala sio mtu katoka wapi ila atakisaidia nini chama ndio jambo kubwa
  4. Vugu-Vugu

    Anayetakiwa kumrithi Uenezi Paul Makonda kwa hali na Siasa za sasa ni huyu

    Baada ya Ndugu Paul Makonda kuwekwa kando kwasababu ama ya makosa yake ya kiufundi au mbinu za wapinzani wake ndani ya CCM. Nini kimemngo'a Paul Makonda? Kwanza, Style yake ya vita isiyokwisha na waliotazamwa kama wapinzani wa JPM ilikuwa inakipasua chama vipande vipande. Pili, Style yake...
  5. Vugu-Vugu

    Kafulila: Taasisi zinazoongozwa walau kwa theluthi moja na Wanawake hupata mafanikio karibu mara 10 zaidi ya zile zenye Wanawake wachache Viongozi

    Sahihi kabisa, Ndio maana Rais Samia ni lazima tumpe nchi tena, Wanawake bado wanahofu ya dhahama
  6. Vugu-Vugu

    Change Makers2023: Wanawake wang'ara. Dkt Samia Suluhu, Dkt Mwinyi na Ruth Zaipuna wa NMB vinara. Melo wa JF, Mbowe na Zitto wajitokeza

    Mbona Diamond hayupo hapo? Mbona Ali K pia hayupo? Mnona Jeshi pia hayupo?
Back
Top Bottom