Search results

  1. F

    Simu yenye Camera Bora tafadhali

    Naomba Msaada wa kitaalam ninunue simu gani yenye Camera Bora inayotoa picha za viwango Vya hali ya juu na isiyopoteza ubora wa picha haraka. Lengo kuu ni shughuli za kibiashara ambazo asilimia 98 zinategemea picha. Bajeti sio tatizo maana simu ndio jembe lenyewe linalotupa riziki.
  2. F

    Naomba kujua simu yenye kamera bora na nzuri zaidi kwa ajili ya picha za kibiashara

    Habarini Wadau wote humu. Naombeni msaada nahitaji kujua simu yenye kamera inayotoa picha Bora zaidi kwa matumizi ya kibiashara. Picha inayoonesha uhalisia wa kitu na mazingira. Ili wateja wakiona picha ya bidhaa na uhalisia uwe hivyo hivyo bila kupoteza ubora. Nahitaji kwa haraka. Gharama...
  3. F

    Precision Air mnakera na kuudhi sana

    Tafadhari hili Shirika limezidi mno kila mara kuahirisha na ndege zao kuchelewa kuondoka bila kutoa sababu za msingi. Leo reporting time saa 10 alfajiri, kuondoka kuelekea Dodoma saa 11:50 asubuhi. Lakini mpaka muda huu hakuna ndege, kila baada ya nusu saa abiria wakiuliza wanasogeza mbele...
  4. F

    Toyota Alphard: Ubora na Mapungufu yake

    Ndugu wadau naomba kwa wale wenye uelewa juu ya aina hii ya magari, ubora wake, matumizi ya mafuta, na chochote kizuri kuhusiana na magari haya. Pia naomba kujua mapungufu yake kwa wale wenye uzoefu nayo. Je, kuna utofauti gani kati ya Toyota alphard "V" na Alphard "G" ingawa kwa macho huwa...
Back
Top Bottom