Search results

  1. Internal

    Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

    Atakuwa tayar ana mpenzi F wewe tafuta wife material A
  2. Internal

    Natamani nichukue maamuzi magumu sana

    Kukimbia tatizo haijawahi kuwa suluhisho la tatzo. Kwani mzee ataugua milele? Usiwe sehemu ya mgogoro we fanya unaloona ni sawa kwako.
  3. Internal

    Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    Mahusiano. TUnaoa kwasababu kuna mambo ya msingi anapaswa kufanya mke na sio demu wala hawara. Tatzo la mke wangu ni moja tu, wivu unamtesa mno, najaribu kumuweka wazi kwa mambo mengi lakini bado hajawahi kuniamini hata kidogo. Simu yangu ana uhuru nayo kila kona lakni haisaidii...
  4. Internal

    Uliambiwa nini ukiwa Mtoto lakini baada ya kukua ukagundua ni Uongo?

    NIliwahi kukaririshwa kuwa ukikojoa bararana akaja mwanamke akaruka mkojo wako basi ndo haudindishi tena
  5. Internal

    Nataka kuanza kununua dada poa ili kuiponya nafsi yangu

    Kama utelezi unapata kwa mabinti sasa dadapoa wa nini? Kwani dada poa ukinunua ndo umepata mke? Au we unaenda kununua dadapoa awe mke sio trip ya data to day?
  6. Internal

    Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Chuon nilikutana na jamaa mmoja kutoka rombo, alinishangaza sana, alikuwa na vyeti vingi mno. Jamaa alikuwa amesoma mambo mengi lakini bado alikuwa anakomaa na course work kinoma. Nyumbani kwao maisha safi, na mama yake alimwambia atafute biashar ya kufanya then apewe mtaji atakaotaka lakn...
  7. Internal

    Kifo ndiyo mapumziko

    Kifo hajawahi kuwa adui wa mpenda aman ya ndani(Inner Peace)
  8. Internal

    Mwanamke akileta ujuaji kitandani anatia mashaka sana

    [emoji1787][emoji1787]Unaonekana tena mdhaifu
  9. Internal

    Ofisini kwetu wananifanya mimi kituko

    Take easy, ikiwezekana ungana nao kwenye utani, pengine kabsa jiite mm ndo namtumbo halisi wengine fake tu, ata harufu ya viatu vyangu inatoa harufu ya kiume sio marash ya pemba ya wala urojo.😃😂😂
  10. Internal

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu naomba kumfahamu wakala wa 1xbet Nataka niweke acc yangu walau kiasi kidogo
  11. Internal

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    TBC wanaonyesha hii game?
  12. Internal

    George Mpole aachana rasmi na Geita Gold

    Umemalizika au mmesitisha?
  13. Internal

    UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

    Messi mpaka aseme ukweli Ile balon d' O Alochukuwa wakati alistihili Lew's ni kwann alifanya hivyo.
  14. Internal

    UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

    RB sio wabovu, Kwa aina ya mfumo wa Pep wanauwezo wa kuchangaza wengi.
  15. Internal

    UEFA Champions League draw hatua ya 16 bora 2022

    Liver anahitaji mbinu mbadala kuzuia zile counter attack za mdrid, vinginevyo anapandiwa tena kichwani.
  16. Internal

    Ajali Barabarani: Tuzijue sababu, kuepuka upotoshwaji

    🙏🙏Asante mkuu Kwa kupaza sauti Yako juu ya hili linaloongeza watu tegemezi kila kukicha. #1 Ujinga kiukweli unatumaliza na kutufanya tudumu kwenye dimbwi la umaskini. Mjinga mMoja anambebra buku mjinga mwenzake Ili punde tu anapokamatwa Kwa kosa lolote ampatie yeye aendelee na Ujinga wake na...
Back
Top Bottom