Chakula ni fahari ya jamii yeyote na nchi yeyote dunia. Ni moja ya utambulisho muhimu wa Tamaduni ya Jamii flani na nchi kwa ujumla. Hivi karibuni nchini kwetu tumeshuhudia Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akishiriki kutengeneza Filamu maalumu na mahsusi kabisa kwa ajili ya kuonesha...
Thank you for reading and voting for this incredible idea which can change our education system and quality for better. If you have not voted, please do so now, support this idea and be part of bringing changes in the quality of education provided in our universities.
Nawashukuru Wote mnaoendelea kuunga mkopo wazo hili na kulipigia kura, naomba wale ambao bado hawajslipigia kura walipigie kura wazo hili, kwani ushindi wa wazo hili ni kulisukuma mbele na kulipa nguvu katika vyombo vya maamuzi vya kiserikali ili liweze kuleta mabadiliko chanya katika nchi yetu...
Mpango wa Serikali na shabaha ya serikali ni kufikia mwaka 2025, kama nchi tuwe tunapokea watalii Million Tano kwa mwaka kuja kutembelea nchi yetu. Ikiwa hatutaongeza vivutio na tukabaki tukitegemea utalii wa mbuga na milima peke yake hatutaweza kufikia shabaha hii iliyo na manufaa mengi kwa...
Our education system must be the one that liberates us from slavery mentality and nurture creativity. Our universities must be a place of hope and innovations, our government has a great responsibility to redeem the time and resources used in enabling students throughout university by ensuring...
Our education system must be the one that liberates us from slavery mentality and nurture creativity. Our universities must be a place of hope and innovations, our government has a great responsibility to redeem the time and resources used in enabling students throughout university by ensuring...
Jambo lolote huanzia katika mawazo, na mawazo bora ndio huleta mabadiliko chanya katika jamii. Karibu katika kutafakari na mimi wazo hii kwa mazingir yetu, Usisahau kunipigia kura. Kura yako ni muhimu kwangu na naithamini sana🙏💯
I welcome you to read my other article
https://www.jamiiforums.com/threads/maonesho-ya-vyakula-vya-asili-fursa-mpya-ya-uutalii-tanzania.1900803/
Maonesho ya vyakula vya asili fursa mpya ya uUtalii Tanzania
Hakika litatafsiriwa, kwa sasa nipe kura yako.. kwa wakati sahihi litatafsiriwa kaka.
Pia soma na
https://www.jamiiforums.com/threads/maonesho-ya-vyakula-vya-asili-fursa-mpya-ya-uutalii-tanzania.1900803/
Maonesho ya vyakula vya asili fursa mpya ya Utalii Tanzania
Ulipigia na kura pia
nakubaliana na wewe nyama choma festival ilikuwa idea nzuri, ila ni tofauti na hii idea nayozungumzia hapa in term of Approach na management, tunayo fursa kubwa sana hapa kama nchi kitalii.
naomba kura yako mkuu
Can anyone imagine how many students graduate Universities and go back homes with full of books and hand-outs in their heads but with no any idea neither skills of how to fight the poverty in their societies, and set up businesses?
WE DON’T NEED CAPITAL TO THINK
It is good to know that no one...
Utalii ni shughuli ya kibinadamu inayohusisha watu kusafiri kutoka eneo moja kwenda eneo lingine kwa shughuli mahsusi ikiwemo, mapumziko na starehe, biashara, mikutano au matukio mengine yeyote kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja. Sekta ya utalii inachangia kiasi kikubwa katika maendeleo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.